mzalendoalltz
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 828
- 709
Mahindi mengi pia yako Kenya mengine tulioagizia kutoka nje, shida si kwamba hakuna chakula, shida ni kwamba wanaokumbwa na kiangazi hawana hela za kununua chakula, Kawaida sehemu nyingi africa familia maskini hua zinapanda mahindi na vyakula vyengine wakati wa msimu wa mvua alafu ikifika msimu wa jua wanaendelea kula walichovuna msimu uliopita... Mahali kama turkana kiangazi kinapiga mwaka mzima alafu hakuna makampuni ya kufanyi kazi biashara ilioko ni kufuga ngamia,ngombe na mbuzi yote inategemea maji na nyasi... Watu wa turkana wanahitaji maji ndo waweze kujitegemeaUkame Kenya Waturkana 14 wafa kwa njaa
Nimewahi kusema maneno mengi hayavunji mfupa. Wakenya wengi wanaleta habari za kuonyesha kuwa wako second world, lakini ukiwaambia kuwa utajiri mwingi haupo kwa wananchi wa kawaida hawaelewi. Utajiri mwingi wa Kenya Umelala Nairobi sehemu nyingine ni maskini wa forth world. Any way tusahau hayo
Tumuombe Rais wetu pamoja na Rais wa Uganda tuwasaidie hawa majirani tuna mahindi mengi sana tuwasaidie na Mungu atatuonyesha makuu
Asanteni
Mahindi mengi pia yako Kenya mengine tulioagizia kutoka nje, shida si kwamba hakuna chakula, shida ni kwamba wanaokumbwa na kiangazi hawana hela za kununua chakula, Kawaida sehemu nyingi africa familia maskini hua zinapanda mahindi na vyakula vyengine wakati wa msimu wa mvua alafu ikifika msimu wa jua wanaendelea kula walichovuna msimu uliopita... Mahali kama turkana kiangazi kinapiga mwaka mzima alafu hakuna makampuni ya kufanyi kazi biashara ilioko ni kufuga ngamia,ngombe na mbuzi yote inategemea maji na nyasi... Watu wa turkana wanahitaji maji ndo waweze kujitegemea
Ukame Kenya Waturkana 14 wafa kwa njaa
Nimewahi kusema maneno mengi hayavunji mfupa. Wakenya wengi wanaleta habari za kuonyesha kuwa wako second world, lakini ukiwaambia kuwa utajiri mwingi haupo kwa wananchi wa kawaida hawaelewi. Utajiri mwingi wa Kenya Umelala Nairobi sehemu nyingine ni maskini wa forth world. Any way tusahau hayo
Tumuombe Rais wetu pamoja na Rais wa Uganda tuwasaidie hawa majirani tuna mahindi mengi sana tuwasaidie na Mungu atatuonyesha makuu
Asanteni
Technically ni Lower middle income ambapo tuko na 26% ya population wanaishi chini ya $1 a day, Sehemu ya turkana iko on the extreme level ambapo maskini hawawezi hata panda chakula ni lazima wanunu kila kitu wakati hawana kitu, Angalau watu wa pwani woko na maembe na minazi ....But How is this possible ?Kenya ni Nchi ya Kipato cha Kati,
Yaani kuna watu hata hawawezi kununua mahindi kwenye nchi ya Kipato cha kati??
