internet outage

An Internet outage or Internet blackout or Internet shutdown is the complete or partial failure of the internet services. It can occur due to censorship, cyberattacks, disasters, police or security services actions or errors.
Disruptions of submarine communications cables may cause blackouts or slowdowns to large areas. Countries with a less developed Internet infrastructure are more vulnerable due to small numbers of high-capacity links.
A line of research finds that the Internet with it having a "hub-like" core structure that makes it robust to random losses of nodes but also fragile to targeted attacks on key components − the highly connected nodes or "hubs".

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Waziri Nape kwanini husemi ni vigezo gani ambavyo Starlink hawajatimiza? Au wamegoma sharti la kuzima mtandao muda wowote mkiamua?

    Akiwa anahojiwa kutoka katika televisheni ya Wasafi (Wasafi TV) Waziri Nape amesema kuwa serikali haina matatizo na Starlink, kinachofanya washindwe kutoa huduma zao nchini ni sababu hawajakamilisha masharti, na kama wakikamilisha basi wataruhusiwa kutoa huduma nchini. Msikilize hapa ====...
  2. M

    Bando sasa ziwe bila ukomo wa muda wa matumizi

    Salam kwenu. Kufuatia changamoto ya internet tunayoendelea kuipata niiombe TCRA kuyaagiza makampuni yote yanayotoa huduma za internet. 1. Kufidia wateja wote kwa kurejesha bando zilizolika ama ku expire kipindi hiki cha tufani la internet. 2. Vifurushi vyote vya internet sasa visiwe na ukomo...
  3. Mhafidhina07

    Katuni ya The Simpsons na utabiri wa shida ya kimtandao duniani

    I am not getting in deep but nakumbuka kuna movie moja jamaa alionyesha kuna matatizo ya kimtandao yataikumba dunia I don't know he was thinking about this year au kuna kubwa kuliko. Masonic plans.
  4. Kitombise

    Tetesi: Makampuni ya simu kutoa GB 10 kama kufidia hasara na kuomba radhi kwa watumiaji wa mitandao ya simu

    Nyepesi nyepesi; Nimepata taarifa kuwa jana jumatatu makampuni yote ya simu yanayotoa huduma hapa nchini kuwa wamekaa na kujadili jinsi ya kutatua changamoto na kufidia hasara kwa watumiaji wa mtandao. Hivyo wamekubaliana kutoa GB 10 kwa kila mtumiaji wa mtandao kama kufidia hasara za bundle...
  5. J

    KUNRADHI: Kuhairishwa kwa Mjadala XSpaces

    Habari Mwana JF, JamiiForums inautaarifu Umma kuwa kutokana na tatizo la kukosekana kwa Intaneti, Mjadala uliopangwa kufanyika leo Mei 13, 2024 kupitia X Spaces umeahirishwa hadi wakati mwingine itakapotangazwa tena. Tunaomba Radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
  6. G

    Internet Outage: Unatumia mtandao gani wenye nafuu kwenye hili janga?

    Internet ipo slow sana lakini tunaweza kujuzana mitandao yenye nafuu. Hapa natumia halotel 4G, ipo slow kama kobe, Imenilazimu nizime picha kidogo kuna nafuu. Wewe unatumia mtandao gani, je, kuna nafuu? Pia soma: - Tanzania: Mtandao wa Intaneti wapotea hewani - Mitandao ya simu ipige faida ya...
  7. BARD AI

    TCRA: Kuna tatizo la Mfumo wa Mawasiliano ya Intaneti kwenye Mkongo wa Baharini

    Kama umekosa huduma ya intaneti kwa saa kadhaa leo, tambua shida sio kifaa unachotumia bali ni tatizo la kiufundi lililotokea kwenye miundombinu ya intaneti iliyopitishwa baharini. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dk Jabir Bakari amelithibitisha hilo alipotafutwa na...
  8. Newbies

    Tanzania: Mtandao wa Intaneti wapotea hewani

    Mtandao kupotea ghafla hewani, umepata changamoto gani mdau? ======= Leo Jumapili, Mei 12, 2024 limetokea tatizo la internet kwenye mitandao ya simu Tanzania kuanzia saa nne asubuhi. Taarifa za awali zinasema mkongo wa kimataifa uliopita chini ya maji uko chini ukizikumba pia Mombasa mpaka...
Back
Top Bottom