Tanzania Iko Mashakani

"Wazee Wa LAWAMA"Dunia nzima inawajua "Reciprocated and brainless MUDY Followers"Dunia nzima hakuna kama ninyi.KUDOS
 
Hivi ni kweli tunataka kuendekeza udini ili tusahau mshikamano wetu kama watanzania.

Kumbukeni silaha ya mnyonge ni umoja(Mwl. Nyerere). Umoja wetu unatakiwa sana ili tupigane bega kwa bega dhidi ya haya matatizo makubwa yanayoikumba nchi yetu kama ufisadi.

Tukianza kua na matabaka mara ooh yule ni muislam ameteuliwa wakiristo wameachwa, au yule mkiristo kwanini amepata?
Sioni kama ni sahihi kuwaza udini maana namna unavyompa cheo shetani ndivyo unavyozidi kumpa nafasi ya kutawala.

Wengine mnaweza kuniona mimi nimepitwa na wakati(outdated) ila kiukweli dini hua hainisumbui kabisaa wala hua sihitaji kujua dini ya mtu wala kuchagua rafiki wa dini flani.

Kama watu watapoteza mshikamano kwa kujadili udini miaka michache ijayo Tanzania itakua imechakaa kama Somalia ilivyokua imechakaa miaka mitatu nyuma.
 
Wapi RASTAFARIANS,HINDUS,BUDHA,KINGUNGE Amkeni MDAI HAKI ZENU NA NINYI.
 
Huyu bibi kila akipanda kwenye " mwezi" network inakata. Msameheni tu anakaribia menopozi.
 

Ndio maana nimesema 'some'
tatizo hao few wanaweza kuwa na influence kwa wengine
labda ni viongozi wa dini au wanasiasa njaa
wewe umeona ni stupid sababu una 'uelewa mkubwa'
sasa jiulize wangapi wanaweza tazama mambo independently...
tatizo la nchii ni 'mass ignorance'...sio hata udini

usisahau hata Marekani kuna ubaguzi wa rangi na dini but mwisho wa siku watu wanajua nini maana ya kuheshimu
maamuzi ya kura..
 

Solution mi hilo tu nafasi ziwe za kuchaguliwa
mfano waakuu wa mikoa na wilaya ama zifutwe au zichaguliwe
that way mtu hatatazama Rais kachagua mtu wa dini gani
maamuzi ya wananchi yataheshimiwa
 

Fuatlia kesi ya Kenya the Hague utagundua hao watu wachache wanavyoweza sababisha mauaji makubwa
wananchi hawana udini but what if ukiingia kanisani au msikitini ukute mnaelekezwa nani wa kumchagua?
watu wachache wanaweza nunua media kama Kenya na Rwanda
au kununua viongozi wa dini.....halafu the rest ikawa history.....

so hata kama general population hakuna udini...the threat is very real
sababu general population linaweza kuvurugwa na media au watu wengine wenye influence....

mimi uchaguzi uliopita nilimpigia kura DK Slaa but nawajua watu ambao 'walitishwa' kumchagua kwa kuwa tu alikuwa padri zamani....go figure......
 

tazama vizuri nimesema 'some people'
mfano wewe ni CHADEMA i am sure umewahi soma post za Yerricko Nyerere humu
akitukana waislam waziwazi...kuna post aliwahi sema humu Kikwete ndo Rais wa mwisho muislam
sijaona hata nyinyi CHADEMA wenzie mkilaani post hizo badala yake atajibiwa na wale wanaonekana ni kuwa
ni waislam...wakati kisiasa mtu akiwa wrong tunapaswa kumkataa wote regardless ya dini zetu..
 
Kwa mtaji huo, ina maana uchaguzi wa mwakani mgombea wa CCM lazima awe Mkristo la sivyo kitanuka?

*Nimetaja mgombea wa CCM kwa sababu huyo ndo atakayeshinda uchaguzi*

kuna watu wengi including Pasco wameshawahi kusema CCM wana 'unwritten rule'
ya kubadili Rais kwa kuangalia Dini.......akitoka muislam anakuja mkristo hivyo hivyo
sasa this time ikitokea akaja tena muislam no one knows reaction itakuaje...
hata kama ndie wananchi wanamtaka..
 
Last edited by a moderator:
Nimesoma hii post na kujikuta napatwa na Ghadhabu juu yako, lakini ngoja nitulize presaha ili nisiharibu hali ya hewa. Faiza wewe ni Celeb hapa JF unajulikana Kuanzia chama chako dini yako mpka wengine wanajua unapoishi, napata shaka sana na kile unacho kitafuta unapoanzisha mada za kuwachokonoa watu watoe hoja kuwa waislamu na uislamu ndio chanzo cha udini.

Samahani kama nitakuwa nakutusi lakini kama nitakuwa nimeeleweshwa vizuri hizi ndio Ashki zenyewe, tena tunaweza kuziita Ashki majinun za udini. Faiza umeona wiki inataka kukatika watu hawajafungua thread za kibaguzi, za kuchochea udini wala hawajafungua thread za kusema Waislamu magaidi, waislamu wadini, mtoto wa kike Ashki zimekushika unaanza kuleta tafakuri gombanishi.

