Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 5,899
- 19,279
mkuu kama mnaamua kupanua miji lazima mkubali huduma zitangulie kwanza sasa mnataka watu watangulie halafu huduma zifute
Kama.selikali inahamia dodoma lazima na huduma ziwe kama ilivyo kuwa kwa dar
Ulichokisema ni kweli lakini jiji la dar lina watu zaidi ya million 5 na huko dodoma sidhani watu wanaoishi mule na ukijumlisha watakaohamia kama watafika hata milioni tatu anytime soon.
Sasa suala ni lile lile je, projects zipelekwe dodoma kwa sababu ni mji mkuu au wapeleke sehemu nyingine ambazo zinaweza kuleta manufaa zaidi (kama zipo)