Tanzania na Ajira za Kujuana

Tanzania na Ajira za Kujuana

Huo ndo ukweli ila co kweli. Ukweli unaelezeka kwa wanadamu ni hali halisi ambayo tunakutana nayo yan ndvyo inavyotokea. Kweli ipo kwa Mungu hata kama huna unaemjua yupo Mungu anaekujua tangu ulipozaliwa mpk mwisho hvyo mafankio co kaz ya CRDB,NMB au BANDARI mana hayo ni maeneo ambayo graduates wengi 2napenda 2we huko lakin ha2mo . UBATILI MTUPU yupo Mungu wa wanyonge atatupigania 2tapata kaz hata kama cna ndugu ninayemwamin hajawah kuniacha hataniacha mpk mwisho Ipo cku 2tafika .

Hiyo ndo hali halisi,bisha usibishe,bt cha msingi,sema tumtegemee Mungu basi.
 
wataje kiongozi wamezoea hizi ni zama za ukweli na uwazi, lakini tutafika tu pindi tutakapopata viongozi wenye nia ya kweli ya kutukomboa sisi wanyonge
 
Katika suala la kutafuta kazi kila mtu ana lake analoweza kuongea. Sijawahi kujaribu kuomba kazi katika taasisi za serikali au mashirika ya umma lakini katika sekta binafsi nimekutana na changamoto kadhaa na katika kazi zote nilizofanikiwa kupata hakuna ambayo nilibebwa na mtu mgongoni bali ni kutokana na uwezo wangu.

Pia naamini ya kwamba katika kazi ambazo zinahusisha "Professionals" kuna mipaka ya kubebana. Hakuna mwajiri atakaetaka kuajiri mtu ambaye mwisho wa siku atakuwa ni "liability" katika taasisi husika.
 
Pole sana mkuu!Hizo kazi za B.O.T na IKULU wenzio huwa hatuziombi!Sisi makabwela kazi zetu ni zile za Tamisemi tena Halmashauri za nkasi,Nanyumbu etc!!
 
Katika suala la kutafuta kazi kila mtu ana lake analoweza kuongea. Sijawahi kujaribu kuomba kazi katika taasisi za serikali au mashirika ya umma lakini katika sekta binafsi nimekutana na changamoto kadhaa na katika kazi zote nilizofanikiwa kupata hakuna ambayo nilibebwa na mtu mgongoni bali ni kutokana na uwezo wangu.

Pia naamini ya kwamba katika kazi ambazo zinahusisha "Professionals" kuna mipaka ya kubebana. Hakuna mwajiri atakaetaka kuajiri mtu ambaye mwisho wa siku atakuwa ni "liability" katika taasisi husika.

Hata mimi kwenye sekta binafsi cjawah kubebwa na mtu.lakini kama mtu ana imani kua cwezi kupata hii kazi mpaka nibebwe kweli hawezi pata
 
asa ww uliambiwa uende asubuhi halafu hukwenda, hukua makini kweli
 
yaaani dunia hii tutakufa na elimu zetu mtaani...mambo ya kujuana...ofisini kwetu mpk leo ma senior ndio wenye elimu ndogo..yaani ni diploma tu plus ma trainning yao......but wenye masters na post graduate ndio tupo chini kabisa...tena unaitwa clerk...ama kweli kujuana ndio kila kitu hapa bongo...unahangaika kufany interview kumbe watu wao ndio wameshaaweka kabisaa...unajisumbua tu
 
nimependa sana story ako mana haitofautiani na angu, nilipigiwa simu January mwaka huu kwamba nimepata kazi na ningeanza Feb nikaambiwa nifanye medical check up, nikaape kwa commision of oath na nipeleke reference kila kitu nikafanya cha ajabu hadi leo eti bado wana verify vyeti yani upuuzi mtupu. cjataka kulitaja hilo shirika mana ni kubwa sana kwa hapa bongo ila ipo cku nitawataja hapa hapa jamii forum

hebu wataje bwana..usiwakalie kimya...watazoea...tanzania ya siku hizi ni kuchanana live...watajeeeeeeeeeeee
 
yaaani dunia hii tutakufa na elimu zetu mtaani...mambo ya kujuana...ofisini kwetu mpk leo ma senior ndio wenye elimu ndogo..yaani ni diploma tu plus ma trainning yao......but wenye masters na post graduate ndio tupo chini kabisa...tena unaitwa clerk...ama kweli kujuana ndio kila kitu hapa bongo...unahangaika kufany interview kumbe watu wao ndio wameshaaweka kabisaa...unajisumbua tu

