Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,362
- 11,247
Nchi mbali mbali zimeonesha kuguswa na vifo vya Wapalestina kwa kusingizio cha kuwasaka Hamas.
Tangu vita hivyo kuanza Tanzania haijaonesha kukerwa sana na vifo vya maelfu ya Wapalestina karibu nusu wakiwa ni watoto.
Hata wale wanoiiunga mkono Israel sasa wamepatwa na kiwewe wakiangalia jinsi Wapalestina wanavyouliwa.
Iwapo Tanzania kama nchi haijaonesha kushughuliswa sana na vifo hivyo.
Je, inapata hasara gani kwa watanzania kwa hiyari yao kuandamana na kuonesha hisia zao kwa ndugu zao wa Palestina.