Tanzania kuanza kutengeneza smartphone

😀😀😀😀.. watanzania walio wengi wamekata tamaa na nchi yao, wamechoka vibaya.. ukipitia comments za huu uzi unapata picha kamili.

Mitano tena.. 🔥🔥
waTZ wameingiliwa mpaka mitandao inazimwa, kisa matokeo ya Uchaguzi ni lazima waogope
leo Magazeti Mtanzania, Tanzania Daima nk
watuachie Jamii Forums bwana
 
Gharama za uendeshaji ni kubwa kuliko return, matokeo yake wakashindwa kabisa maana wateja hakuna
Hakuna wateja kwasababu serikali imewafukuza. Kivipi
1. Duniani sasa hivi Kuna korona. Ni tz pekee ambako hakuna takwimu kuhusu hili gonjwa. Sasa mtalii atakujaje sehemu ambayo hakuna tahadhari dhidi ya ugonjwa Wala takwimu.
 
Ngurdoto Hotel aisee, assets (buildings) wanazo sasa sijui Management na Business Manager wa Ngurdoto wamewaza nini mpaka kukubali kuifanya iwe Hostel za wanafunzi kwa gharama ya Tsh. 400,00/- kwa mwaka.
Sasa si bora wamiliki wa hii 5-star hotel wangeitangaza upya kibiashara kwa kuifanya iwe tu kama Lodge (guest house) ya bei chee ambayo wangekula Tsh. 12,000/- kwa siku kwa kila chumba kimoja.
Hivyo chumba kimoja tu kingekuwa na uwezo kuingiza karibia Milioni 4 kwa mwaka.
Tsh. 12,000 x siku 365 = Tsh. 4,380,000/- kwa mwaka kwa chumba kimoja.
Sasa sijui wanavyo vyumba vingapi jumla, Maana hapo makadirio niliyopiga ni ya chumba kimoja tu.
Na kwa hadhi ya brand ya Ngurdoto, kibiashara kwa model wangefaidika zaidi maana resources muhimu (buildings) wanazo tayari.
Anyway, sijui lengo la wamiliki haswa ni lipi.
Unapiga mahesabu ya mwaka mzima as if umeshaongea na wateja kuwa watakuja kulala kila siku. Inaonesha hujawahi kufanya biashara wewe
 
Tanzania kuanza kutengeneza smartphone

Mpango huu si mpya, marehemu Mengi mwishoni mwa uhai wake aliwahi kutangaza kuwa atajenga kiwanda huko Kibaha.
Jukumu la TCRA si hili, wananchi tunamalalamiko mengi kuhusu wizi tunaofanyiwa na makampuni ya simu na ya ving'amuzi lakini wanaziba masikio yao badala yake wanaleta siasa za kutengeneza simu na eti kutahitajika mafundi mitaani wa kuzitengeneza ziharibikapo! Kwani hizi tulizonazo haziharibiki? Hizi ni porojo za kuwa kiwanda kitaleta ajira za mafundi simu mitaani!
 
Tatizo wa Tanzania wengi hawapendi vitu vya kwao utumwa upo kwenye dam
Vitu vya kwao! Hauna uwezo wa kutengeneza simu na hatutakuwa nao, uwezo wetu ni wa kuunganisha simu, hata wewe unaweza kama pesa unayo ya kuagiza vifaa (parts), hizi simu feki tunazozisikia ni watu binafsi wanaunganisha majumbani mwao. Unapotengeneza kitu kwa kuunganisha vipuri toka nje ujue hiyo si yako kwani anayefaidika sana ni yule anayekuuzia vipuri hivyo.
 
Unapiga mahesabu ya mwaka mzima as if umeshaongea na wateja kuwa watakuja kulala kila siku. Inaonesha hujawahi kufanya biashara wewe
Uko sahihi kabisa na ndiyo maana nikasema ni makadirio.
Ukumbuke tunayoiongelea hapa ni Hotel ya Hadhi ya Nyota Tano (5) halafu chumba kiwe kwa shilingi elfu 12 kwa siku, kwa mji wa kitalii kama Arusha, its obviously ingekuwa inajaa karibia kila siku.
Na wangepata hela nyingi zaidi kuliko hii style yao ya kuifanya hostel ya wanafunzi kwa Tsh. Laki 4 kwa mwaka.
Nevertheless, ni opinions zangu tu na siyo facts, sipo katika management-board ya Ngurdoto Hotel na hivyo sijui hasa nini kiliwapata kibiashara mpaka kufikia kufanya huu uamuzi wao.

Pia sijui kama majengo ni yao au waliyakodi.
 
Awamu ya 5 na hii ya mitano tena si rafiki kwa biashara za namna hii,
si kwa Arusha tu Dar wengi wamefunga km Land mark ya Mbunge, kuna Bondeni zote za Dar ni Hostel
tafuta zile Bar za Open pembezoni mwa barabara zote zimefungwa ni kwamba pesa mfukoni hakuna tena, Kiongozi kesha tuasha matajiri wataishi maisha ya kishetani.
Kumbuka Ngurdoto ni Hotel ya Boss na ilikuwa na deal kulamba pesa za Serikali, kwani awamu ya 4 palifanyika semina elekezi kwa viongozi wa Seriklali km wakuu wa mikoa, wakurugenzi, wabunge nk
acheni Ngurdoto ifungwe na iwe Hostel safari hii tutalimia kutumia meno kwa maendeleo ya wote
 
kumbe ilikuwa inatumika kwa "upigaji" pesa eeh!! 😀😀😀 acha tu ifungwe.
Basi biashara nyingi kubwa zilizokuwa zina-survive kwa upigaji pigaji wa pesa za umma ndiyo zina khali mbaya katika awamu hii.

Hivi halmashauri hazinaga kumbi za mikutano?? Kwamba Vikao vya Wakuu wa Wilaya na Mikoa karibu vyote navyo vifanyike katika Hotel ya Hadhi ya Nyota Tano (5). huu ni upigaji!! Kama ndiyo hivyo basi acha hizo biashara zifungwe tu!!
 
Back
Top Bottom