Tanzania imepoteza $370M miaka ya Makanikia

Inawezekana aliyoyaongea Musiba kuhusu haka kajamaa jana ni ya kweli.
Yaani miaka yote tangu 2008 wewe umekuwa mbele kupiga kelele juu ya wizi unaofanywa na Migodi ya Madini.

Leo ametokea mtu amejaribu kuweka mambo sawa unapiga kelele tena. Haijalishi Kama amefanikiwa au laa, lakini atleast amejaribu kupambana na kile ambacho Watanzania wengi wamekuwa wakikipigia kelele ukiwemo wewe.
Kiufupi wewe ni tapeli wa kisiasa you do things just for political stunts. Hufanyi kwa maslahi ya Taifa bali kujipatia umaarufu binafsi. The good thing JPM ameweka a benchmark ya aina ya watu wanaopaswa kuwa Marais wa Nchi hii, hadhi ya Urais ameiweka kwenye standard ya juu sana na kutufumbua macho juu ya watu wa aina yako ambao kimsingi hamna chochote ila siasa za ulaghai ziliwafanya mfike hapo mlipo.
Mnapambana kuona JPM aonekane ameshindwa ili muendelee kuonekana nanyi mnasifa za kuwa Marais, kwani akifanikiwa of which is about to hadhi ya Urais itapanda sana na you will automatically be disqualified kwani Watanzania wataanza kufikiria aina ya watu wenye vinasaba kama vyake of which nyie Pro-JK mnavikosa.
Umempa za uso safi sana,jamaa anakera kinyama
 
Kilichofanya ufikie hitimisho hilo Nini!? Kwani swala hili limeshaisha!? Mimi nadhani alipaswq kusubiri hadi pale tutakapoambiwa swala limeisha na yale watakayokubaliana yaanze kutekelezwa ndio hapo tinaweza kusema kama njia zilikuwa sahihi au si sahihi. Tatizo lako na wewe na Zitto mnataka kila mtu arifikirie na kutenda kama mnavyofikiria nyie. Kwa ufupi nyie ni wabinafsi!
Unataka tupate hasara kwa muda gani ndo ujue mabadiliko anayoyafanya magufuli ni Negstive?mpumbavu hakawii kusema mwache afanye kazi yake,then anaanza kulia mwishoni kazi ikishafanyika,unakumbuka mlichofanya kwa Amunike na timu yake ya Afcon?
 
Endelea kuhamisha goli. Kwahiyo wewe na Zitto mlitaka zifanyike changes kwenye sekita na katika harakati za kufanya changes hizo isitokee athari yoyote. Tunaweza kupima kama Kuna hasara au faida baada ya kile kitakachotokana na mabadiliko hayo kuanza kutekelezwa, kabla ya hapo kufikia hitimisho kuwa Kuna hasara ni uongo wa mchana kweupe!
Kwani kwenye mabadiliko ni lazima zitokee negative impact tu?sasa naelewa why Magufuli anasajiri toka upinzani,Huko amezungukwa na wapumbavu watupu
 
Unataka tupate hasara kwa muda gani ndo ujue mabadiliko anayoyafanya magufuli ni Negstive?mpumbavu hakawii kusema mwache afanye kazi yake,then anaanza kulia mwishoni kazi ikishafanyika,unakumbuka mlichofanya kwa Amunike na timu yake ya Afcon?
Mkuu angalia hicho kipindi anachosema kuna hasara ni kipindi ambacho Serikali na Accacia/Barrick walikuwa kwenye mvutano. Na kama angalau umefika darasa la Saba ulipsawa kujua jaribio lolote la kutaka kuleta mabadliko kwenye sekita lazima lingeleta mvutano ambao kwa vyovyote vile ungeathiri sekita katik nyanya zote. Tunaweza kufikia hitimisho kama kilichofanya kimeleta hasara baada ya mvutano kuisha na kuangalia nini kimepatika. Kabla ya hapo kusema Kuna hasara huo ni Ushehe Yahya mkuu.
 
Inawezekana aliyoyaongea Musiba kuhusu haka kajamaa jana ni ya kweli.
Yaani miaka yote tangu 2008 wewe umekuwa mbele kupiga kelele juu ya wizi unaofanywa na Migodi ya Madini.

