Mkuu pointi yangu ni kwamba Zitto alikuwa mmoja Kati ya watu waliolalamikia sana swala la Madini. Sasa amekuja mtu anajaribu kurekebisha, na kama alitaka kurekebisha anadhani ingekuwa rahisi, andhani katika kipindi cha marekebisho isingetokea standout, Zotto kama msomi alitegemea zifanyike changes bila kuathiri shughuli za uzalishaji.
Ndio maana nakwambia huyu jamaa amekuwa akitumia umbumbu wa watu kudanganya. Juzi ameleta uongo huju watu wakamuumbua Leo kaja na uongo mwingine.
Alitaka mabadiliko positive,haya ya magufuli ni mabadiliko ila mabadiliko negative ndo maana hata kile kidogo tulichokuwa tunapata sasa hamna.madini yanabewa na pesa hatupati,tunaishia kuuza sura kwenye luninga na kilo 35 za dhahabu.Hivi ndege ukitua pale Buzwagi inapakia kilo 35 tu?Ambacho huelewi nini kwa mfano?!. Zitto wakati anatoa povu kuhusu sekita ya Madini alichokuwa anataka si mabadiliko!? Kama ni mabadiliko unadhani yangeweza kufanyika bila kuleta athari yoyote kwenye shughuli za Madini!? It is obvious alikuwa anajua hilo, sasa anapoleta tena huu upuuzi hapa sisi tumueleweje.
Yaani huyu ni sawa na mtoto anamlilia mzazi ampeleke shule, halafu mzazi anauza shamba ili ampeleke shule, halafu huyo huyo mtoto anarudi kumlaumu mzazi eti kwanini ameuza shamba.
Ahsante sana Zitto Kabwe...
Sasa tunatokaje hapa tulipo?
Mabadiliko ya hovyoAlitaka mabadiriko positive,haya ya magufuli ni mabadiriko ila mabadiriko negative ndo maana hata kile kidogo tulichokuwa tunapata sasa hamna.madini yanabewa na pesa hatupati,tunaishia kuuza sura kwenye luninga na kilo 35 za dhahabu.Hivi ndege ukitua pale Buzwagi inapakia kilo 35 tu?
Ambacho huelewi nini kwa mfano?!. Zitto wakati anatoa povu kuhusu sekita ya Madini alichokuwa anataka si mabadiliko!? Kama ni mabadiliko unadhani yangeweza kufanyika bila kuleta athari yoyote kwenye shughuli za Madini!? It is obvious alikuwa anajua hilo, sasa anapoleta tena huu upuuzi hapa sisi tumueleweje.
Yaani huyu ni sawa na mtoto anamlilia mzazi ampeleke shule, halafu mzazi anauza shamba ili ampeleke shule, halafu huyo huyo mtoto anarudi kumlaumu mzazi eti kwanini ameuza shamba.
Hoja yangu ni kwamba wewe kama msomi na mtu uliyejitanabaisha kama mtu uliyetaka yafanyike mageuzi katika sekita ya Madini unafahamau kabisa jaribio lolote la kufanya mageuzi hayo lazima lingeleta athari katika sekita. Sasa unapokuja kulalamika tena eti Kuna hasara kwangu mimi naona ni unafiki. Mchumi Kama wewe ulipaswa ujue hayo. And on this kwangu amefanikiwa, hajafanikiwa siyo issue. Issue ni kwamba amethubutu na wewe kwa hili ulipaswa uwe naye bega kwa bega lakini ndio kwanza ukaanza kupinga tena.Hoja yako nini?
