Tanzania imepoteza $370M miaka ya Makanikia

Tanzania imepoteza $370M miaka ya Makanikia

mabadiliko kwenye sector ya madini lazima yalete negative impact? na kwa muda gani,tupe time frame
Hebu leta a well analyses strategy ambayo wewe kama raia wa kawaida ambayo ungeitumua kujaribu/ kuleta changes kwenye mining industry Tanzania bila kuleta negative effects. Na hapa naomba ufanye tu kwa level ya standard 7 ila ukiweza kumconsult Zitto, do it!
 
Aaah, ndugu....hukumsoma mpaka mwisho???

Si ametumia takwimu za serikali yenyewe kutoka mwenye vitabu vyake vya mapato?

Haongei tu toka hewani. Huyu ndugu ni mtu wa ushahidi wa takwimu!!

Rudia tena kumsoma
Endelea kumpigia makofi, juzi katuletea hapa uongo na upotoshaji wa karne. Kiufupi Zito sio yule Zito tuliemjua zamani, huyu jamaa alichobakiza ni propaganda tu soon na yeye ataanza kuimba mapambio
 
pamoja na hayo bado tuna mshukuru JPM kuja kutufumbua macho juu la hili ukiacha na 2017 na 2018 hali ilkuwaje huko nyuma?
 
Maisha yataendaje kama hali nihiyo
Ok tumepata hasara kweli kwa takwimu hizo.

Tuwawajibishe vp hao waliotupa hasara hiyo kama tu ndani ya 4yrs imeshindikana kupambana nayo na saiv tuna load 5yrs again?

Hii vita ni kama ya kikundi kimoja tuu cha watu wachache, Watz wengi hawana habar, saiv bora uhai uwepo tuu na maisha yaende
 
Hebu leta a well analyses strategy ambayo wewe kama raia wa kawaida ambayo ungeitumua kujaribu/ kuleta changes kwenye mining industry Tanzania bila kuleta negative effects. Na hapa naomba ufanye tu kwa level ya standard 7 ila ukiweza kumconsult Zitto, do it!
Mkuu wewe unajifanya umesoma na ukaniita wa darasa la saba,sasa unashindwaje kujibu swali ambayo jibu lake ni neno moja tu yaani either NDIYO or HAPANA.badala yake unakuja na bla bla nyiiiingi,kama hujui si ungeuliza tu mapema nikakuelimisha approach zilizotakiwa kufuatwa na examples ya nchi zilizotumia approach hizo na zikaleta positive change.
 
Hata mimi namshangaaga huyu jamaa (Zitto)..ila kitu kimoja tunachofanana mimi na WEWE ni kwamba tunakosa FACTS za kujibu the so called LIES zake na hatimaye tunabakia kumshambulia na kumtuhumu ni KIBARAKA. Naomba tujitahidi kucounter facts zake ili tumuweke sawa aache the so called political stunts. Nakuomba saana nisaidie kutafuta facts tumuumbue la sivyo JF watatushambulia kwa PERSONALTY ATTACK and not FACTS.

Tafadhalii.
Akikujibu nitag
 
Kwahiyo jiwe ni malaika daah!
Hii nchi siasa zake sijui nani aliziasisi, wakati yanafanyika mabadiliko ya sheria ya madini kwa nia njema kabisa, wengine walikomaa kuponda tena bila hata adabu na staha!

Ilikuwa kama vile bora tubakie na sheria ile ya zamani! Sasa hivi wapingaji wale wale wanaitumia sheria ile ile waliyoipinga kuisema serikali kuwa inakiuka sheria mpya ya madini!

Kuna watu wanaweza kabisa kumfanya malaika aonekane shetani na shetani aonekane malaika. Huoni wakati gani wanakubaliana na serikali kwenye mambo ya msingi na wakati gani wanapinga.

Siasa za fitna, kukwamishana n.k hizi mambo zilianzia wakati wa harakati za uchaguzi wa 1995 na zinatutafuna hadi leo. Hoja inajengwa kwa kutegemea upande uliopo na si maslahi ya Taifa.
 