CEO wa NSN network, Sony, Samsung,Toyota, Pepsi na makampuni kibao makubwa duniani wana kiwango cha degree 1 tu lakini wanaongoza watu wenye PHD na kuendelea.. Maana Research and Development centre za makampuni ya technology zinaajiri wasomi kweli kweli kwa ajili ya new product development and market analysis... Lakini hao wasomi wanakubali kuongozwa na degree moja kwa sababu wanaelewa kuna position ili upewe sio vyeti bali ni uwezo, hekima, busara, experience, maturity etc
 
Hili la kuita watu ktk usaili ilhali wana majina yao linaumiza. Rasilimali hupotea bure.
 
CEO wa NSN network, Sony, Samsung,Toyota, Pepsi na makampuni kibao makubwa duniani wana kiwango cha degree 1 tu lakini wanaongoza watu wenye PHD na kuendelea.. Maana Research and Development centre za makampuni ya technology zinaajiri wasomi kweli kweli kwa ajili ya new product development and market analysis... Lakini hao wasomi wanakubali kuongozwa na degree moja kwa sababu wanaelewa kuna position ili upewe sio vyeti bali ni uwezo, hekima, busara, experience, maturity etc

Hilo nalo ni somo tunapata kutoka kwako; lakini basi ikitokea mimi na maprofesa wenzangu (msemo tu, mm sio profesa) tunashindania nafasi mahala panaoongozwa na mwenye degree au diploma na sifa nyngne stahiki, taratibu zilizowekwa mahala husika za kumpata mfanyakazi mpya ziheshimiwe!!!
 
tatizo ni kwamba, wanaolalamikia kubebabana, nao moyoni wanatamani kubebwa....

live mm mwenyewe npo home bt cna cha kufanya kwani cna ndugu hata mmoja aliye kwenye system, nabaki kujilaumu kila wakati. cna msaada huo wananufaika wale walio na ndugu pamoja namarafiki kwenye system.
 
mimi sijui na sitaki kujua kwanini watu wanapendelea ama wadogo zao au ndugu zao kupata kazi, pengine wana taka tufikiri kujiajiri ili baadaye tuwazidi pesa maana kwenye mashika au mabank hakuna pesa. kuwa mfanyakazi kule nikutafuta sifa wala siyo pesa, jaribu kujishughulisha na shughuli za madini uone uhondo na utamu wa wingi wa pesa zipo kule zimejaa tele.
 
Katika suala la kutafuta kazi kila mtu ana lake analoweza kuongea. Sijawahi kujaribu kuomba kazi katika taasisi za serikali au mashirika ya umma lakini katika sekta binafsi nimekutana na changamoto kadhaa na katika kazi zote nilizofanikiwa kupata hakuna ambayo nilibebwa na mtu mgongoni bali ni kutokana na uwezo wangu.

Pia naamini ya kwamba katika kazi ambazo zinahusisha "Professionals" kuna mipaka ya kubebana. Hakuna mwajiri atakaetaka kuajiri mtu ambaye mwisho wa siku atakuwa ni "liability" katika taasisi husika.

Ww ulipata kazi mshukuru mungu,ila usibishe hali halisi iliyopo!
Unafikiri cc hatutafuti?mpaka watu wanakuja kulalamika hapa usifikiri mchezo!
...mi imenitokea juzi 2,nmb na bank ya wanawake,cjui utaniambia nn!
...ww shukuru ulipata bila kubebwa basi,bt sio km tusiopata hatuombi au hatuna vigezo au hatufanyi vzr interview
 
Tupe mtaji basi tuende huko kwenye madini, tunakosa hata ya kutoa vyeti coppy we unatuagizia tuende kufanya biashara ya madini, wabongo bana?
 
Kaka we acha tu, sina hata hamu ya kuomba tena kazi maana hata mimi ni victim wa haya mambo, ipo siku Yesu ataponyesha majeraha yetu tu
 
Back
Top Bottom