Tanzania itajengwa na wachina

Tanzania itajengwa na wachina

Mkuu huoni irony ya sera zetu?
Mwalimu alisema Tanzania itajengwa na Watanzia wenyewe, Sasa Tanzania itajengwa na wachina, literally!
Kuna tofauti kubwa kati ya kusema “Wachina wamekuwa dominant kwenye baadhi ya miradi ya infrastructure” na kusema “kuna sera iliyofichwa ya Tanzania kujengwa na Wachina.”
La kwanza ni jambo linaloweza kuthibitishwa kwa kuangalia contracts, tenders na awarded projects. Lakini la pili ni conclusion kuhusu policy—na hapo unahitaji ushahidi wa policy documents, financing agreements, procurement strategy na ownership/implementation structure.
Bila kuonyesha hizo links, unakuwa umeona pattern, halafu umeipa tafsiri moja. Hiyo ni inference, si ushahidi wa sera iliyofichwa.
Na ndiyo maana ningekuwa cautious na kauli kama “Tanzania itajengwa na Wachina.” Swali la msingi si tu nani anajenga, bali nani anafadhili, nani anamiliki technology, nani anasupply machinery, nani anapata subcontracting, nani anajenga local capacity na value chain inabaki wapi.
Kuona Wachina wengi kwenye sites ni observation. Kuthibitisha kwamba kuna strategy iliyofichwa nyuma yake ni research nyingine kabisa.
 
Cha kuambiwa changanya na za kwako.
 
Tatizo la wasomi wengi huwa apex ya mawazo yao ni pale anapopewa V8 ofisini.
Huwa uhalisia wa mambo yanayoendelea hawayaoni wanafikiri kila kitu kipa kitabuni.
Leo mpishi wako akifa ndio akili zinakuja.
 
Mkuu, tatizo si kuwa msomi au kutokuwa msomi. Tatizo ni kuchanganya observation na conclusion. Uhalisia unaonekana kwa data, contracts, financing arrangements, procurement records na outcomes—si kwa hisia pekee.
Unaweza kuwa na V8 ukaona reality, na unaweza kuwa huna V8 ukaona reality vibaya. 😄
Na mfano wa “mpishi wako akifa ndipo akili zinakuja” unaonyesha experience ya dependency, lakini haujathibitisha kwamba kuna sera iliyofichwa ya Tanzania kujengwa na Wachina.
Tukubaliane kwanza kwenye facts, halafu tafsiri zifuate. Otherwise tunakuwa tunajadili hisia zetu kuhusu Wachina, wasomi na serikali badala ya policy yenyewe.
 
Kuna sera huwa hazitangazwi kwa uwazi, lakini mtu una akili, utaweka mbili na mbili utalipata jibu la nne.

Jijini Dar, wachina wamechukua kazi karibu zote za barabara.
Wazawa walie tu.

Siku hizi kila mtoa kazi za Ujenzi ana "mchina wake".

Wakandarasi wazawa uzeni tu mitambo yenu kabla kutu haijaiharibu kabisa.

Mbaya zaidi TANROADS ndio inakufa, Road Fund inachotwa kama watu hawana akili nzuri.

Awamu ya sita na wachina ni damu damu.
Na Tanzania itajengwa na wachina.

Kazi ipo...
 
Naona wewe ni msomi lakini huna track records ya factual observations.
Tunaweza tofautiana katika anakysis, lakini ukweli upo wazi kwa yeyote kuuona na kujiamulia juu ya yanayoendelea.
1. Kazi zinatolewa kwa kasi kwa kampuni za kichina, hilo siyo siri. Kuna tetesi wachina wanaforfeit ile 10% ya advance payment(wengine wanatoa hadi 20%). Huko mbele nitaeleza hela wanairudisha vipi. Kiuhalisia hii ni rushwa ya wazi wazi.
2. Kampuni kubwa za Kichina ni za serikali ya China. Fuatilia.
3. Kampuni za kichina wanakosa fedha za mradi, wanakopa Benki yao ya China Construction Bank. Benki hii na nyingine hutoa mikopo kwa kampuni za kichina kwa rate ya around 3%.
4. Mchina anapiga kazi hadi kumaliza, wakati mwingine bila kubugudhiwa au usimamizi mkali, na asipolipwa in time cerificates of payment zake zinakuwa deni kwa GOT. Deni hili likipelekwa serikalini, hasa Wizara ya fedha, linaenda mara nyingi kama zi marazote, na Interest yaBOT rate ya minimum 18%
5 Kumbuka Mchina kakopa kwao kwa rate ya 3% serikali yetu inamlipa kwa rate ya 18%, hapo biashara nzuri sana pamoja na faida.
6 Kwa mlolongo huo, kuna watu Wizara ya fedha/Ujenzi wanafaidika moja kwa moja-kwa kula kwa urefu wa kamba!

