Tanzania imenyimwa msaada wa fedha za MCC?

Tanzania imenyimwa msaada wa fedha za MCC?

Nimepitia comments zako, sijaona sehemu uliyoleta majibu zaidi ya hoja za utegemezi na kuamini MCC ndio baba yako

Nimekwambia ukweli nnaona umehamia kunishambulia badala ya kuchangia hoja iliyopo hapa,tufanye mim nimeshindwa kufikiri nje ya MCC hebu nisaidie ni namna gani tunaweza kuwaepuka hawa mabepari na tuka salia salama kiuchumi mkuu?
 
Tanzania ni tajiri ila wachache ndio wanaofaidika sisi wananchi wa kawaida atuoni umuhimu wa izo pesa ila kwa wapiga dili ni pigo kubwa
 
Nimekwambia ukweli nnaona umehamia kunishambulia badala ya kuchangia hoja iliyopo hapa,tufanye mim nimeshindwa kufikiri nje ya MCC hebu nisaidie ni namna gani tunaweza kuwaepuka hawa mabepari na tuka salia salama kiuchumi mkuu?
Kuwaepuka mabepari ni kujitegemea basi
 
Wanaofikiria mambo yataishiakwenye ka tilioni tu. Tukaanze kujifunza kwa Mugabe
 
Misaada yenyewe midogo, sasa hiyo $472 million itasaidia nini! Kila mwaka wanatoa imesaidia nini hadi leo??
Haya maswali inabidi serikali watusaidie!

Misaada ni mizuri kama haitolewi katika msingi wa kupata faida kwa watoa msaada badala ya wapokea msaada.
 
kikao Leo!!!tusubirie wakae!! ndo tutakuwa na mjsdala mpana zaid
Kwa kiasi kikubwa ninakubaliana na wewe hata hivyo, athari au faida ya kupata/kukosa ni zilezile kabla au baada ya kufanya maamuzi.

Sio vibaya kujadili suala ambalo litatolewa maamuzi kama athari/faida zake zinafahamika
 
wanatoa tilioni moja kwa ajili ya kusambaza umeme unajua wanarudisha shilingi ngapi angalia miradi wanayopewa symbion wanachuma shilingi ngapi hakuna kitu cha bure
Angalia maamuzi ya board ya mcc.Tanzania: The Board deferred a vote on Tanzania’s reselection. The Board discussed the fact that due to ongoing concerns about the Zanzibar elections, as well as the use of Tanzania’s Cyber Crimes legislation in the context of the national elections, a vote on reselection would be premature at this time. The Board may revisit its decision over the course of 2016 as more information becomes available
 
hivi unafahamu kuhusu udukuaji unaofanywa na serikali ya marekani, unajua kwanini mpaka sasa Asange bado yuko ubalozini uingereza wao wenyewe hawana hiyo sheria badala yake wanajitia kutusimamia sisi kuwa hatutendi haki wao wana mamboyao wanayotaka fatilia kuhusu mcc na uhusiano walionao na symbion ndio utajua kama wanatusaidia au sisi tunawasaidia
 
Naungana na Rais DK. Magufuli Tanzanaia hatuitaji misaada ya kubembeleza, tutachapa kazi na kulipa kodi mambo yatakuwa safi kabisa na awamu ya tano ya Magufuli yanawezekana.
 
maskini jeuri, hata ukiwa tajiri hela zile si za kuzipuuzia, zingefanya mengi, Mahiga tusaidie! Style ya kumuita Magu kule..
Kusaidiwa saidiwa ndio kulikoturidisha nyuma mpaka kukatupeleka kwenye mikataba mibivu saabu ya kogopa kunyimwa misaada bora tu tunyimwe ili ipatikane njia m badala, tatizo kubwa asilimia 90 ya vijana wa Tanzania na watu wazima wengi hawajitambui hiyo ndio sababu unaona mtu mzima ana comment bila hata ku reason out, poleni sana safari bado ni ndefu.
 
Back
Top Bottom