Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 10,458
- 12,195
Mkuu download hiyo picha hapo... Ujionee maajabuSijaelewa
Hata kama wanatumia ngazi za Kenya airways lakini hiyo bilashaka hiyo ni photo shop maana zetu ni bombardier hatuna jet sisiMmmmmmh....!! Haya maajabu yanayofanywa na Air Tanzania yanatia kichefu chefu!
Kama ilitua kenya je?ndege tanzania ngazi kenya aisee hili ni tatizo
Kama ilitua kenya je?
Hio ndege kwenye picha inawezaHivi tuna ndege yenye uwezo wa kufika Kenya..??
ndege tanzania ngazi kenya aisee hili ni tatizo
Kwa hiyo ndege ya Tanzania inatakiwa ibebe ngazi za kushukia kwa kila destination? Yaani kama Air Tanzania inatua Kenya, basi ngazi za kushukia zinatakiwa zitoke wapi na ziwe zimeandikwaje? Aliyesema malofa alikosea?
Hiyo picha ujaielewa.... Hapo hiyo ni ndege ya Air Tanzania imetua uwanja wa ndege wa jomo Kenyatta na ngazi/stair ya Kenya airways ndio itakayotumika kushushia abiria sasa ulitaka ya jk. Nyerere ipelekwe jomo KenyattaMmmmmmh....!! Haya maajabu yanayofanywa na Air Tanzania yanatia kichefu chefu!
hii ni ile ndege yet Boeng 737- zilikuwa mbili ambazo Makaburu waliziharibu! Ile ya pili ni Serengeti. Angalia hio rangi ilivyokuwa nzuri.