Tanzania ipandishe kodi dhidi ya rwanda-air | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania ipandishe kodi dhidi ya rwanda-air

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by B.G TANTAWI, Sep 3, 2013.

 1. B

  B.G TANTAWI JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2013
  Joined: Jul 3, 2013
  Messages: 493
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 60
  Kwa kuwa Rwanda imeamua kupandisha ushuru kwa wafanya biashara wa Tanzania katika marori ma magari yanayoingiza badhaa Rwanda, sasa na sisi Tanzania ni wakati wetu wa kuongeza kodi kwa Rwanda Air.

  Tuangalie maeneo yote muhimu ambayo tunaweza kumbana Kagame hadi ashike adabu, Tumwekee vikwazo vikali hadi ajute.
   
 2. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2013
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,837
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana na hili wazo kabisa .It happened the same kati ya Mexico na USA during George Bush helm
   
 3. Pafyum

  Pafyum JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2013
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 201
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Tukipandisha kodi kwenye ndege zake, raia wetu ndio watakaoumia maana hakuna ndege sisi kwamba watapanda zetu. Sana sana kwa regional trips tunategemea KQ na Ethiopian Airlines ambapo KQ wenyw ni kama wapo na Rwanda. So tusikurupuke vile ikaja kula kwetu
   
 4. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2013
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,090
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Itakuwa utoto huo
   
 5. C

  Chikaka Sumuni JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2013
  Joined: May 16, 2013
  Messages: 1,341
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nadhani inabidi utafakari sana kabla ya kusema usemacho. Jambo hili lina sura nyingi sana, inabidi kusikilizia sana.
   
 6. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2013
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,837
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kodi ipande tu maana siamini kama kuna watu wanao jaza ndege ya Rwanda kwenda huko tokea Tanzania .Tuacheni uoga it is about time Kagame ajue kwamba we are tired of him .
   
 7. u

  upendo_20 JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2013
  Joined: Aug 1, 2013
  Messages: 1,441
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wewe ndie ulozima cctv?
   
 8. u

  upendo_20 JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2013
  Joined: Aug 1, 2013
  Messages: 1,441
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Tanzania ni watu makini hakuna mambo ya kukurupuka tusubiri tuone itakuwaje kama haya mambo nikweli ndio tuchukue action bado mapema sana ku act sisi over
   
 9. i

  isotope JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2013
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 2,404
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Wasukuma wana msemo wao usemao: Kusikia kwa kenge mpaka atoke damu masikioni. Huyo jamaa lugha anayoweza kuielewa ni mtutu tu, hayo mengine ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.
   
 10. B

  B.G TANTAWI JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2013
  Joined: Jul 3, 2013
  Messages: 493
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 60

  yeye wakati anapandisha ushuru hakujua kuwa raia wake ndo watakaopata athari? maana endapo waagizaji wa bidhaa hizo ambao ni raia wa Rwanda wakiamua kulipa hiyo tozo basi lazima mfumuko wa bei utapanda Rwanda, je yeye hakuliona hilo?

  hatuwezi kuwa na rafiki kama huyu! sisi tunataka tumbane kila kona ili asalimu amri.
   
 11. Lizaboni

  Lizaboni JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2013
  Joined: Feb 21, 2013
  Messages: 33,571
  Likes Received: 13,320
  Trophy Points: 280
  Nakuunga mkono. Tuwawekee vikwazo pia wafugaji wao wanaoingiza mifugo kule kagera kuchunga na kuirudisha kwao Rwanda. kuanzia sasa ni marufuku kuona mifugo ya Rwanda kwenye ardhi ya Tanzania
   
 12. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2013
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,503
  Likes Received: 5,424
  Trophy Points: 280
  Huu siyo ushauri mzuri;
  Ushauri kama huu unampotosha kiongozi wetu;
  halafu unarudi nyuma unaanza kumshangaa. chama saidia hapa

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. i

  isotope JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2013
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 2,404
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Kwa vile anaugomvi na magari ya Tanzania, dawa yake tuanzishe bandari ya nchi kavu karibu na mpakani. Magari yote ya Tanzania yakifika pale yanapakuwa mizigo na kuipakia kwenye magari yaliyosajiliwa kwao.
   
 14. B

  B.G TANTAWI JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2013
  Joined: Jul 3, 2013
  Messages: 493
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 60
  Hakuna watanzania wanaojaza ndege ya Rwanda, yeye ndo atapata asara kubwa kwani, kodi mbali mbali ambazo angezipata kwa watu wetu zitapungua kama c kwisha kabisa na mbaya zaidi ni kuwa budget ya RWANDA ilishasomwa tangu july MWAKA huu sasa kwa nini hii tozo iongezeke baada ya budget kusomwa? kama c intetional ni nini?
   
 15. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2013
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,822
  Likes Received: 1,154
  Trophy Points: 280
  Siungi mkono hoja!
   
 16. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2013
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kwa vile maroli yamekwama mpakani by surprise tuyawezeshe yaingie rwanda - tripu inayofuata itakuwa juu yao kusuka au kunyoa. ni juu yetu kuikubali hali hiyo na kuangalia hii cost kwa upande wetu tunaikabili vipi - gharama ambayo ina upeo wa muda mfupi ya kiutawala
   
 17. n

  ngonani JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2013
  Joined: Aug 27, 2012
  Messages: 1,307
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Pia serikali ifukuze Wanyarwanda wote wa Mwese[wa mwaka 1955] -Katavi,na Rukwa,Wanyarwanda hao walipewa urai wa kutamka na baba wa Taifa lakini urai huo hautambuliki kisheria,hivyo ni wakati muafaka warudishwe makwao.Ni wengi na wamewekeza sana huko Sumbawanga,Mpanda na hata mbeya,lakini wote origin yao ni Watusi wa Mwese wa Mwaka 1955.
   
 18. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2013
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,018
  Likes Received: 2,360
  Trophy Points: 280
  Mkuu, hivi ukiwa unatembea barabarani ukakutana na punguani, kichaa, mwenye mtindio wa akili, na akaanza kukutukana, utasimama uanze kujibu matusi yake kwa nguvu zako zote ili umshinde kwa kuporomosha matusi?
   
 19. T

  Tata JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2013
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,586
  Likes Received: 527
  Trophy Points: 280
  Tusilete siasa kwenye masuala ya biashara. Kama wao wamepandisha tuwaache na wendawazimu wao sisi tujikite kwenye kufanya biashara ya kiushindani. Watakaoumia zaidi ni wananchi wao.
   
 20. Inno laka

  Inno laka JF-Expert Member

  #20
  Sep 3, 2013
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 1,588
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180
  ndio mzee polisi.
   
Loading...