Umslopagazi
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 1,737
- 935
Akili mata.ko hii! Hivi ni nani mwenye uroho wa madaraka kati ya anayetafuta kwa haki na anayeng'ang'ania madarakani? Acheni utapiamlo wa ubongo namna hiyo!!
Haki gani unayosema? ina maama hujui usanii alioufanya huko Pemba?