Wewe unasema kwa maoni yako, lakini Uhuru Kenyatta amekiri juzi kwamba Kenya haina uwezo wa kujilisha, hayo mahindi mnayozalisha hayatoshi kulisha Wakenya kwa mwaka, kila mwaka lazima Kenya inunue chakula toka Uganda na Tanzania.Mahindi mengi pia yako Kenya mengine tulioagizia kutoka nje, shida si kwamba hakuna chakula, shida ni kwamba wanaokumbwa na kiangazi hawana hela za kununua chakula, Kawaida sehemu nyingi africa familia maskini hua zinapanda mahindi na vyakula vyengine wakati wa msimu wa mvua alafu ikifika msimu wa jua wanaendelea kula walichovuna msimu uliopita... Mahali kama turkana kiangazi kinapiga mwaka mzima alafu hakuna makampuni ya kufanyi kazi biashara ilioko ni kufuga ngamia,ngombe na mbuzi yote inategemea maji na nyasi... Watu wa turkana wanahitaji maji ndo waweze kujitegemea
Kama ungekua ulifikiria vizuri ungegundua jibu liko kwa comment ulio iandika..... Mara nyengine unafaa ufikirie critically na logically.. si lazima mtu mwengine akwambie kitu ndo ufwatilie upepo......Wewe unasema kwa maoni yako, lakini Uhuru Kenyatta amekiri juzi kwamba Kenya haina uwezo wa kujilisha, hayo mahindi mnayozalisha hayatoshi kulisha Wakenya kwa mwaka, kila mwaka lazima Kenya inunue chakula toka Uganda na Tanzania.
Jambo linalonishangaza Sana ni kwamba ninyi Wakenya mnajifanya mnajua kila kitu zaidi ya kila mtu, hivi unawezaje kusema kwamba mna mahindi yakutosha wakati rais wako mwenye amekiri hadharani kwamba hamuwezi kujilisha na Kenya inategemea kununua chakula toka Uganda na Tanzania?, kwanini mnakosa aibu, busara na hekima kiasi hicho?, tatizo you have highly inflated ego.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikupe nikujulishe ili uelewa, tukisema nchi au mtu hana chakula au anakumbwa na tatizo la njaa, maana yake anapungukiwa na Kati ya moja ya haya mambo yafuatayoKama ungekua ulifikiria vizuri ungegundua jibu liko kwa comment ulio iandika..... Mara nyengine unafaa ufikirie critically na logically.. si lazima mtu mwengine akwambie kitu ndo ufwatilie upepo......
Rais akisema hatuwezi jilisha anamaanisha chakula tunachozalisha hakitutoshi na inabidi tuagizie chengine kutoka nje... Comment niliyosema hapo awali ni..... " Mahindi mengi pia yako Kenya mengine tulioagizia kutoka nje, shida si kwamba hakuna chakula, shida ni kwamba wanaokumbwa na kiangazi hawana hela za kununua chakula, "
Kwahivyo si eti Kenya ina uhaba wa chakula, Unga uko kwa maduka, mafuta ya kupikia yako kwa maduka, mchele uko kwa maduka na bei yake haijapanda iko pale pale.... (kumbuka bei ya bidhaa inategemea supply and demand.... Kama kungekua na uhaba wa chakula bei ya mahindi na vyakula vyengine ingekua ilipanda)...... Kwahivyo tatizo si eti hakuna chakula Kenya, Tatizo ni kwamba watu wa eneo kama turkana hua hawana hela ya kununua hivi vyakula na hua wanategemea mvua kupanda mahindi na vyakula vyengine na kuyakausha ili watumie mwaka mzima, kwahivyo kukiwa na kiangazi zaidi ya mwaka mmoja inamaanisha familia haitakua na mahindi au chakula chochote chakukausha na kutumia mwaka ufwatao..
