Tanzania kuwekewa vikwazo kimataifa?

Tanzania kuwekewa vikwazo kimataifa?

Mbona nchi nyingi ziliwekewa vikwazo na zikadunda tu! Kama hauna rasilimali ndiyo unaweza kuumia.

mkuu rasilimali zipi hizo? ikiwa tumekua nazo tangu kuumbwa kwa Tanganyika hadi leo na bado tu tunaumia.
Huoni tukishawekewa vikwazo tutakua tunapumulia mashine
 
Kwa hiyo unafarijika nini na utapata faida gani pale wagonjwa watakufa kwa kukosa misaada itokanayo na vikwazo? Manyumbu bana! Jitu linawaza uroho wa madaraka tu.
Mnajua kabisa kuwa nyie ni wavivu kufikiri na hivyo kuwa taifa ombaomba tena mwaomba kwa wanaowatapeli raslimali zenu km. madini halafu mwabaka demokrasia, mwategemea nini?
 
Mbona nchi nyingi ziliwekewa vikwazo na zikadunda tu! Kama hauna rasilimali ndiyo unaweza kuumia.

serikali hii inayotegemea misaada mpaka kwakila kitu mpaka bajeti ya nch inategemea nje ikiwekewa vikwazo itajiendeshaje?wacha kujifariji bure juzi tu hapa bunge la tisa wafadhili walipunguza misaada serikali imeyumba mpaka leo.mulikua mukisikia kila siku mawaziri bungen wanavyojitetea.hapo imepunguzwatu ikisitishwa itakuaje?hata rais atapanda daladala kwakukosa mafuta ya kuweka kwenye gar
 
Kuna uwezekano wa Tanzania kuwekewa vikwazo kwa sababu ya kuipindisha demokrasia nchini Zanzibar na hili linaonekana wazi wazi jumuiya zote za kimataifa pamoja na waangalizi wa uchaguzi zinawaunga mkono chama cha wananchi CUF pamoja na wananchi was Zanzibar kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwa amani.

Uchaguzi ulikuwa huru na uwazi.Suala hili la kuzuiliwa kwa kuendelea kutajwa matokeo lipo chini ya CCM na JK mwenyewe ndio wasimamizi was zoezi zima la uporaji wa demokrasia.

Kama viongozi wa CCM hawatotendea haki tutaunga mkono juhudi za kimataifa kwa CCM kushindwa kusimamia demokrasia na amani ya nchi.

Jipe tu moyo lakini hilo halitakua abadan
 
mkuu rasilimali zipi hizo? ikiwa tumekua nazo tangu kuumbwa kwa Tanganyika hadi leo na bado tu tunaumia.
Huoni tukishawekewa vikwazo tutakua tunapumulia mashine

Mungu akulinde sana .
 
mkuu rasilimali zipi hizo? ikiwa tumekua nazo tangu kuumbwa kwa Tanganyika hadi leo na bado tu tunaumia.
Huoni tukishawekewa vikwazo tutakua tunapumulia mashine
Hivi nchi kama China na Urusi unafikiri inaweza kuiwekea vikwazo Tanzania kwa njaa zao za raslimali?
 
serikali hii inayotegemea misaada mpaka kwakila kitu mpaka bajeti ya nch inategemea nje ikiwekewa vikwazo itajiendeshaje?wacha kujifariji bure juzi tu hapa bunge la tisa wafadhili walipunguza misaada serikali imeyumba mpaka leo.mulikua mukisikia kila siku mawaziri bungen wanavyojitetea.hapo imepunguzwatu ikisitishwa itakuaje?hata rais atapanda daladala kwakukosa mafuta ya kuweka kwenye gar
Punguza jazba, subirini baada ya miaka 10 mjipange upya! Hivi nchi kama China na Urusi unafikiri zinaweza kuiwekea vikwazo Tanzania kwa njaa zao za raslimali?
 
...yaani umeandia ----- na viazi wenzio wamekuwekea like za kutosha..!!
kama nyie mbwa kweli mnaona huruma hao wagonjwa kufa kwa nini msimpe Seif ushindi wake?!

Pumba.fu
 
Wagonjwa wanakufa Hospitalini kwa sababu Mafisadi wa FISIEM wamepora pesa wakapeleka USWIS

ESCROW ndo imesababisha watu wakakosa dawa hospitalini

Waroho wa madaraka ni hao wanaoiba kura ili wabaki madarakani..

Enough?....!

Natumaini fahamu zimerudi Ndugu.