Haya yote ni ili iweje,kumchafua Magufuli?Hamtafanikiwa,he is here to stay.Tena nashauri miaka yake kumi ikiisha wananchi waulizwe,wakikubali apewe vipindi vingine viwili vya miaka mitano mitano.Tunataka kizazi cha mafisadi kibadilishwe mindset.Nchi imepoteza mno kwenye sakata la Makanikia [ Fedha za kigeni $200M na TZS 430B Mapato ya Serikali]
- mwaka 2016 Tanzania iliuza nje dhahabu iliyoingiza USD 1.8 bilioni
- Mwaka wa Makanikia 2017 mauzo nje yalishuka mpaka USD 1.6 bilioni na;
- Mwaka 2018, mwaka ambao athari ya Makanikia ilikuwa mwaka mzima mauzo nje yalikuwa USD 1.4 bilioni
Kati ya mwaka 2017-2018 Mauzo nje ya dhahabu yalishuka kwa jumla ya $200M saw na 11%.
Katika kipindi hicho uzalishaji wa dhahabu ulishuka kutoka tani 43 za dhahabu mwaka 2015 mpaka tani 39 mwaka 2018. Uzalishaji wa mwaka 2018 ulikuwa sawa na uzalishaji wa mwaka 2010.
Mapato ya Serikali kutoka sekta ya Madini yameshuka katika kipindi cha Makanikia. Kwa mujibu wa Kitabu cha Mapato ya Serikali kwa Wabunge ( Revenues Book Vol. 1 ).
Serikali imekadiria kukusanya TZS 350 bilioni mwaka 2019/2020.
- mwaka 2016/17 makusanyo ya mirahaba yalikuwa TZS 341 bilioni
- Mwaka 2017/18 makusanyo ya mirahaba yalikuwa TZS 230 bilioni
- Mwaka 2018/19 makusanyo yalikuwa TZS 220 bilioni.
Kwa mujibu wa Dkt. Genuine Martin kwenye mada yake kwa Policy Forum Breakfast Debate Julai, 2019 Mapato yote ya sekta ya Madini yameshuka kwa 32% katika zama za Makanikia.
Katika Miaka 2 Mapato ya Serikali kutoka sekta ya Madini yameshuka kwa TZS 430 bilioni.
- mwaka 2016 Mapato yalikuwa TZS 1.3 trilioni
- Mwaka 2018 Mapato yalikuwa TZS 867 bilioni.
Tunapata nini kutoka Barrick Gold baada ya sakata la Makanikia?
Mapato ambayo Serikali ya Magufuli imepoteza kwenye sekta ya Madini kati ya mwaka 2017 - 2019 ni makubwa zaidi ya malipo* ambayo Serikali inasema tutalipwa na Barrick Gold Corporation ili kumaliza mgogoro baina ya Kampuni ya Acacia na Serikali.
Tumeona hapo juu kuwa tumepoteza Mapato ya Fedha za kigeni $200M na Mapato ya Serikali kushuka kwa TZS 430 bilioni. Kutoka Barrick tunatarajiwa kupata $300M ambazo chache kulinganisha na kiasi tulichopeteza.
* Malipo yenyewe hayo ya $300M kwanza yatalipwa kwa miaka 7, pili yana masharti ya wao kulipwa kwanza Fedha zao za VAT ( $240M ), na tatu watasamehewa Kodi ya Capital Gains Tax ya mauzo ya hisa za Acacia kwa Barrick Gold ($85.6M). Hatimaye Tanzania ndio itakuwa imeilipa Barrick $25M ( Net of payments and receipts to and from Barrick Gold ).
Kwa hiyo Tanzania imepoteza Mapato iliyokuwa yakusanywe kama mgogoro usingekuwepo [ $200M exports revenues and $170M tax revenues ] na imeishia kuilipa Barrick badala ya yenyewe kulipwa.
Tumepata hasara kubwa sana kutokana na maamuzi yetu wenyewe, maamuzi ambayo hayakuzingatia maslahi ya nchi yetu. Tunapaswa kuwawajibisha waliotupa hasara hiyo.
Amewekaje mambo sawa?Inawezekana aliyoyaongea Musiba kuhusu haka kajamaa jana ni ya kweli.
