Kwenye hio 2559 hadi wandengeleko wapo chief!Unaaaa tuu wala hakuna lolotee
Zaidi hawa waarabu Koko walioridhi kwenye Biashara za watumwa
Mimi sio mchumi lakini ukisema mfano Rostam ana hisa za $250M vodacom nayo si ndio asset hio!Kwa hiyo unataka kuniambia kwamba hela ni liability, sio?
Mimi sio mchumi lakini ukisema mfano Rostam ana hisa za $250M vodacom nayo si ndio asset hio!
Capital/ current asset ni vile unaitumiaje vilevile inaweza kua liability kama itakua inakupelekapeleka kama ndondocha!Mimi sio mchumi lakini ukisema mfano Rostam ana hisa za $250M vodacom nayo si ndio asset hio!
Kwaio hio capital stock haihusiani na utajiri?Capital stock hiyo. Halafu mtu anatuletea longoni
[emoji1666]Capital/ current asset ni vile unaitumiaje vilevile inaweza kua liability kama itakua inakupelekapeleka kama ndondocha!