Taizo watazania wakishwa fundishwa kitu na kukaaa akilini, hapo ndio wanagota, wasijue kuwa kuna wachina wamewazunguka.
Sasa kama si sera isiyo rasmi, basi mi sijui ni nini!

Mkuu upo hapo?
 
Now you are talking ,

Nipo mkuu. 😄 Na sasa umeweka chain ambayo inaweza kujadiliwa vizuri zaidi.
Nakubaliana na wewe kwenye jambo moja muhimu: kuna pattern ya China kwenye infrastructure ya Tanzania ambayo inastahili kuchunguzwa kwa kina. Lakini bado sitaki kuruka kutoka pattern kwenda “hii ni sera isiyo rasmi” bila kuthibitisha kila link ya chain yako.
 
Mikataba ya Kimataifa (FIDIC): Mikataba mingi ya ujenzi wa miundombinu hufuata vigezo vya kimataifa vinavyoweka penaliti ya riba ikiwa mwajiri (Serikali) atachelewa kulipa Hati za Malipo (Interim Payment Certificates - IPCs).

Tofauti ya Riba (Interest Differential): Kukopa kwa 3% kutoka Benki za Umma za China (kama China Construction Bank au Exim Bank) na kuishtaki Serikali ilipe penaliti ya 14% hadi 18% kwa malipo yaliyochelewa ni mchezo wa kifedha (financial arbitrage). Hata mradi ukichelewa, deni linazaa faida kubwa kuliko kazi ya ujenzi yenyewe

???

Uwezo wa Kampuni za Umma (SOEs) za China

Usaidizi wa Dola: Kampuni nyingi kubwa za ujenzi za China ni za Serikali (State-Owned Enterprises). Zina ukwasi mkubwa (cash flow) unaoziruhusu kuendelea na ujenzi bila kusimama hata kama Serikali haijazilipa kwa miezi kadhaa.

Kudhibiti Soko la Ndani: Wakandarasi wa ndani hawawezi kushindana na mfumo huu kwa sababu benki za ndani hukopesha kwa riba ya 18% hadi 24%, na hawawezi kumudu ucheleweshaji wa malipo bila kufilisika.

You meant this Kiongozi?
 
Naona wewe ni msomi lakini huna track records ya factual observations.
Tunaweza tofautiana katika anakysis, lakini ukweli upo wazi kwa yeyote kuuona na kujiamulia juu ya yanayoendelea.
1. Kazi zinatolewa kwa kasi kwa kampuni za kichina, hilo siyo siri. Kuna tetesi wachina wanaforfeit ile 10% ya advance payment(wengine wanatoa hadi 20%). Huko mbele nitaeleza hela wanairudisha vipi. Kiuhalisia hii ni rushwa ya wazi wazi.
2. Kampuni kubwa za Kichina ni za serikali ya China. Fuatilia.
3. Kampuni za kichina wanakosa fedha za mradi, wanakopa Benki yao ya China Construction Bank. Benki hii na nyingine hutoa mikopo kwa kampuni za kichina kwa rate ya around 3%.
4. Mchina anapiga kazi hadi kumaliza, wakati mwingine bila kubugudhiwa au usimamizi mkali, na asipolipwa in time cerificates of payment zake zinakuwa deni kwa GOT. Deni hili likipelekwa serikalini, hasa Wizara ya fedha, linaenda mara nyingi kama zi marazote, na Interest yaBOT rate ya minimum 18%
5 Kumbuka Mchina kakopa kwao kwa rate ya 3% serikali yetu inamlipa kwa rate ya 18%, hapo biashara nzuri sana pamoja na faida.
6 Kwa mlolongo huo, kuna watu Wizara ya fedha/Ujenzi wanafaidika moja kwa moja-kwa kula kwa urefu wa kamba!

