Tanzania kuwekewa vikwazo kimataifa?

Tanzania kuwekewa vikwazo kimataifa?

Ndugu zet wa Zanzibar ni watu wa ajabu kidogo.
Walibadili katiba yao na kuifanya kukiuka katiba mama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Waziri Mkuumstaafu Pinda alijaribu kuwaonya juu ya hatari hii ya kikatiba.
Wao wakaishia kumnanga kuwa hatambuliki Zanzibar na asiingilia mambo muhimu ya Wazanzibari.

Pinda akaufyata, na sijui kama aliwahi kutembelea huko Zanzibar.
Leo kwa kiburi kile kile cha Uzanzibari Mwenyekiti wa ZEC, Tume ya Uchaguzi Zanzibar ameufutilia mbali uchaguzi huko Zanzibar.
Hakuna wa kumuingilia
Zanzibar ni Nchi ati.

Leo tunamuona Maalim Seif akitoa povu ati na uchaguzi wa Tanzania Bara nao usimamishwe!
Tume ya Lubuva ilimkanusha haraka sana, na ni kama ilisema hilo ni suala la Zanzibar kwa mujibu wa katiba yenu.

Nami nasema Wazanzibari huu uozo wa ki katiba mliutengeneza wenyewe, mlinywe.
Mwalimu alisema, tena prophetically, hawa wazanzibari wakiamua kujitenga na kuwabagua watanzania bara, watapata matatizo , na leo tunayaona live.

Ni kama unasema Tanzania hatuna rais Bali tulie nae Ni rais Wa Tanganyika...
 
Kwan hio misaada imewah kumsaidia mama yup akajifungulia kitandan pale katikat ya jiji mwananymala hosp kwa kuanzia tu! Eti mroho wa madaraka! Huna hata aib mshenzi tu weewe! Na maccm ni waroho wa damu mbich za watanzania
Kwa hiyo unafarijika nini na utapata faida gani pale wagonjwa watakufa kwa kukosa misaada itokanayo na vikwazo? Manyumbu bana! Jitu linawaza uroho wa madaraka tu.
 
tulia dawa ikuingie
 
Mshenzi babaako. Waroho wa madaraka wakubwa nyinyi.
 
Kwa hiyo unafarijika nini na utapata faida gani pale wagonjwa watakufa kwa kukosa misaada itokanayo na vikwazo? Manyumbu bana! Jitu linawaza uroho wa madaraka tu.
Leo hii tuna misaada na bado wagonjwa wanakufa kwa kukosa huduma bora hospitali.
 
Ndugu zet wa Zanzibar ni watu wa ajabu kidogo.
Walibadili katiba yao na kuifanya kukiuka katiba mama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Waziri Mkuumstaafu Pinda alijaribu kuwaonya juu ya hatari hii ya kikatiba.
Wao wakaishia kumnanga kuwa hatambuliki Zanzibar na asiingilia mambo muhimu ya Wazanzibari.

Pinda akaufyata, na sijui kama aliwahi kutembelea huko Zanzibar.
Leo kwa kiburi kile kile cha Uzanzibari Mwenyekiti wa ZEC, Tume ya Uchaguzi Zanzibar ameufutilia mbali uchaguzi huko Zanzibar.
Hakuna wa kumuingilia
Zanzibar ni Nchi ati.

Leo tunamuona Maalim Seif akitoa povu ati na uchaguzi wa Tanzania Bara nao usimamishwe!
Tume ya Lubuva ilimkanusha haraka sana, na ni kama ilisema hilo ni suala la Zanzibar kwa mujibu wa katiba yenu.

Nami nasema Wazanzibari huu uozo wa ki katiba mliutengeneza wenyewe, mlinywe.
Mwalimu alisema, tena prophetically, hawa wazanzibari wakiamua kujitenga na kuwabagua watanzania bara, watapata matatizo , na leo tunayaona live.

Tatizo la wazanzibar ni kutokana na madaraka yake muungano kuwabeba ccm zanzibar kwa nguvu, na kuwalewesha madaraka, japo wamekosa sifa kwa wananchi. Tatizo ni bara na sio wazanzibar
 
Mkuu usijaribu kumtupia mpira upande usiohusika, maana hata mapinduzi ya mwaka 1964 mtasingizia bara ndo wahudika.
Tatueni mambo yenu bila kuingiliwa.
 
Back
Top Bottom