Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,825
he is just lying to himself... Actually, the znz fate this is a time bomb
zanzibar siyo nchi....full stop
he is just lying to himself... Actually, the znz fate this is a time bomb
Haya sasa, wazanzibar mshapata majibu yenu, tunawasubilia mtasemaje
Mshaambiwa kuwa Zanzibar sio nchi
naona anashukuru sasa anamaliza nini?
Msimamo wa serikali ya muungano Zanzibar sio nchi, wanaobisha wajinyonge maana ameshamaliza kuliongelea.
Sasa anaongelea muafaka na blah blah nyingi na kuwashukuru wabunge kama anamalizi ahutuba huku bado anaendelea.
Anaendelea kuwalainisha wabunge, makofi wawaaaa... weshaliwa!
kwaiyo hajaongea lolote kuhusu epa?
Shein anakabidhiwa nchi mkuu anajiuzulu