Tanzania kuwekewa vikwazo kimataifa?

Tanzania kuwekewa vikwazo kimataifa?

Kuna uwezekano wa Tanzania kuwekewa vikwazo kwa sababu ya kuipindisha demokrasia nchini Zanzibar na hili linaonekana wazi wazi jumuiya zote za kimataifa pamoja na waangalizi wa uchaguzi zinawaunga mkono chama cha wananchi CUF pamoja na wananchi was Zanzibar kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwa amani.

Uchaguzi ulikuwa huru na uwazi.Suala hili la kuzuiliwa kwa kuendelea kutajwa matokeo lipo chini ya CCM na JK mwenyewe ndio wasimamizi was zoezi zima la uporaji wa demokrasia.

Kama viongozi wa CCM hawatotendea haki tutaunga mkono juhudi za kimataifa kwa CCM kushindwa kusimamia demokrasia na amani ya nchi.
Haikuwekewa wakati wa Mkapa mlipokimbilia Shimoni Mombasa na wengine Uingereza ,ije iwekewe leo,jana Seifu alikuwa ikulu aliingia na katoka kafurahi,nyie mnaopiga domo na kuumizana wenyewe kwa wenyewe ndio mmeingizwa choo cha kike,demokrasia unaijua weye?hata wakiiwekee vikwazo atakaye umia ni wewe na si maalimu Seif wala Dr Shein,shabikia ujinga na utaona madhara yake.
 
Kwa hiyo unafarijika nini na utapata faida gani pale wagonjwa watakufa kwa kukosa misaada itokanayo na vikwazo? Manyumbu bana! Jitu linawaza uroho wa madaraka tu.

Wafe tu.
Wenye uwezo wataenda Nairobi kutibiwa.
We should learn the hard way.
 
Jk hahusiki mambo yanayotokea zenj,seif alikuja akaongea na jk na ni wazi alielewa somo,
zenj ina serikali yake ya mapinduzi,zec ilyofuta uchaguzi ni ya hiukohuko,jk hawezi kuforce
 
Kwa hiyo unafarijika nini na utapata faida gani pale wagonjwa watakufa kwa kukosa misaada itokanayo na vikwazo? Manyumbu bana! Jitu linawaza uroho wa madaraka tu.

Ni mtu asiyekuwa timamu kichwani ndiye atakayetegemea wafadhili kwa ajili ya afya ya wananchi wake.Hakika na wewe u mmoja wapo.
 
Kwa hiyo unafarijika nini na utapata faida gani pale wagonjwa watakufa kwa kukosa misaada itokanayo na vikwazo? Manyumbu bana! Jitu linawaza uroho wa madaraka tu.

Wagonjwa wanakufa Hospitalini kwa sababu Mafisadi wa FISIEM wamepora pesa wakapeleka USWIS

ESCROW ndo imesababisha watu wakakosa dawa hospitalini

Waroho wa madaraka ni hao wanaoiba kura ili wabaki madarakani..

Enough?....!

Natumaini fahamu zimerudi Ndugu.

Nimeweka mambo sawa ili usipotoshe jamii, siku nyingine tafakari kwanza
 
Nipo akhera kiongozi, nachanganya hapo kwenye baraza la wawakikishi na/au wabunge.
Bunge la znz linaundwa na wabunge au wawakilishi? Nielimishe..

Mbunge na muakilishi hakuna tofauti, mbunge anatumikia bunge LA muungano ,muakilishi anatumikia baraza LA wakilishi, mbunge wako ni muakilishi wako, ni majina tu maana sawa sawa mkuu
 
Ukiwa mjinga shida sana kwahiyo unadhani akili yako iko sawa kweli wewe mleta mada.
 
Kwa hiyo unafarijika nini na utapata faida gani pale wagonjwa watakufa kwa kukosa misaada itokanayo na vikwazo? Manyumbu bana! Jitu linawaza uroho wa madaraka tu.

...yaani umeandia ----- na viazi wenzio wamekuwekea like za kutosha..!!
kama nyie mbwa kweli mnaona huruma hao wagonjwa kufa kwa nini msimpe Seif ushindi wake?!
 
Hakuna nchi yenye ubavu wa kuiwekea Tanzania vikwazo. Mark my word.
 
Mkuu rekebisha sentensi yako inayosomeka nchini Zanzibar, kwani hujui kuwa Zanzibar siyo Nchi?

Hee! Ndugu uko mbali na dunia. Soma katiba yya Zanzibar, Zanzibar ni nchi, na ndiyo maana kule kiongozi wa Chama cha upinzani anakuwa makamu wa kwanza wa RAIS.
 
Nani mroho wa madaraka aliyepora demokrasia au Manyumbu.Watanzania bwana,uwezo wao wa kufikiri mm.
Kwa hiyo unafarijika nini na utapata faida gani pale wagonjwa watakufa kwa kukosa misaada itokanayo na vikwazo? Manyumbu bana! Jitu linawaza uroho wa madaraka tu.
 
Back
Top Bottom