Mkuu wewe unajifanya umesoma na ukaniita wa darasa la saba,sasa unashindwaje kujibu swali ambayo jibu lake ni neno moja tu yaani either NDIYO or HAPANA.badala yake unakuja na bla bla nyiiiingi,kama hujui si ungeuliza tu mapema nikakuelimisha approach zilizotakiwa kufuatwa na examples ya nchi zilizotumia approach hizo na zikaleta positive change.
Kama una akiri timamu kwenye comment zangu nimebainisha wazi kuwa kujaribu/kuleta changes kwenye mining industry Tanzania hakuna namna negative effects zilikuwa zinazuilika na it's something ambacho mtu yeyote mwenye angalau elimu ya Darasa la Saba alipaswa kukitegemea. Sembuse Zitto na "Masters yake sijui ya Ecomomics"!!!
 
Upuuzi mtupu, mmekwisha hamna tena la kutudanganya, nilitegemea ungeongelea na ukuaji na uwekezaji mkubwa unaofanywa na wachimbaji wadogowadogo, tembelea Geita uone ilivyojengwa na nguvu iliyowekezwa kwa wachimbaji wadogowadogo na huo ndo uwekezaji wa kweli.

Hiyo miaka yoote ulotuwekea hapa kwamba tulikuwa tukipata kikubwa ni takataka tupu maana pesa hiyo yote ilikuwa ikirudi kwao kwamba hawapati faida na wanafidishia gharama za uendeshaji, leo hicho kidogo unachosema tunapata ni kitu harisi na kinaenda moja kwa moja kutumikia umma wa wa Tanzania, eti na wewe ulikuwa ukitaka uRais puppet mkubwa wa wazungu.
 
Fair enough kwa ulichokiandika; lakini sheria iliyopingwa ILIPITISHWA na ndio inayotumika. Kwa mantiki hiyo isipotekelezwa watu wanapaswa kulisemea hilo. Au unataka sheria ya zamani ndio itumike?
Kweli kabisa, Ila uwepo wa sheria umefanya uwepo wa legitimate kukosoa na pengine bila sheria mpya hoja ya kukosoa isingekuwepo.

Wanasiasa wanacheza na upande si maslahi ya Taifa
 
Nchi imepoteza mno kwenye sakata la Makanikia [ Fedha za kigeni $200M na TZS 430B Mapato ya Serikali]

  • mwaka 2016 Tanzania iliuza nje dhahabu iliyoingiza USD 1.8 bilioni
  • Mwaka wa Makanikia 2017 mauzo nje yalishuka mpaka USD 1.6 bilioni na;
  • Mwaka 2018, mwaka ambao athari ya Makanikia ilikuwa mwaka mzima mauzo nje yalikuwa USD 1.4 bilioni

Kati ya mwaka 2017-2018 Mauzo nje ya dhahabu yalishuka kwa jumla ya $200M saw na 11%.

Katika kipindi hicho uzalishaji wa dhahabu ulishuka kutoka tani 43 za dhahabu mwaka 2015 mpaka tani 39 mwaka 2018. Uzalishaji wa mwaka 2018 ulikuwa sawa na uzalishaji wa mwaka 2010.

Mapato ya Serikali kutoka sekta ya Madini yameshuka katika kipindi cha Makanikia. Kwa mujibu wa Kitabu cha Mapato ya Serikali kwa Wabunge ( Revenues Book Vol. 1 ).

  • mwaka 2016/17 makusanyo ya mirahaba yalikuwa TZS 341 bilioni
  • Mwaka 2017/18 makusanyo ya mirahaba yalikuwa TZS 230 bilioni
  • Mwaka 2018/19 makusanyo yalikuwa TZS 220 bilioni.
Serikali imekadiria kukusanya TZS 350 bilioni mwaka 2019/2020.

Kwa mujibu wa Dkt. Genuine Martin kwenye mada yake kwa Policy Forum Breakfast Debate Julai, 2019 Mapato yote ya sekta ya Madini yameshuka kwa 32% katika zama za Makanikia.

  • mwaka 2016 Mapato yalikuwa TZS 1.3 trilioni
  • Mwaka 2018 Mapato yalikuwa TZS 867 bilioni.
Katika Miaka 2 Mapato ya Serikali kutoka sekta ya Madini yameshuka kwa TZS 430 bilioni.

Tunapata nini kutoka Barrick Gold baada ya sakata la Makanikia?

Mapato ambayo Serikali ya Magufuli imepoteza kwenye sekta ya Madini kati ya mwaka 2017 - 2019 ni makubwa zaidi ya malipo* ambayo Serikali inasema tutalipwa na Barrick Gold Corporation ili kumaliza mgogoro baina ya Kampuni ya Acacia na Serikali.

