Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,643
- 7,929
Uchumi (tourism , Agriculture, Minerals/gems).Kitu gani huko ambacho ni tayari
Uchumi (tourism , Agriculture, Minerals/gems).Kitu gani huko ambacho ni tayari
Kwamba Dom hamna uchumi!!? Mnapenda kujielevate kumbe bado sana tu hukoUchumi (tourism , Agriculture, Minerals/gems).
Ume base Sana katika ujenzi wa huo uwanja, Labda utachukua mwaka au miaka miwili,and than what?Unamaanisha nn kusema mwananchi wa kawaida?
Vibarua kwenye ujenzi, mafundi, wahudumu wa hotel, mamantilie watakao uza chakula, wahudumu wa migahawa itakayokuwa uwanjani, biashara kwa ujumla zitakazozunguka hayo maeneo ya uwanja..hardware zitakazouza vifaa vya ujenzi, burudani kwa wananchi n.k unamaanisha haya yote hayatamgusa Huyo mwananchi?
Tatizo.chief mnachnaganya sana ,.so lazma Idada ya Watu Dom izid Dar, pengne inaweza istokeee, lkan nachokisema by the time namba ya watu itaongezeka sana, so kupitia huo uwekezaji utasaidia Mji wa serikal.kukuwa na kuwa na huduma mbali mbali.Nenda nigeria kaangalie kama Abuja imeipita au kuwa sawa na Lagos pamoja na kuwekewa facilities zote.
Tukubali tu kuna miji ambayo ukiweka uwekezaji kunakuwa na uwezekano wa kukua zaidi mfano chuo cha UDOM kingewekwa mji kama mwanza leo hii tungeongea habari nyingine
Kwa mantiki hii basi kila kitu kifanywe Dar maana Dar ndio tayari sana au sio?Siyo Dodoma dah!!
Wangeujenga Arusha au Moshi ili siku tukiandaa AFCON, tuimarishe na utalii hapohapo. Pia, kuna hoteli nyingi around.
Dodoma bado sana, tena sana.
Kama ujinga ungekuwa tunda huu wako una hadhi ya fenesi. No offense.Chini ya uwongozi wa Nani?tukutane jumapili
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
NINA DATA ZA KUSUPPORT NILICHOANDIJA, ILA SIDHANI KAMA KUNA HAJA. INGEKUWA NI KIWANDA SAWA, SIYO STADIUM KWA DODOMA.Kwamba Dom hamna uchumi!!? Mnapenda kujielevate kumbe bado sana tu huko
Dar kuna Stadium tayari.Kwa mantiki hii basi kila kitu kifanywe Dar maana Dar ndio tayari sana au sio?
Mkuu Mwanza unaijua lakini?Hizo n takwimu za zamani
Kwasasa Dodoma inawatu wengi karibu milioni moja.Idadi ya watu inategemeana kuongezeka kuizidi Mwanza nankuwa mji wa pili kwa idadi ya watu
Hao walioendelea walianza kuboresha miundo mbinu kwanza halafu ndio wakaja na miradi mingine yenye manufaa kwa Raia wachache..Acha Mambo yako wewe..angalia maeneo ya viwanja Kuna economic activities nyingi sana..coz uwanja hautajengwa Kama boxi..utakua na accessories Kama maduka..hotels etc..usigandishe akili mjomba
Aijulie wapi? Anaihisi tu.Mkuu Mwanza unaijua lakini?
Una data za kusupport ujengwe Moshi au Arusha na si Dodoma!!! Kindly share with us!!NINA DATA ZA KUSUPPORT NILICHOANDIJA, ILA SIDHANI KAMA KUNA HAJA. INGEKUWA NI KIWANDA SAWA, SIYO STADIUM KWA DODOMA.
Nakaa Mwanza na Dodoma nayaelewa majiji yote?Mkuu Mwanza unaijua lakini?
Mwanza sio mji mkuu ni jiji labda nadhani Jiji la Mwanza hulijui vizuri mkuu, sipingi ukuaji wa Dodoma ila nakushauri urudi tena kuichunguza Mwanza na population yake ndio uje utabiri tena isije ikawa unatika huko Buchosa unasema unatok Mwanza.Nakaa Mwanza na Dodoma nayaelewa majiji yote?
Hakuna mji inatokea watu wengi kwasasa wahamiaji kama Dodoma hapo ukiitoa Dar
Hakuna mji unajua kwa spidi kwasasa kama Dodoma hapo ukiitoa Dar
Hakuna mji ambao umepungua na majengo ya makazi n bora kwa Ujumla wake
Hakuna mji ambao ongezeko la biashara n kubwa kama sio Dodoma