Tanzania kuibuka mabingwa wa AFCON 2025

Tanzania kuibuka mabingwa wa AFCON 2025

Foffana

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2022
Posts
2,684
Reaction score
4,383
Hello

Kupitia analysis fupi niliyofanya nimekuja na majibu kwamba Tanzania tuna asilimia kubwa 99% kubeba kombe hili

Timu nyingi za Taifa ambazo ni magiant round hii zinacheza mpira wa ovyo na hazina ubora ule tuliouzoea siku zote

Viwango vya wachezaji havipishani sana baina ya yale mataifa makubwa kisoka na mataifa madogo

Hapa Tanzania tukichanga karata zetu vizuri mwali anarudi nyumbani mchana kweupe, mpaka sasa sijaona timu ambayo inayocheza mpira wa kutisha kiasi kwamba tuwe na hofu nayo

Group letu la kawaida sana hakuna team ya kuisumbua Tanzania wote tunaocheza nao tunawafahamu vyema na wamechoka kisoka siku hizi

Naitakia kila la kheri Taifa stars, tuungane pia kuliombea Taifa letu

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Taifa Stars

Hivi TBC wataonesha hii mechi?
 
Utakuta wewe ni mshauri mojawapo wa Mama.
 
Amka usije ukakojoa kitandani
 
Back
Top Bottom