nimejipooza na free 7gb kwa siku 14 yani 500 kila siku ndani ya siku 14 airtel, simu ya 4g kama hujawahi kutumia hizi gb7 zao za bure nazani ni wakati wake nimeanza nanzo leo wakati nasubiri waziri husika asikie kilio cha wanyongeHivi hakuna njia mbadala ya kupata internet tofauti na hii mitandao simu? mimi hapa bado limeisha toka jana na sina mpango wa kuangaika na hivyo virushi vyao ni mwendo wa freebasics tu.
Ndio akili imetumika hapo, unapiga sehemu ambayo haikwepeki sio unapiga sehemu ambayo mtu ana option. Hapa watu watalalamika ila watanunua tu vifurushi.Hii ni tweet ya mtu anaejitiasa Baba Mwita;
Kitu ambacho Serikali mnatakiwa kufanya; punguzeni Kodi mnazotoza kwa Makampuni ya Simu, wao watashusha bei za Vifurushi, watumiaji na wanunuzi wa Vifurushi WATAONGEZEKA; in return, mtaingiza Kodi nyingi. Hizi sarakasi mnazotaka kufanya — ZITAWASHINDA. Tumieni AKILI sio NGUVU.
Naona unalazimisha kalio lako kutafuna muwa, na sio kazi yaliyoumbiwa.
Mimi sibishani na fukara kama wewe, tafuta hela usije ukafa kibudu.
Tunaita wengine mabeberu, kumbe mabeberu halisi yapo !!Tupaze sauti zetu kwa nguvu kuwa nafasi aliyopewa ya uwaziri wa mawasiliano haimfai. Aondolewe apelekwe kwingine. Ameumiza Sana wananchi na Bei hizo za vifurushi. Wachache watamudu mawasiliano
Tupaze sauti zetu kwa nguvu kwa njia zote zinazowezekana, Nina Imani Rais atasikia kilio chetu Kama alivyomuhamisha Jafo.
jinga ww msukuma,kwaiyo ww zezeta izo sheria zimetungwa na mama Samia? Nyau weweAcha ufala bi dada kwani Magufuli yupo kwasasa mbona unakichwa kama panzi, we lia na Wakina suluhu na waziri husika.
Halafu eti alikuwa Rais wa wanyonge!!Ndio akili imetumika hapo, unapiga sehemu ambayo haikwepeki sio unapiga sehemu ambayo mtu ana option. Hapa watu watalalamika ila watanunua tu vifurushi.