Tanzania imepoteza $370M miaka ya Makanikia

Zitto

Former MP Kigoma Urban
Mar 2, 2007
1,562
10,880
Nchi imepoteza mno kwenye sakata la Makanikia [ Fedha za kigeni $200M na TZS 430B Mapato ya Serikali]

  • mwaka 2016 Tanzania iliuza nje dhahabu iliyoingiza USD 1.8 bilioni
  • Mwaka wa Makanikia 2017 mauzo nje yalishuka mpaka USD 1.6 bilioni na;
  • Mwaka 2018, mwaka ambao athari ya Makanikia ilikuwa mwaka mzima mauzo nje yalikuwa USD 1.4 bilioni

Kati ya mwaka 2017-2018 Mauzo nje ya dhahabu yalishuka kwa jumla ya $200M saw na 11%.

Katika kipindi hicho uzalishaji wa dhahabu ulishuka kutoka tani 43 za dhahabu mwaka 2015 mpaka tani 39 mwaka 2018. Uzalishaji wa mwaka 2018 ulikuwa sawa na uzalishaji wa mwaka 2010.

Mapato ya Serikali kutoka sekta ya Madini yameshuka katika kipindi cha Makanikia. Kwa mujibu wa Kitabu cha Mapato ya Serikali kwa Wabunge ( Revenues Book Vol. 1 ).

  • mwaka 2016/17 makusanyo ya mirahaba yalikuwa TZS 341 bilioni
  • Mwaka 2017/18 makusanyo ya mirahaba yalikuwa TZS 230 bilioni
  • Mwaka 2018/19 makusanyo yalikuwa TZS 220 bilioni.
Serikali imekadiria kukusanya TZS 350 bilioni mwaka 2019/2020.

Kwa mujibu wa Dkt. Genuine Martin kwenye mada yake kwa Policy Forum Breakfast Debate Julai, 2019 Mapato yote ya sekta ya Madini yameshuka kwa 32% katika zama za Makanikia.

  • mwaka 2016 Mapato yalikuwa TZS 1.3 trilioni
  • Mwaka 2018 Mapato yalikuwa TZS 867 bilioni.
Katika Miaka 2 Mapato ya Serikali kutoka sekta ya Madini yameshuka kwa TZS 430 bilioni.

Tunapata nini kutoka Barrick Gold baada ya sakata la Makanikia?

Mapato ambayo Serikali ya Magufuli imepoteza kwenye sekta ya Madini kati ya mwaka 2017 - 2019 ni makubwa zaidi ya malipo* ambayo Serikali inasema tutalipwa na Barrick Gold Corporation ili kumaliza mgogoro baina ya Kampuni ya Acacia na Serikali.

Tumeona hapo juu kuwa tumepoteza Mapato ya Fedha za kigeni $200M na Mapato ya Serikali kushuka kwa TZS 430 bilioni. Kutoka Barrick tunatarajiwa kupata $300M ambazo chache kulinganisha na kiasi tulichopeteza.

* Malipo yenyewe hayo ya $300M kwanza yatalipwa kwa miaka 7, pili yana masharti ya wao kulipwa kwanza Fedha zao za VAT ( $240M ), na tatu watasamehewa Kodi ya Capital Gains Tax ya mauzo ya hisa za Acacia kwa Barrick Gold ($85.6M). Hatimaye Tanzania ndio itakuwa imeilipa Barrick $25M ( Net of payments and receipts to and from Barrick Gold ).

Kwa hiyo Tanzania imepoteza Mapato iliyokuwa yakusanywe kama mgogoro usingekuwepo [ $200M exports revenues and $170M tax revenues ] na imeishia kuilipa Barrick badala ya yenyewe kulipwa.

Tumepata hasara kubwa sana kutokana na maamuzi yetu wenyewe, maamuzi ambayo hayakuzingatia maslahi ya nchi yetu. Tunapaswa kuwawajibisha waliotupa hasara hiyo.
 
Tunapaswa kuwawajibisha waliotupa hasara hiyo.
Ok tumepata hasara kweli kwa takwimu hizo.

Tuwawajibishe vp hao waliotupa hasara hiyo kama tu ndani ya 4yrs imeshindikana kupambana nayo na saiv tuna load 5yrs again?

