Tanzania itajengwa na wachina

Tanzania itajengwa na wachina

Sawa mkuu

Ila masopakyindi

Kanitoa Tongotongo

Ongezea minyama kama wmana hapo
Hilo aliloandika Maso ni trela.
Fedha ya ujenzi inachezewa sana.
Pamoja na kilio cha hata Wabunge kuwa Road Fund kuchepushwa serikali haijatoa jibu lolote.
Hizo ni dalili za wazi ya kula kwa urefu wa kamba.
 
Now you are talking ,

Nipo mkuu. 😄 Na sasa umeweka chain ambayo inaweza kujadiliwa vizuri zaidi.
Nakubaliana na wewe kwenye jambo moja muhimu: kuna pattern ya China kwenye infrastructure ya Tanzania ambayo inastahili kuchunguzwa kwa kina. Lakini bado sitaki kuruka kutoka pattern kwenda “hii ni sera isiyo rasmi” bila kuthibitisha kila link ya chain yako.
Mkuu hilo nililoweka ni halisi, si suala la kudhania.
Na wakubwa wanalielewa hilo.
 
Unadhani ni mabadiliko gani ya kimkataba au kisheria yanapaswa kuwekwa ili kuzuia mchezo huu wa Kampuni za kichina kufanya hivi na kuwapa nafasi wakandarasi wa ndani?
Mradi kuna viongozi wala rushwa hakuna kitu kinawezekana.
Hapo nyuma kuna waziri wa Ujenzi katoa contact ZOOTE za ujenzi wa DART kwa kampuni za kichina jijini Dar es salaam.
Hakufanya hivyo kwa bahati mbaya, lazima kavuta toka kwa wachina.
Watu wanaunganisha mambo kuwa baada ya miradi hiyo kutolewa, ghorofa lake pale Mwenge likakamilika chap chap.
 
Kuna sera huwa hazitangazwi kwa uwazi, lakini mtu una akili, utaweka mbili na mbili utalipata jibu la nne.

Jijini Dar, wachina wamechukua kazi karibu zote za barabara.
Wazawa walie tu.

Siku hizi kila mtoa kazi za Ujenzi ana "mchina wake".

Wakandarasi wazawa uzeni tu mitambo yenu kabla kutu haijaiharibu kabisa.

Mbaya zaidi TANROADS ndio inakufa, Road Fund inachotwa kama watu hawana akili nzuri.

Awamu ya sita na wachina ni damu damu.
Na Tanzania itajengwa na wachina.
Hapa kweli tatiza mimi.
India najenga vapi!!
 
Wanatoa 10%
 
1. Kazi zinatolewa kwa kasi kwa kampuni za kichina, hilo siyo siri.
Kazi hizo zinatangazwa kwa uzabuni ? Utaratibu wa Uzabuni unafuatwa?
Kuna tetesi wachina wanaforfeit ile 10% ya advance payment(wengine wanatoa hadi 20%). Huko mbele nitaeleza hela wanairudisha vipi. Kiuhalisia hii ni rushwa ya wazi wazi.
Tatesi haziwezi kuwa 'facts''. Kama ni kweli, nani anapokea hizo pesa!
2. Kampuni kubwa za Kichina ni za serikali ya China. Fuatilia.
Kwahiyo hao wanao ''forfeit 10% au 20% unayosema ni serikali ya China!
3. Kampuni za kichina wanakosa fedha za mradi, wanakopa Benki yao ya China Construction Bank. Benki hii na nyingine hutoa mikopo kwa kampuni za kichina kwa rate ya around 3%.
Ndivyo business inavyofanyika. Mzawa akienda CRDB akapewa mkopo kwa rate ya 1% kuna kosa gani!
Udhaifu wetu wa kutoa mikopo nafuu lisiwe tatizo la China! Nchi yao ina facilitate kampuni zao
4. Mchina anapiga kazi hadi kumaliza, wakati mwingine bila kubugudhiwa au usimamizi mkali, na asipolipwa in time cerificates of payment zake zinakuwa deni kwa GOT. Deni hili likipelekwa serikalini, hasa Wizara ya fedha, linaenda mara nyingi kama zi marazote, na Interest yaBOT rate ya minimum 18%
Ni sawa kwasababu makubaliano ni kulipwa kwa wakati, kwahiyo interest ni haki yao kwa GOT kukiuka taratibu.

Arguably kuna watu ndani ya serikali wanaoruhusu 18% itokee ili nao wapate, lakini hilo si tatizo la Wachina.

Ni tatizo la watu wetu na viongozi wetu. Magufuli aliwahi kupambana na wizi huo kwa kuwabana watu wa Serikali na uli isha. Uzembe wetu hauwezi kuwa tatizo la China, wao wanatumia fursa
5 Kumbuka Mchina kakopa kwao kwa rate ya 3% serikali yetu inamlipa kwa rate ya 18%, hapo biashara nzuri sana pamoja na faida.
Ndio biashara! Nikikupa tenda ya kutengeneza Barabara ninakupa na kiasi cha malipo kwa KM. Kama utanunua lami kutoka UAE, Venezuela au Uganda hilo si shauri langu. Ninachotaka ni barabara tuliokubaliana.
Kulipwa 18% ni rushwa au uzembe wetu na kila mfanyabiashara huvizia mwanya huo!
6 Kwa mlolongo huo, kuna watu Wizara ya fedha/Ujenzi wanafaidika moja kwa moja-kwa kula kwa urefu wa kamba!!
Could be! Tusiwalaumu Wachina
Taizo watazania wakishwa fundishwa kitu na kukaaa akilini, hapo ndio wanagota, wasijue kuwa kuna wachina wamewazunguka.Sasa kama si sera isiyo rasmi, basi mi sijui ni nini!
Wachina hawana tatizo ni Wafanyabiashara! tatizo ni sisi wenyewe

Mwisho, kama Wachina wanajenga barabara za viwango nitafurahi wakipewa mitaro ya maji machafu. Wakandarasi wetu ni wa hovyo sana!

