King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,672
- 68,644
Pia serikali ifukuze Wanyarwanda wote wa Mwese[wa mwaka 1955] -Katavi,na Rukwa,Wanyarwanda hao walipewa urai wa kutamka na baba wa Taifa lakini urai huo hautambuliki kisheria,hivyo ni wakati muafaka warudishwe makwao.Ni wengi na wamewekeza sana huko Sumbawanga,Mpanda na hata mbeya,lakini wote origin yao ni Watusi wa Mwese wa Mwaka 1955.
Wasukuma wana msemo wao usemao: Kusikia kwa kenge mpaka atoke damu masikioni. Huyo jamaa lugha anayoweza kuielewa ni mtutu tu, hayo mengine ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.
It applies to JF members too. Two or more IDs for the same person.isotope is the state of same element to have different atomic masses. Example Polonium210,Polonium220.
Breaking News: Siku chache baada ya mgogoro kati ya Tanzania na Rwanda ambao umesabisha "wahamiaji haramu" kufukuzwa nchini, bandari ya DAR inaonesha kila dalili za kuyumba baada ya kususiwa na wafanya biashara wa nchi jirani(insider information).
.Good idea.Kwa vile anaugomvi na magari ya Tanzania, dawa yake tuanzishe bandari ya nchi kavu karibu na mpakani. Magari yote ya Tanzania yakifika pale yanapakuwa mizigo na kuipakia kwenye magari yaliyosajiliwa kwao.
Tanzania ni watu makini hakuna mambo ya kukurupuka tusubiri tuone itakuwaje kama haya mambo nikweli ndio tuchukue action bado mapema sana ku act sisi over
Nakubaliana na hili wazo kabisa .It happened the same kati ya Mexico na USA during George Bush helm