Tanzania na Ajira za Kujuana

Tanzania na Ajira za Kujuana

Joined
Sep 21, 2011
Posts
58
Reaction score
15
Kwa kweli bila kujuana na mtu katika hii nchi kupata ajira ni ngumu hakuna mfano. Usione jamaa wanafanya kazi alafu unaambiwa nilituma maombi tu nikaitwa kwenye usaili wengi ni waongo ila walishikwa mikono na jamaa au rafiki zao.

Kwa nilioshuhudia wamepita kwa njia nilioeleza hapo juu.

1. Mwaka jana mwezi wa 4 nilifanya usaili nikaambiwa nilete barua za wadhamini ili nisaini mkataba wa kazi baada ya kukamilisha kila kitu nikaambia utakuja J5 kusaini mkataba, J4 nikapigiwa nisubiri mpaka nitakapopigiwa tena ninaendelea kusubiri mpaka leo.

2. Nimefanya usaili bosi kanitumia email niende kuripoti kazini kesho saa 2 nimeona ujumbe kesho mchana bosi kasema sko makini washaweka mtu mwingine.

3. Usaili umeisha nimepigishwa mihuri kwa wanasheria, nimechukuliwa alama za vidole nikaambiwa utaambiwa baada ya siku chache ili uanze kazi mpaka leo.

Bongo nimewakubali.
 
Kwa kweli bila kujuana na mtu katika hii nchi kupata ajira ni ngumu hakuna mfano. Usione jamaa wanafanya kazi alafu unaambiwa nilituma maombi tu nikaitwa kwenye usaili wengi ni waongo ila walishikwa mikono na jamaa au rafiki zao. Kwa nilioshuhudia wamepita kwa njia nilioeleza hapo juu. 1. Mwaka jana mwezi wa 4 nilifanya usaili nikaambiwa nilete barua za wadhamini ili nisaini mkataba wa kazi baada ya kukamilisha kila kitu nikaambia utakuja J5 kusaini mkataba, J4 nikapigiwa nisubiri mpaka nitakapopigiwa tena ninaendelea kusubiri mpaka leo. 2. Nimefanya usaili bosi kanitumia email niende kuripoti kazini kesho saa 2 nimeona ujumbe kesho mchana bosi kasema sko makini washaweka mtu mwingine. 3. Usaili umeisha nimepigishwa mihuri kwa wanasheria, nimechukuliwa alama za vidole nikaambiwa utaambiwa baada ya siku chache ili uanze kazi mpaka leo. Bongo nimewakubali.
Pole sana.Ila subiri waje wajuvi wenye vibarua zao watakuambia kajiajiri.
 
Pole sana mkuu..au mayb GPA yako ina matege?
 
Kwani GPA yenye matege ni ipi jamani... kuna watu nawajua GPA za kugundisha na wana kazi wale wa GPA kubwa hadi hawawezi kubeba tupi nao street
 
kweli kabisa ndugu yangu!
Hivi navyoandika hapa,
..tulifanya application NMB!
Kwanza,wale ambao ndo wanatakiwa kwny shot list,barua zao za application zilikuwa zinachukuliwa na m2 maalum kupelekwa mahali husika!wengine mnaambiwa kabidhi kwa mlinzi!....nakwambia m2 baada ya written interview,kabla ya kuitwa oral,anaulizwa unataka branch gani!upo hapo!
...so hyo ndo hali jalisi kwa tusio na watu,tuombe Mungu 2!
 
ndo chichiem ilipowafikisha na bado mnavaa t-shirt na kofia zao wakiwapa elf tano. Unasahau kabisa kuwa kunamaisha baada ya elfu tano kuisha.
 
Ndugu joachim hayo maeneo uliyofanya usaili na kufikia hatua hizo ni mashirika binafisi,serikalini au mashirika ya umma????hujatoa ufafanuz juu ya hilo ndugu!
 
Ndugu joachim hayo maeneo uliyofanya usaili na kufikia hatua hizo ni mashirika binafisi,serikalini au mashirika ya umma????hujatoa ufafanuz juu ya hilo ndugu!

