Tanzania maisha rahisi sana

Ati kuunganishwa na service ya tanesco 312600/= ? BS.
Saruji ya dangote 13000. Nani ahangaike na hizo za 20000.

Hao wanocomment ni waongo, duh. Endelea kuwaamini upate faraja moyoni mwako
Mbunhe wenu anadanganya pia?
 
Mi ndio nlishangaa bro...nilipiga hayo mahesabu hadi nikashtuka...hku tukipigiwa kelele km kwao maisha rahisi...

Umeona bei ya token kwanza
Hivi kumbe cost of living Tanzania iko higher than Kenya?
20191009_114701.jpeg
 
Nomaaaa!!!kodi mkuu...
Yani jiwe anawanyonya vile atakavyo..

Kisha utawakuta wengine wanapiga domo hku..walai hamna watu wanafiki km watanzani...

Yani nliwachoma sindano na ule uzi wa jwtz wakenda kulalamika kimya kimya kw moderator
Wah! Halafu their average earnings are very low. Nchi ya maziwa na asali kweli.
Hii nayo sindano kali sana...hutowaona hku...
Leo pia nina sindano mambo mbaya sana...nataka wiki hii niwavue nguo kabisa
 
Mi ndio nlishangaa bro...nilipiga hayo mahesabu hadi nikashtuka...hku tukipigiwa kelele km kwao maisha rahisi...

Umeona bei ya token kwanzaView attachment 1227420

Umeme wa 10k unapata 28.1 units sasa sijui umepandaje....
Hebu check vyema mkuu mimi nmenunua jana umeme.

Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1053441
Na mimi nimenunua jana. Sijaona bei kupanda!

Sent using Jamii Forums mobile app
Soma hizo quote kisha rudi kawaulize hao wajinga wenzako huo umeme wanaununua wapi
 
Kwhyo ni wapiga dili?
Soma hizo quote kisha rudi kawaulize hao wajinga wenzako huo umeme wanaununua wapi

hahaaa!!kisha kumbe hata hesabu hujui...chukua hyo 10k then u divide na hyo 28.1 uone unit moja itakuja ngapi...kwanza ni ghali zaidi
 
Endelea kupinga tu.....ukwel umesha umeshajulikana...kumbe ile watu husema vyuma vimekaza ni kwel...haiwezekani bei za bidhaa tz hasa vyakula ziwe juu hvo..manake kw mishahara yenu kiduchu, vyuma lazima vikaze kila leo
Soma Hizo quote zote,
 
Wananchi wa Tanzania wanateseka sana. wanaishi maisha magumu sana Mpaka wanatamani waelewe na wakenya.
 
Kisha unakuta jamaa hapa anakuja kusema tsh elfu kumi anajaza machungwa katika fridge yake...
Kwn ni bakuli au ni fridge jamani
Tofautisha matunda na nafaka kilaza wa mwisho ww.
Matunda ni bei rahisi sana Tz yamejazana.
Nafaka ndio hupanda bei.
 
Wananchi wa Tanzania wanateseka sana. wanaishi maisha magumu sana Mpaka wanatamani waelewe na wakenya.
Usiropoke wewe.
Mahitaji ya Tanzania unaweza ukaishi kwa 15000 Tsh kwa siku.
Mchele 2000tsh,sukari nusu 1200tsh,vitafunwa 500tsh mboga ujumlishe na mkaa 4000tsh na viungo 3000tsh.
Ukijumlisha almost 12000 tsh mpk 15000tsh.
Ichukue hiyo ibadilishe ktk hela ya kenya halafu nambie je unaweza kuilisha familia Kenya kwa Tsh 15000/=.
NASUBIRI JIBU..............

HALAFU TIZAMA CHINI WENZENU.

Endelea kupinga tu.....ukwel umesha umeshajulikana...kumbe ile watu husema vyuma vimekaza ni kwel...haiwezekani bei za bidhaa tz hasa vyakula ziwe juu hvo..manake kw mishahara yenu kiduchu, vyuma lazima vikaze kila leo
Hao ni wavivu tu unawajua watz wewe???
Wanapenda vitu vya bei ya chini sana wanapenda dezo sana.
Ilhali kwa siku japokuwa gharama za nafaka zimepanda ila waweza kuilisha familia yako kwa 15000tsh tyu.
Nataka uibadilishe hiyo 15000 ya kitz iwe ya kikenya halafu nambie unaweza kuitumia kuilisha familia ya nuclear Kenya????
Msiongee tu ninyi.
 
Back
Top Bottom