Leo ametokea mtu amejaribu kuweka mambo sawa unapiga kelele tena. Haijalishi Kama amefanikiwa au laa, lakini atleast amejaribu kupambana na kile ambacho Watanzania wengi wamekuwa wakikipigia kelele ukiwemo wewe.
Kiufupi wewe ni tapeli wa kisiasa you do things just for political stunts. Hufanyi kwa maslahi ya Taifa bali kujipatia umaarufu binafsi. The good thing JPM ameweka a benchmark ya aina ya watu wanaopaswa kuwa Marais wa Nchi hii, hadhi ya Urais ameiweka kwenye standard ya juu sana na kutufumbua macho juu ya watu wa aina yako ambao kimsingi hamna chochote ila siasa za ulaghai ziliwafanya mfike hapo mlipo.
Mnapambana kuona JPM aonekane ameshindwa ili muendelee kuonekana nanyi mnasifa za kuwa Marais, kwani akifanikiwa of which is about to hadhi ya Urais itapanda sana na you will automatically be disqualified kwani Watanzania wataanza kufikiria aina ya watu wenye vinasaba kama vyake of which nyie Pro-JK mnavikosa.

Hafanyi mabadiliko chanya. Anaharibu Nchi
 
Kwani kwenye mabadiliko ni lazima zitokee negative impact tu?sasa naelewa why Magufuli anasajiri toka upinzani,Huko amezungukwa na wapumbavu watupu
Hivi wewe umeishia la ngapi, unadhani hayo mabadiliko yangeweza kufanyika bila kuleta athari yoyote!?
 
Mkuu angalia hicho kipindi anachosema kuna hasara ni kipindi ambacho Serikali na Accacia/Barrick walikuwa kwenye mvutano. Na kama angalau umefika darasa la Saba ulipsawa kujua jaribio lolote la kutaka kuleta mabadliko kwenye sekita lazima lingeleta mvutano ambao kwa vyovyote vile ungeathiri sekita katik nyanya zote. Tunaweza kufikia hitimisho kama kilichofanya kimeleta hasara baada ya mvutano kuisha na kuangalia nini kimepatika. Kabla ya hapo kusema Kuna hasara huo ni Ushehe Yahya mkuu.
Jibu swali na acha kurukaruka,mabadiliko ni lazima yalete negative impact kwa sector?
 
Nchi imepoteza mno kwenye sakata la Makanikia [ Fedha za kigeni $200M na TZS 430B Mapato ya Serikali]

  • mwaka 2016 Tanzania iliuza nje dhahabu iliyoingiza USD 1.8 bilioni
  • Mwaka wa Makanikia 2017 mauzo nje yalishuka mpaka USD 1.6 bilioni na;
  • Mwaka 2018, mwaka ambao athari ya Makanikia ilikuwa mwaka mzima mauzo nje yalikuwa USD 1.4 bilioni

Kati ya mwaka 2017-2018 Mauzo nje ya dhahabu yalishuka kwa jumla ya $200M saw na 11%.

Katika kipindi hicho uzalishaji wa dhahabu ulishuka kutoka tani 43 za dhahabu mwaka 2015 mpaka tani 39 mwaka 2018. Uzalishaji wa mwaka 2018 ulikuwa sawa na uzalishaji wa mwaka 2010.

Mapato ya Serikali kutoka sekta ya Madini yameshuka katika kipindi cha Makanikia. Kwa mujibu wa Kitabu cha Mapato ya Serikali kwa Wabunge ( Revenues Book Vol. 1 ).

  • mwaka 2016/17 makusanyo ya mirahaba yalikuwa TZS 341 bilioni
  • Mwaka 2017/18 makusanyo ya mirahaba yalikuwa TZS 230 bilioni
  • Mwaka 2018/19 makusanyo yalikuwa TZS 220 bilioni.
Serikali imekadiria kukusanya TZS 350 bilioni mwaka 2019/2020.