Mashirika binafsi na mabenki, ila nashukuru Mungu japo sijafanikiwa kunamtu kanipa kimtaji nikaanza biashara ya umachinga.
 
Kwani GPA yenye matege ni ipi jamani... kuna watu nawajua GPA za kugundisha na wana kazi wale wa GPA kubwa hadi hawawezi kubeba tupi nao street

Mbona vilaza kibao wanaofisi za maana, nilisoma na jamaa akapata carry over lakini kaajiriwa na benki kubwa tu baadae ndio akaenda kumalizia kozi yake.
 
Nendeni kwenye Mifuko ya Hifadhi za Jamii ndo mtashangaa!! Huko kwenye ma-benki mbona ni cha mtoto!!
 
Kwa kweli bila kujuana na mtu katika hii nchi kupata ajira ni ngumu hakuna mfano. Usione jamaa wanafanya kazi alafu unaambiwa nilituma maombi tu nikaitwa kwenye usaili wengi ni waongo ila walishikwa mikono na jamaa au rafiki zao.

Kwa nilioshuhudia wamepita kwa njia nilioeleza hapo juu.

1. Mwaka jana mwezi wa 4 nilifanya usaili nikaambiwa nilete barua za wadhamini ili nisaini mkataba wa kazi baada ya kukamilisha kila kitu nikaambia utakuja J5 kusaini mkataba, J4 nikapigiwa nisubiri mpaka nitakapopigiwa tena ninaendelea kusubiri mpaka leo.

2. Nimefanya usaili bosi kanitumia email niende kuripoti kazini kesho saa 2 nimeona ujumbe kesho mchana bosi kasema sko makini washaweka mtu mwingine.

3. Usaili umeisha nimepigishwa mihuri kwa wanasheria, nimechukuliwa alama za vidole nikaambiwa utaambiwa baada ya siku chache ili uanze kazi mpaka leo.

Bongo nimewakubali.

nimependa sana story ako mana haitofautiani na angu, nilipigiwa simu January mwaka huu kwamba nimepata kazi na ningeanza Feb nikaambiwa nifanye medical check up, nikaape kwa commision of oath na nipeleke reference kila kitu nikafanya cha ajabu hadi leo eti bado wana verify vyeti yani upuuzi mtupu. cjataka kulitaja hilo shirika mana ni kubwa sana kwa hapa bongo ila ipo cku nitawataja hapa hapa jamii forum
 
kweli kabisa ndugu yangu! Hivi navyoandika hapa, ..tulifanya application NMB! Kwanza,wale ambao ndo wanatakiwa kwny shot list,barua zao za application zilikuwa zinachukuliwa na m2 maalum kupelekwa mahali husika!wengine mnaambiwa kabidhi kwa mlinzi!....nakwambia m2 baada ya written interview,kabla ya kuitwa oral,anaulizwa unataka branch gani!upo hapo! ...so hyo ndo hali jalisi kwa tusio na watu,tuombe Mungu 2!
So sad!
 
Huo ndo ukweli ila co kweli. Ukweli unaelezeka kwa wanadamu ni hali halisi ambayo tunakutana nayo yan ndvyo inavyotokea. Kweli ipo kwa Mungu hata kama huna unaemjua yupo Mungu anaekujua tangu ulipozaliwa mpk mwisho hvyo mafankio co kaz ya CRDB,NMB au BANDARI mana hayo ni maeneo ambayo graduates wengi 2napenda 2we huko lakin ha2mo . UBATILI MTUPU yupo Mungu wa wanyonge atatupigania 2tapata kaz hata kama cna ndugu ninayemwamin hajawah kuniacha hataniacha mpk mwisho Ipo cku 2tafika .
 
Mbona vilaza kibao wanaofisi za maana, nilisoma na jamaa akapata carry over lakini kaajiriwa na benki kubwa tu baadae ndio akaenda kumalizia kozi yake.

Yaa,tena hao ndio wengi acha 2! Bt all in all God is in control
 
Back
Top Bottom