Yaani miaka yote tangu 2008 wewe umekuwa mbele kupiga kelele juu ya wizi unaofanywa na Migodi ya Madini.
Leo ametokea mtu amejaribu kuweka mambo sawa unapiga kelele tena. Haijalishi Kama amefanikiwa au laa, lakini atleast amejaribu kupambana na kile ambacho Watanzania wengi wamekuwa wakikipigia kelele ukiwemo wewe.
Kiufupi wewe ni tapeli wa kisiasa you do things just for political stunts. Hufanyi kwa maslahi ya Taifa bali kujipatia umaarufu binafsi. The good thing JPM ameweka a benchmark ya aina ya watu wanaopaswa kuwa Marais wa Nchi hii, hadhi ya Urais ameiweka kwenye standard ya juu sana na kutufumbua macho juu ya watu wa aina yako ambao kimsingi hamna chochote ila siasa za ulaghai ziliwafanya mfike hapo mlipo.
Mnapambana kuona JPM aonekane ameshindwa ili muendelee kuonekana nanyi mnasifa za kuwa Marais, kwani akifanikiwa of which is about to hadhi ya Urais itapanda sana na you will automatically be disqualified kwani Watanzania wataanza kufikiria aina ya watu wenye vinasaba kama vyake of which nyie Pro-JK mnavikosa.
akili za JPM anazijua mwenyewe kwakweli. unapoteza USD 370M ili upate USD 300MNchi imepoteza mno kwenye sakata la Makanikia [ Fedha za kigeni $200M na TZS 430B Mapato ya Serikali]
- mwaka 2016 Tanzania iliuza nje dhahabu iliyoingiza USD 1.8 bilioni
- Mwaka wa Makanikia 2017 mauzo nje yalishuka mpaka USD 1.6 bilioni na;
- Mwaka 2018, mwaka ambao athari ya Makanikia ilikuwa mwaka mzima mauzo nje yalikuwa USD 1.4 bilioni
Kati ya mwaka 2017-2018 Mauzo nje ya dhahabu yalishuka kwa jumla ya $200M saw na 11%.
Katika kipindi hicho uzalishaji wa dhahabu ulishuka kutoka tani 43 za dhahabu mwaka 2015 mpaka tani 39 mwaka 2018. Uzalishaji wa mwaka 2018 ulikuwa sawa na uzalishaji wa mwaka 2010.
Mapato ya Serikali kutoka sekta ya Madini yameshuka katika kipindi cha Makanikia. Kwa mujibu wa Kitabu cha Mapato ya Serikali kwa Wabunge ( Revenues Book Vol. 1 ).
Serikali imekadiria kukusanya TZS 350 bilioni mwaka 2019/2020.
- mwaka 2016/17 makusanyo ya mirahaba yalikuwa TZS 341 bilioni
- Mwaka 2017/18 makusanyo ya mirahaba yalikuwa TZS 230 bilioni
- Mwaka 2018/19 makusanyo yalikuwa TZS 220 bilioni.
Kwa mujibu wa Dkt. Genuine Martin kwenye mada yake kwa Policy Forum Breakfast Debate Julai, 2019 Mapato yote ya sekta ya Madini yameshuka kwa 32% katika zama za Makanikia.
Katika Miaka 2 Mapato ya Serikali kutoka sekta ya Madini yameshuka kwa TZS 430 bilioni.
- mwaka 2016 Mapato yalikuwa TZS 1.3 trilioni
- Mwaka 2018 Mapato yalikuwa TZS 867 bilioni.
Tunapata nini kutoka Barrick Gold baada ya sakata la Makanikia?
Mapato ambayo Serikali ya Magufuli imepoteza kwenye sekta ya Madini kati ya mwaka 2017 - 2019 ni makubwa zaidi ya malipo* ambayo Serikali inasema tutalipwa na Barrick Gold Corporation ili kumaliza mgogoro baina ya Kampuni ya Acacia na Serikali.
