Tanzania kuwekewa vikwazo kimataifa?

Tanzania kuwekewa vikwazo kimataifa?

GHIBUU

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
4,432
Reaction score
3,016
Kuna uwezekano wa Tanzania kuwekewa vikwazo kwa sababu ya kuipindisha demokrasia nchini Zanzibar na hili linaonekana wazi wazi jumuiya zote za kimataifa pamoja na waangalizi wa uchaguzi zinawaunga mkono chama cha wananchi CUF pamoja na wananchi was Zanzibar kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwa amani.

Uchaguzi ulikuwa huru na uwazi.Suala hili la kuzuiliwa kwa kuendelea kutajwa matokeo lipo chini ya CCM na JK mwenyewe ndio wasimamizi was zoezi zima la uporaji wa demokrasia.

Kama viongozi wa CCM hawatotendea haki tutaunga mkono juhudi za kimataifa kwa CCM kushindwa kusimamia demokrasia na amani ya nchi.
 
Mkuu rekebisha sentensi yako inayosomeka nchini Zanzibar, kwani hujui kuwa Zanzibar siyo Nchi?
 
Wameacha kuwekewa vikwazo wakina kagame and co,ije kuwa tanzania!
 
Chonde wasiweke vikwazo tumeumia sana miaka 10 inatosha.
 
Kwa hiyo unafarijika nini na utapata faida gani pale wagonjwa watakufa kwa kukosa misaada itokanayo na vikwazo? Manyumbu bana! Jitu linawaza uroho wa madaraka tu.
hivi, bila misaada toka nje maisha hayawezekani. Tutaendelea kutegemea misaada kwa ajili ya huduma za kijamii mpaka lini? Labda vikwazo vitasaidia kuinyoosha nchi hii!!!
 
Kwa hiyo unafarijika nini na utapata faida gani pale wagonjwa watakufa kwa kukosa misaada itokanayo na vikwazo? Manyumbu bana! Jitu linawaza uroho wa madaraka tu.

Hivi nyie watu imekuwaje mmekubali kuHASIWA AKILI na CCM...!!! Mnawekeza ktk kuomba msaada kwa wanaume .....!! Then nanyie mnajiita viongozi
 
Mkuu rekebisha sentensi yako inayosomeka nchini Zanzibar, kwani hujui kuwa Zanzibar siyo Nchi?

Hebu rudia huyo sentensi yako? Eti Zanzibar siyo nchi? Mwulize Mizengo Kayanza Peter Pinda atakupa habari yake! Vizanzibari vilimjia juu!!
 
nahisi kama umejichanganya....au ni macho yangu hayaoni
Kuna uwezekano wa Tanzania kuwekewa vikwazo kwa sababu ya kuipindisha democracy nchini Zanzibar na hili linaonekana wazi wazi jumuiya zote za kimataifa pamoja na waangalizi was uchaguzi zinawaunga mkono chama cha wananchi cuf pamoja na wananchi was Zanzibar kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwa amani.
Uchaguzi ulikuwa huru na uwazi. Suala hili la kuzuiliwa kwa kuendelea kutajwa matokeo lipo chini ya ccm na JK mwenyewe ndio wasimamizi was zoezi zima LA uporaji was democracia .
Kama viongozi was ccm hawato tendea haki tutaunga mkono juhudi za kimataifa kwa ccm kushindwa kusimamia democracy na amani ya nchi.
 
Kwa hiyo unafarijika nini na utapata faida gani pale wagonjwa watakufa kwa kukosa misaada itokanayo na vikwazo? Manyumbu bana! Jitu linawaza uroho wa madaraka tu.

Akili mata.ko hii! Hivi ni nani mwenye uroho wa madaraka kati ya anayetafuta kwa haki na anayeng'ang'ania madarakani? Acheni utapiamlo wa ubongo namna hiyo!!
 
Kwa hiyo unafarijika nini na utapata faida gani pale wagonjwa watakufa kwa kukosa misaada itokanayo na vikwazo? Manyumbu bana! Jitu linawaza uroho wa madaraka tu.
Kwaninitunategemea misaada mpaka leo? Your comment is disturbing. Wagonjwa watakufa kwakukosa dawa real? Mbona dawa zenyewe hakuna? Maybe it's time tuondolewe kabisa hiyo misaada tutafute our own way of survival (kwakutumia rasilimali zetu). Tumekuwa crippled for a long time. It's time we stop being moochers.
 
Kwa hiyo unafarijika nini na utapata faida gani pale wagonjwa watakufa kwa kukosa misaada itokanayo na vikwazo? Manyumbu bana! Jitu linawaza uroho wa madaraka tu.

hayo ni utovu wa nidhamu kaka angu uroho wa madaraka wapi ? na nini maana ya uroho wa madaraka ? na hizo nafasi za uraisi, ubunge na udiwani mnazogombea ninyi mnachotafuta nini kama si madaraka ? so acha chuki mtu kashinda mpeni haki yake sio kukimbilia kufuta uchaguzi HALAFU MNAJIFICHA KWENYE KIVULI CHA AMANI MNALAZIMISHA AMANI KWA MTUTU WA BUNDUKI HAPO UTAAMBULIA UTULIVU TU KAKAANGU NA SI AMANI, DAIMA NA MILELE POPOTE PALE DUNIANI NA MBINGUNI AMANI NI TUNDA LA UHURU NA HAKI, MPE KILA MTU HAKI YAKE AMANI ITAKUJA AUTOMATICALLY BILA HATA YA KELELE KWENYE MAJUKWAA
 
Back
Top Bottom