Kwa mujibu wa Dkt. Genuine Martin kwenye mada yake kwa Policy Forum Breakfast Debate Julai, 2019 Mapato yote ya sekta ya Madini yameshuka kwa 32% katika zama za Makanikia.

  • mwaka 2016 Mapato yalikuwa TZS 1.3 trilioni
  • Mwaka 2018 Mapato yalikuwa TZS 867 bilioni.
Katika Miaka 2 Mapato ya Serikali kutoka sekta ya Madini yameshuka kwa TZS 430 bilioni.

Tunapata nini kutoka Barrick Gold baada ya sakata la Makanikia?

Mapato ambayo Serikali ya Magufuli imepoteza kwenye sekta ya Madini kati ya mwaka 2017 - 2019 ni makubwa zaidi ya malipo* ambayo Serikali inasema tutalipwa na Barrick Gold Corporation ili kumaliza mgogoro baina ya Kampuni ya Acacia na Serikali.

Tumeona hapo juu kuwa tumepoteza Mapato ya Fedha za kigeni $200M na Mapato ya Serikali kushuka kwa TZS 430 bilioni. Kutoka Barrick tunatarajiwa kupata $300M ambazo chache kulinganisha na kiasi tulichopeteza.

* Malipo yenyewe hayo ya $300M kwanza yatalipwa kwa miaka 7, pili yana masharti ya wao kulipwa kwanza Fedha zao za VAT ( $240M ), na tatu watasamehewa Kodi ya Capital Gains Tax ya mauzo ya hisa za Acacia kwa Barrick Gold ($85.6M). Hatimaye Tanzania ndio itakuwa imeilipa Barrick $25M ( Net of payments and receipts to and from Barrick Gold ).

Kwa hiyo Tanzania imepoteza Mapato iliyokuwa yakusanywe kama mgogoro usingekuwepo [ $200M exports revenues and $170M tax revenues ] na imeishia kuilipa Barrick badala ya yenyewe kulipwa.

Tumepata hasara kubwa sana kutokana na maamuzi yetu wenyewe, maamuzi ambayo hayakuzingatia maslahi ya nchi yetu. Tunapaswa kuwawajibisha waliotupa hasara hiyo.
Tunataka factual na technical findings kama hizi...

Ngoja aje mapungupungu Paskali sasa,uharo mtupu!

Akili ndogo ni akili ndogo tu...

Ndio maana Zitto ni Michael Jordan of this shit na Paskali is not.

There is a reason for that you dummies!
 
Cite authority please,
Are the facts and figures extracted from the experts report or your personal feelin???
 
Nchi imepoteza mno kwenye sakata la Makanikia [ Fedha za kigeni $200M na TZS 430B Mapato ya Serikali]

  • mwaka 2016 Tanzania iliuza nje dhahabu iliyoingiza USD 1.8 bilioni
  • Mwaka wa Makanikia 2017 mauzo nje yalishuka mpaka USD 1.6 bilioni na;
  • Mwaka 2018, mwaka ambao athari ya Makanikia ilikuwa mwaka mzima mauzo nje yalikuwa USD 1.4 bilioni

Kati ya mwaka 2017-2018 Mauzo nje ya dhahabu yalishuka kwa jumla ya $200M saw na 11%.

Katika kipindi hicho uzalishaji wa dhahabu ulishuka kutoka tani 43 za dhahabu mwaka 2015 mpaka tani 39 mwaka 2018. Uzalishaji wa mwaka 2018 ulikuwa sawa na uzalishaji wa mwaka 2010.

Mapato ya Serikali kutoka sekta ya Madini yameshuka katika kipindi cha Makanikia. Kwa mujibu wa Kitabu cha Mapato ya Serikali kwa Wabunge ( Revenues Book Vol. 1 ).

  • mwaka 2016/17 makusanyo ya mirahaba yalikuwa TZS 341 bilioni
  • Mwaka 2017/18 makusanyo ya mirahaba yalikuwa TZS 230 bilioni
  • Mwaka 2018/19 makusanyo yalikuwa TZS 220 bilioni.
Serikali imekadiria kukusanya TZS 350 bilioni mwaka 2019/2020.

