Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Point mkuuBaadhi ya nchi nyingine zilifanikiwa kwa sababu ya nidhamu ya matumizi pamoja na kisimamia sheria za nchi kuhakikisha zinafuatwa na kila raia.Kwa hapa kwetu Tanzania tume wekeza sana kwenye matumizi kuliko kuwekeza ktk maendeleo.Tumewekeza kwenye kulindana hasa inapotokea wizi(Ufisadi)unao husisha chama chetu tukufu CCM....Tuna watetea wezi wa mali ya umma kwa kuwapa vyeo..Hatubwashitaki /hatuwafungi/hatuwafilisi mali walizo tuibia ,hivyo hata ungelipa kodi mpaka ufilisike nchi haiwezi kusonga kwa makando kando kama hayo niliyo yaainisha hapo juu.
Maendeleo huja kwa kasi lakini hakuna maendeleo kama hakuna demokrasia inayo dhihirika kwa vitendo,sahau sana tutakuwa tuna tembea mwendo wa mlevi hatua mbili mbele halafu hatua nne nyuma...
..