Tanzania is Constructing $100 Millions New Stadium in Dodoma...

Unamaanisha nn kusema mwananchi wa kawaida?
Vibarua kwenye ujenzi, mafundi, wahudumu wa hotel, mamantilie watakao uza chakula, wahudumu wa migahawa itakayokuwa uwanjani, biashara kwa ujumla zitakazozunguka hayo maeneo ya uwanja..hardware zitakazouza vifaa vya ujenzi, burudani kwa wananchi n.k unamaanisha haya yote hayatamgusa Huyo mwananchi?
Ume base Sana katika ujenzi wa huo uwanja, Labda utachukua mwaka au miaka miwili,and than what?

Wahudumu wa mikahawa?...mikahawa gani? ..kwani ligi za Tanzania zinachezwa kwa muda gani?. au Kuna ligi ngapi za kufanya hiyo mikahawa kufanya kaxu kwa mwaka mzima mfululizo

Uliyoyaandika Ni mawazo ya mwafrika chini ya Jangwa la Sahara, Mind set za watu wanaoishi chini ya Jangwa la Sahara ni mbovu Sana,na ndio maana nchi za Waafrika weusi ziko nyuma kwa kila Kitu..

Sorry for that,but that's the way it is..too sad to think about it
 
Mnabwabwaja uwanja kujengwa Dodoma kisa utakua unaingiza mashabiki 100k, vipi Chato stadium huko?



"Not everything is for everybody"
 
Nenda nigeria kaangalie kama Abuja imeipita au kuwa sawa na Lagos pamoja na kuwekewa facilities zote.
Tukubali tu kuna miji ambayo ukiweka uwekezaji kunakuwa na uwezekano wa kukua zaidi mfano chuo cha UDOM kingewekwa mji kama mwanza leo hii tungeongea habari nyingine
Tatizo.chief mnachnaganya sana ,.so lazma Idada ya Watu Dom izid Dar, pengne inaweza istokeee, lkan nachokisema by the time namba ya watu itaongezeka sana, so kupitia huo uwekezaji utasaidia Mji wa serikal.kukuwa na kuwa na huduma mbali mbali.
Tatzo lipo kama utakuwa unalinganisha Dom na Dar au Mwanza unasau kuwa hayo n majiji ya siku nying.


Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 
Siyo Dodoma dah!!
Wangeujenga Arusha au Moshi ili siku tukiandaa AFCON, tuimarishe na utalii hapohapo. Pia, kuna hoteli nyingi around.
Dodoma bado sana, tena sana.
Kwa mantiki hii basi kila kitu kifanywe Dar maana Dar ndio tayari sana au sio?
 
Tunahitaji viwanja kama hivi sehemu nyigine tena. Uwanja wa Amari Abeid Arusha, Lake Tanganyika Kigoma, Jamhuri Morogorogo, na Majimaji Songea viboreshwe tena. Ligi ya Tanzania imekuwa ni kati lya Ligi zinazotazamwa kwa jicho la karibu sana na nchi nyingi za Afrika sasa hivi. Kuna wachezaji wengi wa nchi za kiafrika wanaoota kucheza kwenye ligi ya Tanzania. Kinachotakiwa ni kuboresha mapato ya viwanja hivyo kwa kutoa leseni kwa TV kutanganza michezo hiyo live na kupiga marufuku watu binafsi kutangaza live kutumia social media yoyote.
 
Acha Mambo yako wewe..angalia maeneo ya viwanja Kuna economic activities nyingi sana..coz uwanja hautajengwa Kama boxi..utakua na accessories Kama maduka..hotels etc..usigandishe akili mjomba
Hao walioendelea walianza kuboresha miundo mbinu kwanza halafu ndio wakaja na miradi mingine yenye manufaa kwa Raia wachache..

Jengeni Barabara za mitaani,jengeni Barabara Bora za kuunganisha Mikoa, Shule,Hospitali,Jengeni Bandari nk

Miradi ya kujenga viwanja vya mpira wakati mpira wenyewe hakuna, miradi ya kununua ndege Ni miradi itayowanufaisha wachache..

Akili ya mwafrika chini ya Jangwa la Sahara ndio inayofikiri Kama unavyofikiri wewe
 
Huyu anayesema uwanja ujengwe moshi au arusha ana hoja ya msingi, shida ni kwamba huku wapenzi wa mpira si wengi
Ila hoja zake ni nzuri bila shaka.
 
Waafrika wagumu kuelewa, kuna wadau kadhaa wamechangia kuhusu hasara ya kujenga uwanja mkubwa unaoingiza watu wengi.
Kwa malengo ya muda muda mrefu ni bora kuwa na viwanja vinavyoingiza kwa mfano watu elf30 hadi 40 katika miji tofauti ili kuweza kuwa na viwanja vingi linapokuja swala la kuandaa mashindano makubwa ambayo yanaweza kuvutia mashabiki kutoka nje.
Kwa idadi ya viwanja tulivyonavyo, ni vigumu kuandaa mashindano makubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Mwanza unaijua lakini?
Nakaa Mwanza na Dodoma nayaelewa majiji yote?

Hakuna mji inatokea watu wengi kwasasa wahamiaji kama Dodoma hapo ukiitoa Dar

Hakuna mji unajua kwa spidi kwasasa kama Dodoma hapo ukiitoa Dar


Hakuna mji ambao umepungua na majengo ya makazi n bora kwa Ujumla wake

Hakuna mji ambao ongezeko la biashara n kubwa kama sio Dodoma
 
Nakaa Mwanza na Dodoma nayaelewa majiji yote?

Hakuna mji inatokea watu wengi kwasasa wahamiaji kama Dodoma hapo ukiitoa Dar

Hakuna mji unajua kwa spidi kwasasa kama Dodoma hapo ukiitoa Dar


Hakuna mji ambao umepungua na majengo ya makazi n bora kwa Ujumla wake

Hakuna mji ambao ongezeko la biashara n kubwa kama sio Dodoma
Mwanza sio mji mkuu ni jiji labda nadhani Jiji la Mwanza hulijui vizuri mkuu, sipingi ukuaji wa Dodoma ila nakushauri urudi tena kuichunguza Mwanza na population yake ndio uje utabiri tena isije ikawa unatika huko Buchosa unasema unatok Mwanza.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom