Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Tanzania kuanza kutengeneza smartphone
Wanatengeneza au wana assemble?
Tanzania kuanza kutengeneza smartphone
Unacheka nini mkuu? Tuambie wengine hatutaki kusikiliza hio taka taka
I.P.P,mradi wa Mzee mengi huo,alishatangazaga.Mmmmh. Aisee! Ni kampuni za kigeni zinakuja kuwekeza au ni 100% watanzania Ndyo watatengeneza from scratch???
Sijui nini kipo kwenye link.
Lakini comments zinaonyesha akili za baadhi ya waafrika zinafanana na ngozi yao.
A Bitter Truth.
Wewe unadhani kinahitajika nini ili utengeneze smartphone?Ww unaamini kwa technology iliopo Tz mnaweza kutengeza smartphone?
Wewe unadhani kinahitajika nini ili utengeneze smartphone?
Sasa kama hivyo ndio vinahitajika then kwanini washindwe kutengeneza smartphone.1. Watu
2. Ardhi
3. Siasa safi
Sometimes nikiona unavyoitetea ccm huwa nakushusha thamani kabisaHakuna wateja kwasababu serikali imewafukuza. Kivipi
1. Duniani sasa hivi Kuna korona. Ni tz pekee ambako hakuna takwimu kuhusu hili gonjwa. Sasa mtalii atakujaje sehemu ambayo hakuna tahadhari dhidi ya ugonjwa Wala takwimu.
1. Unaweza kuwa na watu ila ni wagonjwa,hakuna huduma nzuri za afya. Uwezo wa mtu kufanya kazi hutegemea hali yake kiafyaSasa kama hivyo ndio vinahitajika then kwanini washindwe kutengeneza smartphone.
Mbona siku zote mitaani zinatengenezwa, yaani repair? Nilifikiri wanaongelea kuunda yaani manufacture au make.Tanzania kuanza kutengeneza smartphone
it is not about kupenda vya kwetu, its about quality. huoni siku hizi toka maseremala waboreshe finishing watu wanatumia sana home made furniture? mameza ya kichina low quality si deal tenaTatizo wa Tanzania wengi hawapendi vitu vya kwao utumwa upo kwenye dam