Tanzania na uganda ndio nchi pekee zilizopigana vita Africa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania na uganda ndio nchi pekee zilizopigana vita Africa

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Sangarara, May 18, 2012.

 1. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Ukiacha hivi vimashambulizi vya kuviziana viziana vya baina ya nchi ambazo hapo mwanzo zimewahi kuwa nchi moja kabla ya kamoja kujitenga.

  Niko tayari kusahihishwa, lakini kumbukumbu zangu zinaonyesha kwamba hakuna nchi nyingine ambazo zimepata kuingia vitani katika namna ambayo kila mwananchi anawajibika kupigana kama ilivyotokea wakati wa vita kati ya Tanzania na Uganda. Au la!!!! tuviite vita kati ya Tanzania na Iddi Amini sababu kuna ushahidi kwamba Waganda hawakushiriki vita vile katika namna ambayo watanzania walishiriki au walihamasishwa kushiriki.

  Mwenye kumbukumbu sahihi aniweke sawa.
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Ethiopia vs samalia?!
   
 3. Nelsweeter

  Nelsweeter Senior Member

  #3
  May 19, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uganda vs Rwanda + Ethiopia vs Eritrea
   
 4. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Wananchi wa nchi hizo nao walihamasishwa kushiriki? vilipiganwa lini? kwa nini?
   
 5. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Hii ya Uganda na Rwanda sidhani kama ilikuwa vita, zilikuwa chokochoko tu.
   
 6. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  You remain to be correct
   
 7. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,497
  Likes Received: 5,979
  Trophy Points: 280
  nigeria na cameroon
   
 8. f

  fady brown New Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lakini kweli ni vita hivyo tu(ug&tz) hakuna vngn tena!
   
 9. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Libya vs Tchad, Ethiopia vs Somalia (fighting over Ogaden province), Ethiopia vs Eritrea
   
 10. bona

  bona JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2012
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  libya vs chad, the congo and zimbabwe on one side vs uganda and rwanda on the other side! ethiopia vs eritrea! camon usipende onyesha ufinyu wako wa historia!
   
 11. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #11
  May 22, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana na ufinyu wangu wa historia, sababu hakuna mtu anaweza akajua kila kitu, lakini nachelea usije ukawa unarefer kwenye tumashambulizi twa kuvizia viziana huku kila mmoja akisema hoo nchi yangu inashambuliwa.

  Namaanisha vita kwa maana ya kwamba, Rais anatangaza NCHI YETU IKO VITANI na vita vikaisha baada ya Taifa Moja au Majeshi ya Taifa moja kushindwa na baada ya hipo zisisikike chokochoko zingine za kivita zaidi ya propaganda za wanasiasa tu, Kama ilivyokuwa kwa Tanzania na Uganda, au NATO na SADAMU HUSSEIN.

  Sababu hiyo unayorefer kama Vita ya Rwanda na Uganda, Mseven never declared war, Hivyo vya Libya na Chad pia sio kitu nachorefer mimi sababu kuna sort of civilian war ilikuwa ikiendelea CHAD na ghadafi kama kawaida yake alikuwa anaback up upande mmoja, similar to kind of what happened in what you refer to as Uganda - Rwanda war, these were mere conflicts, Unless useme kama ni hivyo hata Tanzania Fought Idd Amini not Uganda sababu Civilian Ugandan never wanted that war. if am correct. Nadhani unanielewa.
   
 12. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #12
  Jun 4, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Ethiopia v Elitrea
   
 13. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #13
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Kenya vs somalia a.k.a alshabaab
   
 14. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #14
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,186
  Trophy Points: 280
  Define vita kwanza tujue tunaongelea nini.
   
 15. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #15
  Jun 5, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,075
  Trophy Points: 280
  Mnahangaika tu, nchi imewashinda kuongoza mnataka kusingizia vita ya mwaka 1978!
  Rwanda waliuana mamilioni juzi tu wamesahisha makosa yao wametupita. Ujinga mtupu!
   
 16. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #16
  Jun 5, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Mkuu ukiwa waziri wa elimu si utafuta somo la historia wewe??
   
 17. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #17
  Jun 5, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Wewe umeishaelewa nachotafuta, unachokifanya ni kutaka kuniweka roho juu juu
   
 18. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #18
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,186
  Trophy Points: 280
  Unajuaje kama nimeelewa? Wewe muaguzi?
   
 19. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #19
  Jun 6, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Hapana ni Mbashiri.
   
 20. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #20
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tujadili mambo ya msingi na hasahasa katiba ili MAGAMBA wasiichakachue!
   
Loading...