Tanzania is Constructing $100 Millions New Stadium in Dodoma...

Kuzwane Masinda said: "I don't want to sound judgemental, but most of the countries in Africa do not need such projects. We need to industrialise our villages and township that will boost our GDP growth and contribute towards our employment growth. We need to reflect on this well."
huyu kamaliza kila kitu..
 
Siyo Dodoma dah!!
Wangeujenga Arusha au Moshi ili siku tukiandaa AFCON, tuimarishe na utalii hapohapo. Pia, kuna hoteli nyingi around.
Dodoma bado sana, tena sana.
Sasa hivi dunia ni kijiji, haijalishi jiografia ya eneo kilichopo.

Kuna mi international airport yanjengwa, kuna mi standard guege railway ya kumwaga, ndiyo maana nikasema dunia ya sasa ni kijiji.

Jambo muhimu ni kuwa na kitu bila kujali kitu hicho kiko wapi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Projects kama hizi hazimsaidii chochote mwananchi wa kawaida, hizi ndio hizo projects zinazoitwa White Elephant

Kwanini serikali isijikite katika kitengeneza bararara za mitaani?,vumbi linawapa watu ugonjwa wa kila aina,...

Mungu ibariki Tanzania
 
Jambo la muhimu ni kuwa na kitu ukizingatia eneo kitu hichi kilipo. Hiwezi kujenga solo kubwa la samaki pembeni ya Ziwa duluti.
Kuna vitu sawa kufuata jiografia kama ulivyosema mkuu, ila awamu hii kila project kubwa zinapoanzishwa, kunakuwa na ukosoaji usiokuwa wa kawaida.

Hii maana yake ni nini, kwa mtu mzima lazima utskuwa unafshamu.

Embu jaribu kuangalia kwa makini mchango wa mtoa mada, tena hilo jina alilotumia anaonekana ni raia wa kigeni.

Ndiyo maana mimi nikasema kwa kuwa kiwanja hicho kinajengwa ndani ya aridhi ya Tz, popote kitakapokuwepo tayari tutakuwa tumepata, kuliko kutokuwa nacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni wajenge tu

Lazma tuwe na uwezo wa kuona mbali Mosi,mkapa stadium inahitaji msaidizi
Pili, leo unaweza usiwe muhimu ila hakika utafaa vizazi vyetu vijavyo
Tatu,Ddma n sehemu muhimu inahitaji hizi facilities
NB;
Nyie hamjachoka kubishana na wakenya kuhusu hii miji: acha wajenge tu
 
Tanzania is constructing Africa's new largest stadium, Dodoma Stadium at a cost of $100 million. The stadium will have a capacity of up to 100,000 people.

Many people are against the idea of a new stadium. Intro Nerd said: "The biggest structures require a lot of maintenance. So when we budget for such structures, we must also be very clear how income will be generated not only to pay the loan but to maintain it too. Just word of caution, we have seen many a white elephant."

0811a6bbe4ba3ba1f0c4bfe90713c87f

Kuzwane Masinda said: "I don't want to sound judgemental, but most of the countries in Africa do not need such projects. We need to industrialise our villages and township that will boost our GDP growth and contribute towards our employment growth. We need to reflect on this well."

Tsoko Mukanya said: "Their football is not even recognised. By whom should it be recognised to warrant the construction of a new stadium? Besides, are stadiums used solely for football purposes?"

Some said they should build high tech schools. Lagos Champion said: "I hope Tanzania has a far better maintenace culture. This is what we lack in Nigeria. Let's hope there are big games and events that are able to fill the stadium."
We dont have such names in Tanzania, whoever these freaks are must be implants..... So why don't you jus mind your business!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Projects kama hizi hazimsaidii chochote mwananchi wa kawaida, hizi ndio hizo projects zinazoitwa White Elephant

Kwanini serikali isijikite katika kitengeneza bararara za mitaani?,vumbi linawapa watu ugonjwa wa kila aina,...

Mungu ibariki Tanzania
Unamaanisha nn kusema mwananchi wa kawaida?
Vibarua kwenye ujenzi, mafundi, wahudumu wa hotel, mamantilie watakao uza chakula, wahudumu wa migahawa itakayokuwa uwanjani, biashara kwa ujumla zitakazozunguka hayo maeneo ya uwanja..hardware zitakazouza vifaa vya ujenzi, burudani kwa wananchi n.k unamaanisha haya yote hayatamgusa Huyo mwananchi?
 
Tanzania is constructing Africa's new largest stadium, Dodoma Stadium at a cost of $100 million. The stadium will have a capacity of up to 100,000 people.

Many people are against the idea of a new stadium. Intro Nerd said: "The biggest structures require a lot of maintenance. So when we budget for such structures, we must also be very clear how income will be generated not only to pay the loan but to maintain it too. Just word of caution, we have seen many a white elephant."

0811a6bbe4ba3ba1f0c4bfe90713c87f

Kuzwane Masinda said: "I don't want to sound judgemental, but most of the countries in Africa do not need such projects. We need to industrialise our villages and township that will boost our GDP growth and contribute towards our employment growth. We need to reflect on this well."

Tsoko Mukanya said: "Their football is not even recognised. By whom should it be recognised to warrant the construction of a new stadium? Besides, are stadiums used solely for football purposes?"

Some said they should build high tech schools. Lagos Champion said: "I hope Tanzania has a far better maintenace culture. This is what we lack in Nigeria. Let's hope there are big games and events that are able to fill the stadium."
Mimi ni hayo majina tuu ya wahojiwa/watoa maoni ndiyo yananipa "!?".
 
Bora wangeugawa mara mbili,vijengwe viwanja viwili vya watazamaji elfu hamsini hamsini.
Hakuna mashabiki wa kuujaza uwanja hata mechi kubwa watu waingie bure haujai.
Ni hasara sana
kwa hela hiyo wangejenga viwanja vitatu vya watazamaji hata 30-40k hv, kwa nchi zetu hizi tunahitaji viwanja bora vingi vidogo vidogo!

hata pale UK, viwanja vingi ni vidogo ila bora sana, the likes of liberty, st mary's, stanford bridge, sellus park, hata anfield ulikua mdogo tu, etihad mdogo n.k n.k

tunahitaji viwanja vingi vidogo ila bora na vya kisasa
 
Back
Top Bottom