Nimeweka mambo sawa ili usipotoshe jamii, siku nyingine tafakari kwanza

Unapotaja mafisadi waliokuwa fisiem, usimsahau mgombea wa ukawa mpaka leo anafaidika na source ya mgao wa richmond.
 
Hawawezi kuweka vikwazo hata kidogo kwani Wazungu wenyewe wanajua Tanzania/Zanzibar shamba la bibi hivyo wata support japo kinafiki huku wakijua wanafaidika vipi. Vikwazo wanaweka nchi ambazo wanaona hazina rasilimali wala manufaa yoyote wanayopata.
 
Kuna uwezekano wa Tanzania kuwekewa vikwazo kwa sababu ya kuipindisha demokrasia nchini Zanzibar na hili linaonekana wazi wazi jumuiya zote za kimataifa pamoja na waangalizi wa uchaguzi zinawaunga mkono chama cha wananchi CUF pamoja na wananchi was Zanzibar kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwa amani.

Uchaguzi ulikuwa huru na uwazi.Suala hili la kuzuiliwa kwa kuendelea kutajwa matokeo lipo chini ya CCM na JK mwenyewe ndio wasimamizi was zoezi zima la uporaji wa demokrasia.

Kama viongozi wa CCM hawatotendea haki tutaunga mkono juhudi za kimataifa kwa CCM kushindwa kusimamia demokrasia na amani ya nchi.
Msituingize ujinga wenu , Zanzibar ni Nchi.
Si mlibadilisha katiba, ati mmechoka kuongozwa na Bara, mmelikoroga, mlinywe!
 
Kwa hiyo unafarijika nini na utapata faida gani pale wagonjwa watakufa kwa kukosa misaada itokanayo na vikwazo? Manyumbu bana! Jitu linawaza uroho wa madaraka tu.

Ni swala lawale ambao wakishinda wenyewe ni democracy wakishidwa sio democracy. Sasa hiiwezi endelea na wala hamna anaefaidika kwa watu kufa hospital ila wote tunaumia kama mtu hataki kukubali kitu wazi kabisa.
 
Ndugu zet wa Zanzibar ni watu wa ajabu kidogo.
Walibadili katiba yao na kuifanya kukiuka katiba mama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Waziri Mkuumstaafu Pinda alijaribu kuwaonya juu ya hatari hii ya kikatiba.
Wao wakaishia kumnanga kuwa hatambuliki Zanzibar na asiingilia mambo muhimu ya Wazanzibari.

Pinda akaufyata, na sijui kama aliwahi kutembelea huko Zanzibar.
Leo kwa kiburi kile kile cha Uzanzibari Mwenyekiti wa ZEC, Tume ya Uchaguzi Zanzibar ameufutilia mbali uchaguzi huko Zanzibar.
Hakuna wa kumuingilia
Zanzibar ni Nchi ati.

Leo tunamuona Maalim Seif akitoa povu ati na uchaguzi wa Tanzania Bara nao usimamishwe!
Tume ya Lubuva ilimkanusha haraka sana, na ni kama ilisema hilo ni suala la Zanzibar kwa mujibu wa katiba yenu.

Nami nasema Wazanzibari huu uozo wa ki katiba mliutengeneza wenyewe, mlinywe.
Mwalimu alisema, tena prophetically, hawa wazanzibari wakiamua kujitenga na kuwabagua watanzania bara, watapata matatizo , na leo tunayaona live.
 
Kuna uwezekano wa Tanzania kuwekewa vikwazo kwa sababu ya kuipindisha demokrasia nchini Zanzibar na hili linaonekana wazi wazi jumuiya zote za kimataifa pamoja na waangalizi wa uchaguzi zinawaunga mkono chama cha wananchi CUF pamoja na wananchi was Zanzibar kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwa amani.

Uchaguzi ulikuwa huru na uwazi.Suala hili la kuzuiliwa kwa kuendelea kutajwa matokeo lipo chini ya CCM na JK mwenyewe ndio wasimamizi was zoezi zima la uporaji wa demokrasia.

Kama viongozi wa CCM hawatotendea haki tutaunga mkono juhudi za kimataifa kwa CCM kushindwa kusimamia demokrasia na amani ya nchi.

Kama umetumwa waambie umegonga mwamba kama sio ukuta.
 
Kwa hiyo unafarijika nini na utapata faida gani pale wagonjwa watakufa kwa kukosa misaada itokanayo na vikwazo? Manyumbu bana! Jitu linawaza uroho wa madaraka tu.

kama ingekua kufa kwa kukosa misaada bas Cuba na Iran leo wasingebak watu
 
Back
Top Bottom