Hii vita ni kama ya kikundi kimoja tuu cha watu wachache, Watz wengi hawana habar, saiv bora uhai uwepo tuu na maisha yaende
 
Nchi imepoteza mno kwenye sakata la Makanikia [ Fedha za kigeni $200M na TZS 430B Mapato ya Serikali]

  • mwaka 2016 Tanzania iliuza nje dhahabu iliyoingiza USD 1.8 bilioni
  • Mwaka wa Makanikia 2017 mauzo nje yalishuka mpaka USD 1.6 bilioni na;
  • Mwaka 2018, mwaka ambao athari ya Makanikia ilikuwa mwaka mzima mauzo nje yalikuwa USD 1.4 bilioni

Kati ya mwaka 2017-2018 Mauzo nje ya dhahabu yalishuka kwa jumla ya $200M saw na 11%.

Katika kipindi hicho uzalishaji wa dhahabu ulishuka kutoka tani 43 za dhahabu mwaka 2015 mpaka tani 39 mwaka 2018. Uzalishaji wa mwaka 2018 ulikuwa sawa na uzalishaji wa mwaka 2010.

Mapato ya Serikali kutoka sekta ya Madini yameshuka katika kipindi cha Makanikia. Kwa mujibu wa Kitabu cha Mapato ya Serikali kwa Wabunge ( Revenues Book Vol. 1 ).

  • mwaka 2016/17 makusanyo ya mirahaba yalikuwa TZS 341 bilioni
  • Mwaka 2017/18 makusanyo ya mirahaba yalikuwa TZS 230 bilioni
  • Mwaka 2018/19 makusanyo yalikuwa TZS 220 bilioni.
Serikali imekadiria kukusanya TZS 350 bilioni mwaka 2019/2020.

Kwa mujibu wa Dkt. Genuine Martin kwenye mada yake kwa Policy Forum Breakfast Debate Julai, 2019 Mapato yote ya sekta ya Madini yameshuka kwa 32% katika zama za Makanikia.

  • mwaka 2016 Mapato yalikuwa TZS 1.3 trilioni
  • Mwaka 2018 Mapato yalikuwa TZS 867 bilioni.
Katika Miaka 2 Mapato ya Serikali kutoka sekta ya Madini yameshuka kwa TZS 430 bilioni.

Tunapata nini kutoka Barrick Gold baada ya sakata la Makanikia?

Mapato ambayo Serikali ya Magufuli imepoteza kwenye sekta ya Madini kati ya mwaka 2017 - 2019 ni makubwa zaidi ya malipo* ambayo Serikali inasema tutalipwa na Barrick Gold Corporation ili kumaliza mgogoro baina ya Kampuni ya Acacia na Serikali.

Tumeona hapo juu kuwa tumepoteza Mapato ya Fedha za kigeni $200M na Mapato ya Serikali kushuka kwa TZS 430 bilioni. Kutoka Barrick tunatarajiwa kupata $300M ambazo chache kulinganisha na kiasi tulichopeteza.

* Malipo yenyewe hayo ya $300M kwanza yatalipwa kwa miaka 7, pili yana masharti ya wao kulipwa kwanza Fedha zao za VAT ( $240M ), na tatu watasamehewa Kodi ya Capital Gains Tax ya mauzo ya hisa za Acacia kwa Barrick Gold ($85.6M). Hatimaye Tanzania ndio itakuwa imeilipa Barrick $25M ( Net of payments and receipts to and from Barrick Gold ).

Kwa hiyo Tanzania imepoteza Mapato iliyokuwa yakusanywe kama mgogoro usingekuwepo [ $200M exports revenues and $170M tax revenues ] na imeishia kuilipa Barrick badala ya yenyewe kulipwa.

Tumepata hasara kubwa sana kutokana na maamuzi yetu wenyewe, maamuzi ambayo hayakuzingatia maslahi ya nchi yetu. Tunapaswa kuwawajibisha waliotupa hasara hiyo.
Umemsikia Musiba kuhusu Nssf?!

Una lolote la kuwajuza watanzania!
 
Inawezekana aliyoyaongea Musiba kuhusu haka kajamaa jana ni ya kweli.
Yaani miaka yote tangu 2008 wewe umekuwa mbele kupiga kelele juu ya wizi unaofanywa na Migodi ya Madini.