Tumeona hapo juu kuwa tumepoteza Mapato ya Fedha za kigeni $200M na Mapato ya Serikali kushuka kwa TZS 430 bilioni. Kutoka Barrick tunatarajiwa kupata $300M ambazo chache kulinganisha na kiasi tulichopeteza.

* Malipo yenyewe hayo ya $300M kwanza yatalipwa kwa miaka 7, pili yana masharti ya wao kulipwa kwanza Fedha zao za VAT ( $240M ), na tatu watasamehewa Kodi ya Capital Gains Tax ya mauzo ya hisa za Acacia kwa Barrick Gold ($85.6M). Hatimaye Tanzania ndio itakuwa imeilipa Barrick $25M ( Net of payments and receipts to and from Barrick Gold ).

Kwa hiyo Tanzania imepoteza Mapato iliyokuwa yakusanywe kama mgogoro usingekuwepo [ $200M exports revenues and $170M tax revenues ] na imeishia kuilipa Barrick badala ya yenyewe kulipwa.

Tumepata hasara kubwa sana kutokana na maamuzi yetu wenyewe, maamuzi ambayo hayakuzingatia maslahi ya nchi yetu. Tunapaswa kuwawajibisha waliotupa hasara hiyo.
Takwimu tunazosikia za masoko ya madini na kamata kamata ya madini yaliyotoroshwa inategemewa mapato ya serikali kwenye sekta ya madini kwa ujumla wake yawe yameongezeka (madini yaliyotaifishwa + tozo mbalimbali kwenye mauzo masokoni) kuongezeka na siyo kupungua. Pengine takwimu zako ungeweka na akiba ilyo benki kuu ndio uhalisia ungeonekana badala ya takwimu za kilichouzwa pekee
 
Inawezekana aliyoyaongea Musiba kuhusu haka kajamaa jana ni ya kweli.
Yaani miaka yote tangu 2008 wewe umekuwa mbele kupiga kelele juu ya wizi unaofanywa na Migodi ya Madini.

Leo ametokea mtu amejaribu kuweka mambo sawa unapiga kelele tena. Haijalishi Kama amefanikiwa au laa, lakini atleast amejaribu kupambana na kile ambacho Watanzania wengi wamekuwa wakikipigia kelele ukiwemo wewe.
Kiufupi wewe ni tapeli wa kisiasa you do things just for political stunts. Hufanyi kwa maslahi ya Taifa bali kujipatia umaarufu binafsi. The good thing JPM ameweka a benchmark ya aina ya watu wanaopaswa kuwa Marais wa Nchi hii, hadhi ya Urais ameiweka kwenye standard ya juu sana na kutufumbua macho juu ya watu wa aina yako ambao kimsingi hamna chochote ila siasa za ulaghai ziliwafanya mfike hapo mlipo.
Mnapambana kuona JPM aonekane ameshindwa ili muendelee kuonekana nanyi mnasifa za kuwa Marais, kwani akifanikiwa of which is about to hadhi ya Urais itapanda sana na you will automatically be disqualified kwani Watanzania wataanza kufikiria aina ya watu wenye vinasaba kama vyake of which nyie Pro-JK mnavikosa.
Brother umeongea ukweli, ukweli mtupu.
 
Ambacho huelewi nini kwa mfano?!. Zitto wakati anatoa povu kuhusu sekita ya Madini alichokuwa anataka si mabadiliko!? Kama ni mabadiliko unadhani yangeweza kufanyika bila kuleta athari yoyote kwenye shughuli za Madini!? It is obvious alikuwa anajua hilo, sasa anapoleta tena huu upuuzi hapa sisi tumueleweje.

Yaani huyu ni sawa na mtoto anamlilia mzazi ampeleke shule, halafu mzazi anauza shamba ili ampeleke shule, halafu huyo huyo mtoto anarudi kumlaumu mzazi eti kwanini ameuza shamba.

Ujaelewa alichoongea ebu rudi kasome tarabitu mkuu alafu kaa fikilia angalia tatizo liko wapi kuliko na we sasa unasifia kila kila kitu hata kama amekosea tuliona haya toka kipindi cha kikwete mkasifia ila leo wote mnatukana kuwa kikwete amearibu nchi
 
Back
Top Bottom