Tanzania maisha rahisi sana

Dibya20

Member
Joined
Apr 12, 2018
Messages
59
Points
125

Dibya20

Member
Joined Apr 12, 2018
59 125
HIYO bei ya token SIO sahihi kuna Watu wanaweka kujiridhisha tu usikute kaiweka bei ile ambayo anaisikia viongoz wanaposema kuhusu gharama kulingana na vyanzo vya uzalishaj wa umeme ndo yy kaichukua hyo usikute hata hajawah kununua umeme

Mi ndio nlishangaa bro...nilipiga hayo mahesabu hadi nikashtuka...hku tukipigiwa kelele km kwao maisha rahisi...

Umeona bei ya token kwanzaView attachment 1227420
 

Dibya20

Member
Joined
Apr 12, 2018
Messages
59
Points
125

Dibya20

Member
Joined Apr 12, 2018
59 125
bei za vyakula hupanda Kutokana na msimu Kwan mwaka huu huu hadi mwezi wa nane unga kilo ilikuwa NI 650 imepanda Kutokana na uhitaj mkubwa wa bidhaa sokon... Wakenya wanaitaka, Zimbabwe wanaitaka, Malawi wanaitaka kwa nn isipande
Manake sio kw ile mishahara yenu...nineamini sasa km maisha bongo ni magumu...

Bidhaa zimepanda bei mishahara magu kabana kuipandisha...vyuma vitaendelea kukaza nakwambia
 

Forum statistics

Threads 1,344,042
Members 515,307
Posts 32,805,762
Top