Leo ametokea mtu amejaribu kuweka mambo sawa unapiga kelele tena. Haijalishi Kama amefanikiwa au laa, lakini atleast amejaribu kupambana na kile ambacho Watanzania wengi wamekuwa wakikipigia kelele ukiwemo wewe.
Kiufupi wewe ni tapeli wa kisiasa you do things just for political stunts. Hufanyi kwa maslahi ya Taifa bali kujipatia umaarufu binafsi. The good thing JPM ameweka a benchmark ya aina ya watu wanaopaswa kuwa Marais wa Nchi hii, hadhi ya Urais ameiweka kwenye standard ya juu sana na kutufumbua macho juu ya watu wa aina yako ambao kimsingi hamna chochote ila siasa za ulaghai ziliwafanya mfike hapo mlipo.
Mnapambana kuona JPM aonekane ameshindwa ili muendelee kuonekana nanyi mnasifa za kuwa Marais, kwani akifanikiwa of which is about to hadhi ya Urais itapanda sana na you will automatically be disqualified kwani Watanzania wataanza kufikiria aina ya watu wenye vinasaba kama vyake of which nyie Pro-JK mnavikosa.
 
Umebakiza propaganda tu bila ushahidi
 
Makinikia bado hayajauzwa, yakiuzwa mapato yataongezeka, worry not.
Nafikiri hesabu hizi sio rahisi moja kwa moja bali ni muhimu kujua kwenye makinikia ambayo hayajauzwa kuna pesa kiasi gani na kati ya hizo haki ya serikali ni ngapi. Ni kweli hela ya mwaka jana ina thamani zaidi ya hela ya mwaka huu lakini kama hayo makinikia yapo basi hasara ya kuyachelewesha ndio itakuwa gharama ya kuyazuia. Makinikia yalizuiwa kama strategy ya kudai chetu na kurekebisha mfumo wa uchimbaji hivyo pia lazima mtu akadirie faida halisi itakayotokana na mkataba huo na Barick bahati mbaya sidhani kama ni rahisi kupata data hiyo.
Ile $190 B ndio imeshageuzwa kuwa $300M lakini ukweli ni kuwa hakuna anae amini msingi wa hiyo $190B bill.
 
Nguvu inayo tumika kuwaelewesha wananchi kazi ya jiwe ni kubwa kuliko kazi anazozifanya. Hivyo kwenye utawala wa washamba tutegemee kuvuna kiki za hapa na taifa itakufa baadae kwa hasara za kiki.
Hata hawajali, bora wao walipata sifa za kutosha.
 
Nchi imepoteza mno kwenye sakata la Makanikia [ Fedha za kigeni $200M na TZS 430B Mapato ya Serikali]

  • mwaka 2016 Tanzania iliuza nje dhahabu iliyoingiza USD 1.8 bilioni
  • Mwaka wa Makanikia 2017 mauzo nje yalishuka mpaka USD 1.6 bilioni na;
  • Mwaka 2018, mwaka ambao athari ya Makanikia ilikuwa mwaka mzima mauzo nje yalikuwa USD 1.4 bilioni

Kati ya mwaka 2017-2018 Mauzo nje ya dhahabu yalishuka kwa jumla ya $200M saw na 11%.

Katika kipindi hicho uzalishaji wa dhahabu ulishuka kutoka tani 43 za dhahabu mwaka 2015 mpaka tani 39 mwaka 2018. Uzalishaji wa mwaka 2018 ulikuwa sawa na uzalishaji wa mwaka 2010.

Mapato ya Serikali kutoka sekta ya Madini yameshuka katika kipindi cha Makanikia. Kwa mujibu wa Kitabu cha Mapato ya Serikali kwa Wabunge ( Revenues Book Vol. 1 ).

  • mwaka 2016/17 makusanyo ya mirahaba yalikuwa TZS 341 bilioni
  • Mwaka 2017/18 makusanyo ya mirahaba yalikuwa TZS 230 bilioni
  • Mwaka 2018/19 makusanyo yalikuwa TZS 220 bilioni.
Serikali imekadiria kukusanya TZS 350 bilioni mwaka 2019/2020.

Kwa mujibu wa Dkt. Genuine Martin kwenye mada yake kwa Policy Forum Breakfast Debate Julai, 2019 Mapato yote ya sekta ya Madini yameshuka kwa 32% katika zama za Makanikia.

  • mwaka 2016 Mapato yalikuwa TZS 1.3 trilioni
  • Mwaka 2018 Mapato yalikuwa TZS 867 bilioni.
Katika Miaka 2 Mapato ya Serikali kutoka sekta ya Madini yameshuka kwa TZS 430 bilioni.

Tunapata nini kutoka Barrick Gold baada ya sakata la Makanikia?