Hii post yako inataka watu waseme Uislamu ndio Udini, Je wakina kahatan watakaa kimya na kukuacha uichafue imani yao? Leo umeamua kuandika post kwa intelijence ya primary, so sorry. Na Watu hapa JF Wameamka hakuna jinsi ya kupata unacho kitaka kwenye mjadala wako huu.

Kama unatamani kuona watu wakitupiana maneno, kwamba waislamu wadini na wengine warushe maneno waislamu wadini basi umeula wa chuya. Nenda Kenya au Nigeria Hapa Bongo Hizo Ashki zitakuua.

Mods nawaomba huyu dada apigwe Ban kila atakapokuwa analeta mada za aina hii na kila atakapo kuwa anapost coments za kidini ili tupunguze hili tatizo hapa jukwaani JF isijekutumika vibaya kuharibu Taifa letu.

Mwisho nasema Ashki ni kilema. ukiwa ashki majnun wa kupigana, basi utatafuta mtu na kumwambia, "wewe huna nguvu za kupigana na mimi", akipanik na kukuvaa. basi umetibiwa Ashki.
 
Last edited by a moderator:

Hiyo context iko wapi ? Zipo aya nyingi ambazo ni za udini perse na ndizo IS, Alshabaab ,Alqaeda et al. Wanazitumia lakini dunia kwa unafiki inalaumu IS et al. Na kujifanya hawajui IS wanamtumikia mungu wao ....
 

Yeyote anaekufuru ni kafir.
 


Yale yale sasa unayafanya
swali je hizi issue za udini zipo au hazipo?
je akiongelea mtu mwingine mfano Pasco....hakuna shida?
but akiongelea Faizafoxy zinakuwa ni tatizo?
naona unapinga udini kwa kutumia udini.....
 
Last edited by a moderator:
Kete ya udini ilikuwa muhimu sana kwa CCM mwaka 2010 ili waweze kushinda uchaguzi. Iliwahi kutumiwa kabla dhidi ya CUF, lakin 2010 ikawa reloaded! Ikumbukwe kwamba, ukiacha Nyerere; hakuna rais mwingine ambaye amewahi kuingia madarakani kwa mtaji mkubwa wa kisiasa kama Kikwete (80% ya kura). Watu wote walimpenda, waweza kusema wakristo walimpenda zaidi-hata Kilaini akasema ni chaguo la Mungu.

Shida ikaj baada ya kuiuzulu kwa Lowassa. Kwa maoni yangu, Lowassa alikuwa ngao ya udhaifu wa Kikwete. Lowassa alikuwa na nguvu kisiasa tofautia Pinda. Pinda mtu wa kutumwa. Baada ya kupwaya kwa serikali, wananchi wakawa wanatafuta mbadala. Slaa akajitokeza kugombea urais and the rest is history!

Uchochezi wa kidin umetumika makusudi kumbakiza Kikwete madarakan. Binafsi naamin angeweza kushinda bila hili, japo kwa asilimia chache zaid. Udin umeanzishwa, umelelewa na kukuzwa na vyombo vya dola na CCM. Ktk suala la kuchinja ng'ombe na kukojolea Quran, lilikuwa lilikuwa limeshabalehe. Kabla ya hapo, wakristo hawajawah kuwa wamoja ktk maslahi yao. Mazingira yamewaunganisha na sasa ni wamoja zaid. Nao wamejifunza kulialia, kulalamika na kushuku mambo (wakati mwingne bila sababu ya msingi). Waislam wamejifunza kuwa wakristo nao wana grievances zao japo hawakuwa kudai hapo kabla(wangependa na wao wachinje wanyama).

Funzo: Hakuna mshind kwenye chuki na uchochezi wa kidini. Serikali iache kutumia dini ktk masuala ya utawala na uongozi. Pia Islamization na Christianization zisitumie resources za serikali. Dini ziikabe serikal, zisikabane.
 

Hiyo context iko wapi ? Zipo aya nyingi ambazo ni za udini perse na ndizo IS, Alshabaab ,Alqaeda et al. Wanazitumia lakini dunia kwa unafiki inalaumu IS et al. Na kujifanya hawajui IS wanamtumikia mungu wao ....

Faiza Watanzania tumekuwa na amani miaka yote kwasababu Hiyo Aya Imetafsiriwa kama ifatavyo:

Muislamu hatakiwi kumfanya rafiki mkristo kwa maana ya kumshirikiana naye kwenye mambo ambayo kwenye uislamu ni dhambi, Mkristo akila nguluwe usimfanye rafiki, mkristo akijihusisha na ushoga usimfanye rafiki kwenye ushoga wake usiungane naye. Hivi we usisaidiwe kufikiria na Al-shabaab, we hujiulizi kama ukimtenga mkristo utamsaidiaje kuijua haki, utamfundishaje ili aijue Batil, Tuache Imani za kibaguzi zitabomoa taifa letu. tusibomoe nyumba tunayoishi wote
 
Sumu ya Siasa za Udini, Ukanda na Ukabila, "Is It Real? au ni Dhana tuu?!.

Pia nilishauri mahali, kuwa we have to break this thing!.
Japo hakuna kupokezana: Kiukweli, kihaki, kihalali na kimuungano, 2015 ni zamu ya Mzanzibari!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…