Magufuli aache kiburi, ajisalimishe aende Marekani akiwa amenyoosha mikono juu kama katuni wa kwenye konyagi, watampatia huo mpunga, kumbuka maskini hana haki. Yuko sahihi lakini aangalie maslahi mapana ya TAIFA, wanataka akajipendekeze awape gesi ya Ruvu. Baba Magu nenda tu MZEE wetu huenda wakikuona mpunga utatoka