Mapato ambayo Serikali ya Magufuli imepoteza kwenye sekta ya Madini kati ya mwaka 2017 - 2019 ni makubwa zaidi ya malipo* ambayo Serikali inasema tutalipwa na Barrick Gold Corporation ili kumaliza mgogoro baina ya Kampuni ya Acacia na Serikali.

Tumeona hapo juu kuwa tumepoteza Mapato ya Fedha za kigeni $200M na Mapato ya Serikali kushuka kwa TZS 430 bilioni. Kutoka Barrick tunatarajiwa kupata $300M ambazo chache kulinganisha na kiasi tulichopeteza.

* Malipo yenyewe hayo ya $300M kwanza yatalipwa kwa miaka 7, pili yana masharti ya wao kulipwa kwanza Fedha zao za VAT ( $240M ), na tatu watasamehewa Kodi ya Capital Gains Tax ya mauzo ya hisa za Acacia kwa Barrick Gold ($85.6M). Hatimaye Tanzania ndio itakuwa imeilipa Barrick $25M ( Net of payments and receipts to and from Barrick Gold ).

Kwa hiyo Tanzania imepoteza Mapato iliyokuwa yakusanywe kama mgogoro usingekuwepo [ $200M exports revenues and $170M tax revenues ] na imeishia kuilipa Barrick badala ya yenyewe kulipwa.

Tumepata hasara kubwa sana kutokana na maamuzi yetu wenyewe, maamuzi ambayo hayakuzingatia maslahi ya nchi yetu. Tunapaswa kuwawajibisha waliotupa hasara hiyo.
Zitto haya mambo huwezi kuelewa na si kila jambo ni propaganda. Wewe Chama umekitelekeza bila kuzingatia maslahi ya wengine huwezi kuengelea ''transactions'' kubwa.
 
Inawezekana aliyoyaongea Musiba kuhusu haka kajamaa jana ni ya kweli.
Yaani miaka yote tangu 2008 wewe umekuwa mbele kupiga kelele juu ya wizi unaofanywa na Migodi ya Madini.

Leo ametokea mtu amejaribu kuweka mambo sawa unapiga kelele tena. Haijalishi Kama amefanikiwa au laa, lakini atleast amejaribu kupambana na kile ambacho Watanzania wengi wamekuwa wakikipigia kelele ukiwemo wewe.
Kiufupi wewe ni tapeli wa kisiasa you do things just for political stunts. Hufanyi kwa maslahi ya Taifa bali kujipatia umaarufu binafsi. The good thing JPM ameweka a benchmark ya aina ya watu wanaopaswa kuwa Marais wa Nchi hii, hadhi ya Urais ameiweka kwenye standard ya juu sana na kutufumbua macho juu ya watu wa aina yako ambao kimsingi hamna chochote ila siasa za ulaghai ziliwafanya mfike hapo mlipo.
Mnapambana kuona JPM aonekane ameshindwa ili muendelee kuonekana nanyi mnasifa za kuwa Marais, kwani akifanikiwa of which is about to hadhi ya Urais itapanda sana na you will automatically be disqualified kwani Watanzania wataanza kufikiria aina ya watu wenye vinasaba kama vyake of which nyie Pro-JK mnavikosa.
Hata mimi namshangaaga huyu jamaa (Zitto)..ila kitu kimoja tunachofanana mimi na WEWE ni kwamba tunakosa FACTS za kujibu the so called LIES zake na hatimaye tunabakia kumshambulia na kumtuhumu ni KIBARAKA. Naomba tujitahidi kucounter facts zake ili tumuweke sawa aache the so called political stunts. Nakuomba saana nisaidie kutafuta facts tumuumbue la sivyo JF watatushambulia kwa PERSONALTY ATTACK and not FACTS.

Tafadhalii.
 
Mkuu pointi yangu ni kwamba Zitto alikuwa mmoja Kati ya watu waliolalamikia sana swala la Madini. Sasa amekuja mtu anajaribu kurekebisha, na kama alitaka kurekebisha anadhani ingekuwa rahisi, andhani katika kipindi cha marekebisho isingetokea standout, Zotto kama msomi alitegemea zifanyike changes bila kuathiri shughuli za uzalishaji.
Ndio maana nakwambia huyu jamaa amekuwa akitumia umbumbu wa watu kudanganya. Juzi ameleta uongo huju watu wakamuumbua Leo kaja na uongo mwingine.
 
Back
Top Bottom