Kwa mujibu wa Dkt. Genuine Martin kwenye mada yake kwa Policy Forum Breakfast Debate Julai, 2019 Mapato yote ya sekta ya Madini yameshuka kwa 32% katika zama za Makanikia.

  • mwaka 2016 Mapato yalikuwa TZS 1.3 trilioni
  • Mwaka 2018 Mapato yalikuwa TZS 867 bilioni.
Katika Miaka 2 Mapato ya Serikali kutoka sekta ya Madini yameshuka kwa TZS 430 bilioni.

Tunapata nini kutoka Barrick Gold baada ya sakata la Makanikia?

Mapato ambayo Serikali ya Magufuli imepoteza kwenye sekta ya Madini kati ya mwaka 2017 - 2019 ni makubwa zaidi ya malipo* ambayo Serikali inasema tutalipwa na Barrick Gold Corporation ili kumaliza mgogoro baina ya Kampuni ya Acacia na Serikali.

Tumeona hapo juu kuwa tumepoteza Mapato ya Fedha za kigeni $200M na Mapato ya Serikali kushuka kwa TZS 430 bilioni. Kutoka Barrick tunatarajiwa kupata $300M ambazo chache kulinganisha na kiasi tulichopeteza.

* Malipo yenyewe hayo ya $300M kwanza yatalipwa kwa miaka 7, pili yana masharti ya wao kulipwa kwanza Fedha zao za VAT ( $240M ), na tatu watasamehewa Kodi ya Capital Gains Tax ya mauzo ya hisa za Acacia kwa Barrick Gold ($85.6M). Hatimaye Tanzania ndio itakuwa imeilipa Barrick $25M ( Net of payments and receipts to and from Barrick Gold ).

Kwa hiyo Tanzania imepoteza Mapato iliyokuwa yakusanywe kama mgogoro usingekuwepo [ $200M exports revenues and $170M tax revenues ] na imeishia kuilipa Barrick badala ya yenyewe kulipwa.

Tumepata hasara kubwa sana kutokana na maamuzi yetu wenyewe, maamuzi ambayo hayakuzingatia maslahi ya nchi yetu. Tunapaswa kuwawajibisha waliotupa hasara hiyo.
Mheshimiwa Zitto habari,Kiongozi!l,Pole na majukumu ya Kitaifa na Kichama.Binafsi ni Msomaji Mzuri wa Chambuzi zako mbalimbali hasa zile zinazohusu masuala ya Uchumi na fedha kwani mimi ni mmoia wa wadau kwenye Taaluma husika.

Uchambuzi wako ni Mzuri nimeupenda kwa jinsi ambavyo umechambua taarifa kiundani na kutupa matokeo ya uchambuzi wa taarifa husika kwa kuangalia viashiria mbalimbali muhimu ambavyo umeona vinafaa vilivyokuwezesha kufikia hitimisho lako na kutoa ulichovumbua kwa Umma.

Kiongozi nasikitika kusema kwamba hitimisho lako sikubaliani, sikubaliani nalo kwa kipindi cha muda mrefu[in long term) na hata cha muda mfupi.

Kiongozi ,bila shaka naamini kwamba utakubaliana na mimi kwamba mitizamo na Maamuzi ya leo yaliyo chanya na endelevu ya muda mrefu wa mbele yanafaa zaidi ukilinganisha na yale chanya ya muda mfupi kwa maslai mapana ya Taifa letu.

Ni kweli, suala la makinikia limepelekea upotevu kwenye muda mfupi wa mtiririko wa fedha (Cash inflows) za kigeni kuelekea ndani ya inchi yetu kitaaluma na Kinadharia lakini Kiuhalsia(Substance and economic reality) hakuna kitu chenye thamani ambacho Taifa limepoteza kwenye kipindi cha makinia tafadhali pitia tena uchambuzi wako

Mzigo wenye thamani isiyobadirika kwa kiasi kikubwa kirahisi kwa kuzingatia muda upo kwenye uthibiti wa Taifa letu.Kama Mungu hata tupa riziki itokanayo mzigo huo leo amini Kesho atatupa .Amen.

Ubalikiwe sana Kiongozi.

Naomba upokea haya yangu masahihisho.

Article.
 
Back
Top Bottom