Tanzania kuanza kutengeneza smartphone

FB_IMG_1578677028602.jpg
 
Business manager alishindwa kabisa kuwashauri wamiliki wapunguze matumzi na washushe bei zaidi ili kupata wateja.
Maana kwa mji kama Arusha, mji wa kitalii, Kumiliki Hotel kama ile na kukosa wateja, Daah ni uzembe mkubwa kibiashara maana watalii wapo wengi tu kule.. Ni suala tu la ku-shusha bei ya chumba na ku-operate katika level za kawaida.
BTW, ni maoni yangu tu ila sijui hasa kilichowasibu ni nini mpaka kufikia maamuzi waliyofikia sasa ya kuifanya kuwa hostel za wanafunzi.
Kila nikifumba macho nikifumbua nahisi kama ni Utani tu wanatuzingua hawa. They can't be serious!
Tangu ndege John aingie madarakani, watalii wamepungua, toxo xa serikaki ni kubwa, wananchi hawamudu gharama za kulala ngurdoto, tunawategemea maveberu kwa silimia kubwa ili kuendesha hiteli zetu za kitalii halafu kutea tunawatukana hao mabeberu kwenye majukwaa

Hotels kama Hyatt, Serana na zingine zimepunguza wafanyakazi kwa asilimia 85 kwa sababu hakuna return tangu Korona ianze
 
Laiti tungewekeza vizuri kwenye products za kilimo, mifugo na uvuvi kwa nguvu zetu zote tungefika mbali sana. Soko lake ni kubwa sana tena hata hapa afrika. Sio mbaya pia kuwekeza kwenye hiyo ishu ya smartphone tusipaparikie Mambo mengi kwa pupa.
 
Uko sahihi kabisa na ndiyo maana nikasema ni makadirio.
Ukumbuke tunayoiongelea hapa ni Hotel ya Hadhi ya Nyota Tano (5) halafu chumba kiwe kwa shilingi elfu 12 kwa siku, kwa mji wa kitalii kama Arusha, its obviously ingekuwa inajaa karibia kila siku.
Na wangepata hela nyingi zaidi kuliko hii style yao ya kuifanya hostel ya wanafunzi kwa Tsh. Laki 4 kwa mwaka.
Nevertheless, ni opinions zangu tu na siyo facts, sipo katika management-board ya Ngurdoto Hotel na hivyo sijui hasa nini kiliwapata kibiashara mpaka kufikia kufanya huu uamuzi wao.

Pia sijui kama majengo ni yao au waliyakodi.
Haya mahesabu umeweka general sana, hayana mchanganuo ndo maana unapata hizo faida bila kutoa cost, Kama malipo ya wafanyakazi, umeme, maji, Kodi na cost zingine za kuendesha biashara ya mfumo wa motel, tuje kwenye hostel kupokea hiyo laki 4 huku gharama zingine zikiwa chini ya wanachuo na Kodi ya serikali kwenye Kodi ya nyumba ni kidogo sana so unaweza kuona hapo mhusika japo ameshuka kiuchumi Ila pia amekwepa kutumia uchumi wake kutumikia hasara.
 
Tangu ndege John aingie madarakani, watalii wamepungua, toxo xa serikaki ni kubwa, wananchi hawamudu gharama za kulala ngurdoto, tunawategemea maveberu kwa silimia kubwa ili kuendesha hiteli zetu za kitalii halafu kutea tunawatukana hao mabeberu kwenye majukwaa

Hotels kama Hyatt, Serana na zingine zimepunguza wafanyakazi kwa asilimia 85 kwa sababu hakuna return tangu Korona ianze
Nakubaliana na wewe mkuu. ila ukweli ni kwamba katika kipindi hiki cha Corona (Covid-19) kushuka kwa Mapato ya Biashara za Hotel kubwa ni Janga la Dunia nzima na wala siyo Tanzania tu pekee yake.
Hata Biashara ya Utalii pia imeshuka mapato Dunia nzima vile vile.
Pia Biashara ya Makampuni ya Usafirishaji Watu kapitia Anga (aviation industry) vile vile nayo imeshuka mapato dunia nzima.
#AthariZaCovid-19
ila business managers inabidi kuwa wabunifu pia kushusha bei na kuja na Offers (packages) nzuri nzuri ili kuvutia Wateja wa Ndani ya nchi. Katika biashara ya Hotel kama huna Wateja wa Nje basi ni vizuri ukapunguza gharama za uendeshaji (operating cost) na kushusha bei zako kisha kuzi-promote na kuzi-market upya vizuri.
 
Haya mahesabu umeweka general sana, hayana mchanganuo ndo maana unapata hizo faida bila kutoa cost, Kama malipo ya wafanyakazi, umeme, maji, Kodi na cost zingine za kuendesha biashara ya mfumo wa motel, tuje kwenye hostel kupokea hiyo laki 4 huku gharama zingine zikiwa chini ya wanachuo na Kodi ya serikali kwenye Kodi ya nyumba ni kidogo sana so unaweza kuona hapo mhusika japo ameshuka kiuchumi Ila pia amekwepa kutumia uchumi wake kutumikia hasara.
Asante! ila ukisoma vizuri utaona kuwa lengo langu si kuzingatia faida (profit) kwanza, ila lengo langu nilizingatia kwenye kuongeza mapato (revenue) na kupunguza gharama za uendeshaji (expenses & operating cost).
Halafu hiyo faida (profit) itakuja tu humo humo kwenye kupunguza gharama za uendeshaji na kuongeza mapato.
Laki 4 ya Hostel ukishalipa huwa inajumuisha yote humo (accommodation, water service bills, electricity bills, security service etc.)
Hivyo just do the math mwenyewe utaona ipi ni nzuri. Kati ya kuigeuza 5-star hotel kuwa Hostel kwa Laki 4 ? Au kuigeuza kuwa Lodge na kui-market hiyo 5-star hotel iliyopo katika mji wa Kitalii kwa gharama za kukodi chumba kwa Tsh. 12,000/- au Tsh.15K kwa siku? Je wapi utapata mapato mengi na faida.
 
Hizi smartphone zitakuwa utopolo bora ya itel zaidi ya mara 1000,

Viwanda vya maana vimetushinda ila wachina wameona smartphone ndo zina soko wanataka kukaba kila kona
Jei Wii Tanzania sio wachina
 
Anzeni kwanza kuwatibu watu hapahapa kila ugonjwa kuliko kuwapandisha ndege kwenda ughaibuni...
 
Hivi sisi kama kiwanda cha redio vha Philips Arusha tulikiua, ndiyo tutaweza kutengeneza soft circuits za simu kweli..

Wangetuambia wachina wanakuja kuweka kiwanda cha kutengeneza simu Tz tungeelewa...
hata china na wao wanahitaji tech kutoka nje kukamilisha utengenezaji wa hizo smartphones,kuzidiana ni kawaida tu hapa duniani
 
Sijui nini kipo kwenye link.

Lakini comments zinaonyesha akili za baadhi ya waafrika zinafanana na ngozi yao.

A Bitter Truth.
 
Back
Top Bottom