Tumeona hapo juu kuwa tumepoteza Mapato ya Fedha za kigeni $200M na Mapato ya Serikali kushuka kwa TZS 430 bilioni. Kutoka Barrick tunatarajiwa kupata $300M ambazo chache kulinganisha na kiasi tulichopeteza.
* Malipo yenyewe hayo ya $300M kwanza yatalipwa kwa miaka 7, pili yana masharti ya wao kulipwa kwanza Fedha zao za VAT ( $240M ), na tatu watasamehewa Kodi ya Capital Gains Tax ya mauzo ya hisa za Acacia kwa Barrick Gold ($85.6M). Hatimaye Tanzania ndio itakuwa imeilipa Barrick $25M ( Net of payments and receipts to and from Barrick Gold ).
Kwa hiyo Tanzania imepoteza Mapato iliyokuwa yakusanywe kama mgogoro usingekuwepo [ $200M exports revenues and $170M tax revenues ] na imeishia kuilipa Barrick badala ya yenyewe kulipwa.
Tumepata hasara kubwa sana kutokana na maamuzi yetu wenyewe, maamuzi ambayo hayakuzingatia maslahi ya nchi yetu. Tunapaswa kuwawajibisha waliotupa hasara hiyo.
Hana hoja ni mpiga zumari huyo achana nae...,Hoja yako nini?
Sheria zimesaidia nini? umeona rasmu ya makubaliano kati ya barick na serikali,hizo sheria hazijawekwa kando? je mkataba wetu na malawi juu ya resource za mto songwe sheria hizo zimetambuliwa? Mambo ya Chato na international issues ni vitu viwili tofautiHii nchi siasa zake sijui nani aliziasisi, wakati yanafanyika mabadiliko ya sheria ya madini kwa nia njema kabisa, wengine walikomaa kuponda tena bila hata adabu na staha!
Ilikuwa kama vile bora tubakie na sheria ile ya zamani! Sasa hivi wapingaji wale wale wanaitumia sheria ile ile waliyoipinga kuisema serikali kuwa inakiuka sheria mpya ya madini!
Kuna watu wanaweza kabisa kumfanya malaika aonekane shetani na shetani aonekane malaika. Huoni wakati gani wanakubaliana na serikali kwenye mambo ya msingi na wakati gani wanapinga.
Siasa za fitna, kukwamishana n.k hizi mambo zilianzia wakati wa harakati za uchaguzi wa 1995 na zinatutafuna hadi leo. Hoja inajengwa kwa kutegemea upande uliopo na si maslahi ya Taifa.
Unathubutu kwa kujikata mguu na wewe unataka recognition?Hoja yangu ni kwamba wewe kama msomi na mtu uliyejitanabaisha kama mtu uliyetaka yafanyike mageuzi katika sekita ya Madini unafahamau kabisa jaribio lolote la kufanya mageuzi hayo lazima lingeleta athari katika sekita. Sasa unapokuja kulalamika tena eti Kuna hasara kwangu mimi naona ni unafiki. Mchumi Kama wewe ulipaswa ujue hayo. And on this kwangu amefanikiwa, hajafanikiwa siyo issue. Issue ni kwamba amethubutu na wewe kwa hili ulipaswa uwe naye bega kwa bega lakini ndio kwanza ukaanza kupinga tena.
Kilichofanya ufikie hitimisho hilo Nini!? Kwani swala hili limeshaisha!? Mimi nadhani alipaswq kusubiri hadi pale tutakapoambiwa swala limeisha na yale watakayokubaliana yaanze kutekelezwa ndio hapo tinaweza kusema kama njia zilikuwa sahihi au si sahihi. Tatizo lako na wewe na Zitto mnataka kila mtu arifikirie na kutenda kama mnavyofikiria nyie. Kwa ufupi nyie ni wabinafsi!Alitaka mabadiliko positive,haya ya magufuli ni mabadiliko ila mabadiliko negative ndo maana hata kile kidogo tulichokuwa tunapata sasa hamna.madini yanabewa na pesa hatupati,tunaishia kuuza sura kwenye luninga na kilo 35 za dhahabu.Hivi ndege ukitua pale Buzwagi inapakia kilo 35 tu?
