COMPTON BLVD
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 682
- 613
Kuzikwa kupo ikiwa muhusika hatafuata maelekezo.Ninachokuambia hapa ni kwamba uhuni umefanyika kwenye uchukuaji na urudishaji wa fomu za vyama vya upinzani.CCM wamepewa favour, haiwezekani pingamizi na makosa mengi yatokee kwa wapinzani tu wakati tunaishi kwenye mazingira yaleyale japo tunapishana uelewa kidogo...Mtu hafuati taratibu, kanuni na sheria unataka aachwe ili iweje?
Kama hamjifunzagi kutokana na makosa, 2020 mtazikwa maana hata hao wachache wanaositasita kuwaunga mkono watabadili gia angani.