Hivi dunia ya leo mkandarasi anapaka lami kwa fagio! halafu analipwa sawa na mwenye mashine, kisa mzawa!

Natamani kandarasi wapewe wageni! Wakandarasi wetu hawawezi, ni wezi wala hawana uzalendo! ni hovyo

JokaKuu
 
Kazi hizo zinatangazwa kwa uzabuni ? Utaratibu wa Uzabuni unafuatwa?

Tatesi haziwezi kuwa 'facts''. Kama ni kweli, nani anapokea hizo pesa!

Kwahiyo hao wanao ''forfeit 10% au 20% unayosema ni serikali ya China!

Ndivyo business inavyofanyika. Mzawa akienda CRDB akapewa mkopo kwa rate ya 1% kuna kosa gani!
Udhaifu wetu wa kutoa mikopo nafuu lisiwe tatizo la China! Nchi yao ina facilitate kampuni zao

Ni sawa kwasababu makubaliano ni kulipwa kwa wakati, kwahiyo interest ni haki yao kwa GOT kukiuka taratibu.

Arguably kuna watu ndani ya serikali wanaoruhusu 18% itokee ili nao wapate, lakini hilo si tatizo la Wachina.

Ni tatizo la watu wetu na viongozi wetu. Magufuli aliwahi kupambana na wizi huo kwa kuwabana watu wa Serikali na uli isha. Uzembe wetu hauwezi kuwa tatizo la China, wao wanatumia fursa

Ndio biashara! Nikikupa tenda ya kutengeneza Barabara ninakupa na kiasi cha malipo kwa KM. Kama utanunua lami kutoka UAE, Venezuela au Uganda hilo si shauri langu. Ninachotaka ni barabara tuliokubaliana.
Kulipwa 18% ni rushwa au uzembe wetu na kila mfanyabiashara huvizia mwanya huo!

Could be! Tusiwalaumu Wachina

Wachina hawana tatizo ni Wafanyabiashara! tatizo ni sisi wenyewe

Mwisho, kama Wachina wanajenga barabara za viwango nitafurahi wakipewa mitaro ya maji machafu. Wakandarasi wetu ni wa hovyo sana!

Hivi dunia ya leo mkandarasi anapaka lami kwa fagio! halafu analipwa sawa na mwenye mashine, kisa mzawa!

Natamani kandarasi wapewe wageni! Wakandarasi wetu hawawezi, ni wezi wala hawana uzalendo! ni hovyo

JokaKuu
Mkuu unajijibu maswala nyeti as if kila kitu kiko sawasawa kabisa.
Huoni kuwa kampuni karibia zote za Ulaya na Japan zimeshajiondoa Tanzania.
Wazawa sasa wameanza kuona joto la jiwe, hata vikazi vya uchochoroni wanapewa Wacina.
Sisi tunaona tu level playing field, bila kudadisi kwa undani.
Tanzania kweli itajengwa na wachina!
 
Kazi hizo zinatangazwa kwa uzabuni ? Utaratibu wa Uzabuni unafuatwa?

Tatesi haziwezi kuwa 'facts''. Kama ni kweli, nani anapokea hizo pesa!

Kwahiyo hao wanao ''forfeit 10% au 20% unayosema ni serikali ya China!

Ndivyo business inavyofanyika. Mzawa akienda CRDB akapewa mkopo kwa rate ya 1% kuna kosa gani!
Udhaifu wetu wa kutoa mikopo nafuu lisiwe tatizo la China! Nchi yao ina facilitate kampuni zao

Ni sawa kwasababu makubaliano ni kulipwa kwa wakati, kwahiyo interest ni haki yao kwa GOT kukiuka taratibu.

Arguably kuna watu ndani ya serikali wanaoruhusu 18% itokee ili nao wapate, lakini hilo si tatizo la Wachina.

Ni tatizo la watu wetu na viongozi wetu. Magufuli aliwahi kupambana na wizi huo kwa kuwabana watu wa Serikali na uli isha. Uzembe wetu hauwezi kuwa tatizo la China, wao wanatumia fursa

Ndio biashara! Nikikupa tenda ya kutengeneza Barabara ninakupa na kiasi cha malipo kwa KM. Kama utanunua lami kutoka UAE, Venezuela au Uganda hilo si shauri langu. Ninachotaka ni barabara tuliokubaliana.
Kulipwa 18% ni rushwa au uzembe wetu na kila mfanyabiashara huvizia mwanya huo!

Could be! Tusiwalaumu Wachina

Wachina hawana tatizo ni Wafanyabiashara! tatizo ni sisi wenyewe

Mwisho, kama Wachina wanajenga barabara za viwango nitafurahi wakipewa mitaro ya maji machafu. Wakandarasi wetu ni wa hovyo sana!

Hivi dunia ya leo mkandarasi anapaka lami kwa fagio! halafu analipwa sawa na mwenye mashine, kisa mzawa!

Natamani kandarasi wapewe wageni! Wakandarasi wetu hawawezi, ni wezi wala hawana uzalendo! ni hovyo

JokaKuu
Hivi tujiulize kwa nini tusiwape Wachina Tenda ya kulinda Nchi yetu.
watakuwa rahisi zaidi na kwa viwango vizuri zaidi.
 
Back
Top Bottom