Taizo watazania wakishwa fundishwa kitu na kukaaa akilini, hapo ndio wanagota, wasijue kuwa kuna wachina wamewazunguka.
Sasa kama si sera isiyo rasmi, basi mi sijui ni nini!

Mkuu upo hapo?
Unadhani ni mabadiliko gani ya kimkataba au kisheria yanapaswa kuwekwa ili kuzuia mchezo huu wa Kampuni za kichina kufanya hivi na kuwapa nafasi wakandarasi wa ndani?
 
Mkuu, tatizo si kuwa msomi au kutokuwa msomi. Tatizo ni kuchanganya observation na conclusion. Uhalisia unaonekana kwa data, contracts, financing arrangements, procurement records na outcomes—si kwa hisia pekee.
Unaweza kuwa na V8 ukaona reality, na unaweza kuwa huna V8 ukaona reality vibaya. 😄
Na mfano wa “mpishi wako akifa ndipo akili zinakuja” unaonyesha experience ya dependency, lakini haujathibitisha kwamba kuna sera iliyofichwa ya Tanzania kujengwa na Wachina.
Tukubaliane kwanza kwenye facts, halafu tafsiri zifuate. Otherwise tunakuwa tunajadili hisia zetu kuhusu Wachina, wasomi na serikali badala ya policy yenyewe.
Mkuu kuwa na akili basi.
Try thinking outside your box.
 
Naona wewe ni msomi lakini huna track records ya factual observations.
Tunaweza tofautiana katika anakysis, lakini ukweli upo wazi kwa yeyote kuuona na kujiamulia juu ya yanayoendelea.
1. Kazi zinatolewa kwa kasi kwa kampuni za kichina, hilo siyo siri. Kuna tetesi wachina wanaforfeit ile 10% ya advance payment(wengine wanatoa hadi 20%). Huko mbele nitaeleza hela wanairudisha vipi. Kiuhalisia hii ni rushwa ya wazi wazi.
2. Kampuni kubwa za Kichina ni za serikali ya China. Fuatilia.
3. Kampuni za kichina wanakosa fedha za mradi, wanakopa Benki yao ya China Construction Bank. Benki hii na nyingine hutoa mikopo kwa kampuni za kichina kwa rate ya around 3%.
4. Mchina anapiga kazi hadi kumaliza, wakati mwingine bila kubugudhiwa au usimamizi mkali, na asipolipwa in time cerificates of payment zake zinakuwa deni kwa GOT. Deni hili likipelekwa serikalini, hasa Wizara ya fedha, linaenda mara nyingi kama zi marazote, na Interest yaBOT rate ya minimum 18%
5 Kumbuka Mchina kakopa kwao kwa rate ya 3% serikali yetu inamlipa kwa rate ya 18%, hapo biashara nzuri sana pamoja na faida.
6 Kwa mlolongo huo, kuna watu Wizara ya fedha/Ujenzi wanafaidika moja kwa moja-kwa kula kwa urefu wa kamba!

Taizo watazania wakishwa fundishwa kitu na kukaaa akilini, hapo ndio wanagota, wasijue kuwa kuna wachina wamewazunguka.
Sasa kama si sera isiyo rasmi, basi mi sijui ni nini!

Mkuu upo hapo?
Hii ni kweli kabisa, tunaona wanasiasa na watendaji ujenzi wakiwa midimo zege!
 
Kuna sera huwa hazitangazwi kwa uwazi, lakini mtu una akili, utaweka mbili na mbili utalipata jibu la nne.

Jijini Dar, wachina wamechukua kazi karibu zote za barabara.
Wazawa walie tu.

Siku hizi kila mtoa kazi za Ujenzi ana "mchina wake".

Wakandarasi wazawa uzeni tu mitambo yenu kabla kutu haijaiharibu kabisa.

Mbaya zaidi TANROADS ndio inakufa, Road Fund inachotwa kama watu hawana akili nzuri.

Awamu ya sita na wachina ni damu damu.
Na Tanzania itajengwa na wachina.
Mara ya ngapi .
 
Back
Top Bottom