Upotoshaji wa mtu hausemwi kwa maneno matupu yaliyojaa mipasho....,Zitto amekuja na takwimu akiambatanisha namba wewe unapiga ramli...,Hii ni ishara ya mpotoshaji.
Inawezekana aliyoyaongea Musiba kuhusu haka kajamaa jana ni ya kweli.
Yaani miaka yote tangu 2008 wewe umekuwa mbele kupiga kelele juu ya wizi unaofanywa na Migodi ya Madini.
Leo ametokea mtu amejaribu kuweka mambo sawa unapiga kelele tena. Haijalishi Kama amefanikiwa au laa, lakini atleast amejaribu kupambana na kile ambacho Watanzania wengi wamekuwa wakikipigia kelele ukiwemo wewe.
Kiufupi wewe ni tapeli wa kisiasa you do things just for political stunts. Hufanyi kwa maslahi ya Taifa bali kujipatia umaarufu binafsi. The good thing JPM ameweka a benchmark ya aina ya watu wanaopaswa kuwa Marais wa Nchi hii, hadhi ya Urais ameiweka kwenye standard ya juu sana na kutufumbua macho juu ya watu wa aina yako ambao kimsingi hamna chochote ila siasa za ulaghai ziliwafanya mfike hapo mlipo.
Mnapambana kuona JPM aonekane ameshindwa ili muendelee kuonekana nanyi mnasifa za kuwa Marais, kwani akifanikiwa of which is about to hadhi ya Urais itapanda sana na you will automatically be disqualified kwani Watanzania wataanza kufikiria aina ya watu wenye vinasaba kama vyake of which nyie Pro-JK mnavikosa.
Wee buku saba acha kupiga pambio hapa huyo jiwe amerekibisha au ndo kavuruga kabisa jinga kabsa wwMkuu pointi yangu ni kwamba Zitto alikuwa mmoja Kati ya watu waliolalamikia sana swala la Madini. Sasa amekuja mtu anajaribu kurekebisha, na kama alitaka kurekebisha anadhani ingekuwa rahisi, andhani katika kipindi cha marekebisho isingetokea standout, Zotto kama msomi alitegemea zifanyike changes bila kuathiri shughuli za uzalishaji.
Ndio maana nakwambia huyu jamaa amekuwa akitumia umbumbu wa watu kudanganya. Juzi ameleta uongo huju watu wakamuumbua Leo kaja na uongo mwingine.
Endelea kuhamisha goli. Kwahiyo wewe na Zitto mlitaka zifanyike changes kwenye sekita na katika harakati za kufanya changes hizo isitokee athari yoyote. Tunaweza kupima kama Kuna hasara au faida baada ya kile kitakachotokana na mabadiliko hayo kuanza kutekelezwa, kabla ya hapo kufikia hitimisho kuwa Kuna hasara ni uongo wa mchana kweupe!Umedai Zitto ni muongo (amepotosha); sasa ili awe amepotosha au ameongopa kweli wewe tuletee hapa TAKWIMU mbadala (ila ziwe za kuaminika). Usilete porojo, we need numbers. Zitto katuambia (kwa kutoa namba) kuwa serikali imepoteza mapato (na akatoa kiasi kilichopotea kwa miaka husika). Wewe umeita huo ni UONGO; kwa hiyo wewe tupe takwimu zinazoonyesha kuwa si kweli kuwa kuna mapato yaliyopungua. Ukifanya hivyo utakuwa umethibitisha uongo wa Zitto.