Hata huko Tz kuna wengi Sana hawazi afford chakula ... 3/4 ya hayo ulioandika yanapatikana Tz na nchi nyingi Africa ikiwemo SA, tofauti ni kwamba mvua husaidia familia nyingi chochole kupanda mahindi,mihogo..etc ambayo wanatumia kujistiri... Hii ndo maana haitaskia watu wa Lamu au Kwale au maeneo mengine kama hayo yanakumbwa na njaa ilihali haya maeneo hua yako na watu maskini kwasababu mvua hunyesha haya maeneo na maji si haba kama vile kule jangwani upande wa kaskazini....Ngoja nikupe nikujulishe ili uelewa, tukisema nchi au mtu hana chakula au anakumbwa na tatizo la njaa, maana yake anapungukiwa na Kati ya moja ya haya mambo yafuatayo
1)Availability
2)Accesibility
3)Affordability
4)Consumability/Utility
Kati ya hayo maybe, kama likikosekana hata moja tu, basi husababisha njaa, Wewe umeshikilia hilo moja la kwanza pekee, ambalo hata hilo pia Bado Kenya haijitoshelezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wakenya mkiongelea hili janga la njaa nchini kwenu (Zaidi ya 10 counties) bila kuitaja Tanzania mnapungukiwa na nini? This is not about the battle, this is your problem within your boundaries sio Tanzania na wala Tanzania haijawahi kuwa hivi, am not trying to brag sababu najua hawa watu hawakupenda wawe na njaa lakini your corrupt and greedy government lead all thisHata huko Tz kuna wengi Sana hawazi afford chakula ... 3/4 ya hayo ulioandika yanapatikana Tz na nchi nyingi Africa ikiwemo SA, tofauti ni kwamba mvua husaidia familia nyingi chochole kupanda mahindi,mihogo..etc ambayo wanatumia kujistiri... Hii ndo maana haitaskia watu wa Lamu au Kwale au maeneo mengine kama hayo yanakumbwa na njaa ilihali haya maeneo hua yako na watu maskini kwasababu mvua hunyesha haya maeneo na maji si haba kama vile kule jangwani upande wa kaskazini....
Mwaka iliopita Kenya ilikua na uhaba wa mahindi na bei take ikapanda kiasi ambacho hakijawai onekana Kenya, huo mda wote haukuskia watu wa Turkana wakiwa na njaa,...why? Kwasababu walikua na stoke yao ya chakula na visima vilikua havijakauka... Mpatie mtu WA Turkana maji na hautaskia tena habari za kutoka huko...
Mbona unataka kubisha vitu bilivyowazi kabisa?. Serikali yenu ilitangaza mwaka Jana kwamba njaa na ukame ni janga la kitaifa, UN kupitia WFP nao walitangaza kwamba Wakenya Milioni nne wanakabiliwa na njaa na kuomba jumuiya ya kimataifa kuisaidia Kenya chakula.Hata huko Tz kuna wengi Sana hawazi afford chakula ... 3/4 ya hayo ulioandika yanapatikana Tz na nchi nyingi Africa ikiwemo SA, tofauti ni kwamba mvua husaidia familia nyingi chochole kupanda mahindi,mihogo..etc ambayo wanatumia kujistiri... Hii ndo maana haitaskia watu wa Lamu au Kwale au maeneo mengine kama hayo yanakumbwa na njaa ilihali haya maeneo hua yako na watu maskini kwasababu mvua hunyesha haya maeneo na maji si haba kama vile kule jangwani upande wa kaskazini....
Mwaka iliopita Kenya ilikua na uhaba wa mahindi na bei take ikapanda kiasi ambacho hakijawai onekana Kenya, huo mda wote haukuskia watu wa Turkana wakiwa na njaa,...why? Kwasababu walikua na stoke yao ya chakula na visima vilikua havijakauka... Mpatie mtu WA Turkana maji na hautaskia tena habari za kutoka huko...
Hata huko Tz kuna wengi Sana hawazi afford chakula ... 3/4 ya hayo ulioandika yanapatikana Tz na nchi nyingi Africa ikiwemo SA, tofauti ni kwamba mvua husaidia familia nyingi chochole kupanda mahindi,mihogo..etc ambayo wanatumia kujistiri... Hii ndo maana haitaskia watu wa Lamu au Kwale au maeneo mengine kama hayo yanakumbwa na njaa ilihali haya maeneo hua yako na watu maskini kwasababu mvua hunyesha haya maeneo na maji si haba kama vile kule jangwani upande wa kaskazini....
Mwaka iliopita Kenya ilikua na uhaba wa mahindi na bei take ikapanda kiasi ambacho hakijawai onekana Kenya, huo mda wote haukuskia watu wa Turkana wakiwa na njaa,...why? Kwasababu walikua na stoke yao ya chakula na visima vilikua havijakauka... Mpatie mtu WA Turkana maji na hautaskia tena habari za kutoka huko...