Leo Jumapili, Mei 12, 2024 limetokea tatizo la internet kwenye mitandao ya simu Tanzania kuanzia saa nne asubuhi. Taarifa za awali zinasema mkongo wa kimataifa uliopita chini ya maji uko chini ukizikumba pia Mombasa mpaka Johanesburg.
IPO siku watazima mitandao halafu wao ndio yawatokee puani sisi hatuna habari nao!!
Kama walivyomuingiza yule jamaa akaja kuwapigisha magoti na wao ipo siku watakata mawasiliano kazi ikaanza rasmi na hawatoamini na sisi.hatutojua chochote nanitakula kwao!