trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 736
Huu ni uongo hakuna kitu kama hicho kwa tv zipi zinazoweza kuleta madhara tv na redio zenyewe zinashika dar salaam tu zipo kiduchu ni upuuzi kutunga huu uongo wakitangaza tu ujinga deffender za polisi zinatosha kuwatuliza kwenye simu ndo daaah siku nyiingi mitambo ipooo zinadakwa na hakuna mjanja anayetumia simu kupiga hizo dili
Boss,mikoani inatumika satellite dish,receiver. Kwa sh laki 3 hivi. na mikoani watu wameamka sana wanajua kuchuja pumba vile vile,mradi uwape nafasi ya kufanya hivyo. Ndicho kilichomhukumu Tido Mhando. Usisome thread na kutoa maoni yako. Wakati mwingine soma ya wenzako ujue pa kuanZIA!