Tanzania has started to build its own helicopters

Tanzania has started to build its own helicopters

Tanzania has begun building its
own helicopters that will be taking
to the skies soon
A Tanzanian made two seater
chopper is in its final stages of
production and will start flying
trials once it granted permission
by the Tanzania Civil Aviation
Authority. However, mass
production will be by 2018.
“The Tanzania-made helicopters
will fly before 2020 and
specifically 2018, which is two
years from now,” said Engineer
Mjema http://ow.ly/m3Ci301qOUS


images
 
Mnanikumbusha ya DIT na gari la kutumia gesi..Sijui iliishia wap ile mchakato
Aliyesema hayo ya DIT baadaye alihamia Arusha na ndiye aliyesema hayo ya chopa kwa njia ya ujanjaujanja. Huyu jamaa ni tatizo la Taifa, anapenda sana kucheza na akili za wanasiasa na anachukua taaluma kama jambo la kisiasa-siasa tu.

Mtu huyu hathamini taaluma lakini leo anaiambia Tanzania na Dunia kwamba atatumia taaluma kufanya mambo makubwa kama kutengeneza/kuunda chopa! Mtu huyu anatumia njia za mkato kutengeneza mitaala ya chuo lakini tafakari kwamba mtu huyo huyo anasema atatumia taaluma wakati hafuati matakwa/misingi ya kitaaluma!

Kwa upande mwingine, Serikali imekuwa ikitenga pesa kwa ajili ya wanataaluma wa chuo kwenda viwandani kukagua maendeleo ya wanafunzi ikiwa ni pamoja na kuona na kubadilishana mawazo na wataalamu wa viwanda kwa muda wa siku 15. Lakini mtu huyu alivyo wa ajabu amekuwa akifikiri wanataaluma wakisafiri kwenda viwandani ni anasa.

Nia ya Serikali kupeleka wanataaluma viwandani kukagua wanafunzi pamoja na mambo mengine ni kuona viwanda vina nini kipya au vijana wetu wanapwaya au wako vizuri katika maeneo gani ili kuweza kuboresha zaidi taaluma inayotolewa na chuo.

Tofauti yake Mtu huyu huyu anayeongopea Taifa na Dunia kwamba atatengeneza chopa anafikiri kwamba wanataaluma watapata pesa au maarifa kama akiwapa per diem ya siku 15. Ndani yake mtu huyu hataki wanataaluma wa chuo wapate pesa wala maarifa na hivyo anawalipa wanataaluma wa chuo siku tano tu, hapo watajifunza kitu gani cha maana kwa muda huo? Je unadhani mtu wa aina hiyo anaweza kufanya watu kutengeneza chopa?

Kwa ufupi, hicho kinachosemwa kwamba kuna jambo la utengenezaji wa chopa chuoni hakipo. Ili kushuhudia kwamba jambo hili halipo, watu wafike na kufanya uchunguzi wa kina kama kuna jambo hilo. Hakuna kitu hicho, huo ni uongo kabisa.
 
Miaka ya 1997 pale dodoma eneo la sabasaba kuna jamaa aliwahi kuunda hii kitu sijui aliishia wapi,
Mwaka 1999-2000 kuna jamaa aliunda kama hiyo kitu pale Kahama maeneo ya stand mpya majengo sijui aliishia wapi nasijui kama alirusha kweli,
Hawa wakisaidiwa vifaa mbona wanarusha bila shaka tu
 
Rip in advance watakaofanyia flying test

Home built fixed wing planes unaweza kufanya majaribio na unproven automobile engines ambazo zimefanyiwa modification kwa kuongezewa plug mbili per cylinder fuel injection system badala ya carburator na ikiwezekana unaongeza fuel injector ya pili per cylinder na fuel pump mbili kwenye tanki la mafuta vyombo hivi vya usafiri wa anga vinatakiwa viwe na redudant system kwa ajili ya usalama - hapa nazungumzia fixed wing planes sio helicopters.

Linapo kuja suala la choppers hapo mambo yanakuwa tofauti kabisa, nchi za wenzetu hawa encourage watu kuhunda choppers for a good reason ni hatari sana - Serikali inapashwa kuwa makini sana na suala hili, narudia choppers ni hatari sana anything can go terribly wrong ikadondoka kutoka angani kama jiwe unlike fixed wing planes ambazo injini ikizimika ghafla unaweza uka glide bila power na katua kwenye open space au barabarani.

Accidents za chopper zinatokana na nini mara nyingi? La kwanza zina moving parts chungu nzima kuanzia main rotor na rotor ya mkiani, shaft ya kutoka kwenye injini kwenda mkiani kuzungusha tail rotor - vyote hivyo lazima vi run in syc, rotor ya nyuma ikizima ghafla au kutoka basi chopper nzima ina spin out of control mpaka abiria walio ndani wana shikwa kizunguzungu na hakuna njia ya kunijusuru, kama tatizo linatokea kwenye main rotor ikashindwa kuzunguka basi chopper itadondoka kama jiwe - either way abiria watakufa tu.

Chuo cha Ufundi cha Arusha wanajitahidi sana kiufundi na wanaona mbali, ila hili suala la uhundaji chopper wanapashwa kuwa makini nalo wasingize sokoni choppers ambazo hazijapata certificate kutoka kwenye relevant International Authorities zinazo husika na masuala ya usalama wa vyombo vya anga - hizo chopper zifanyiwe majaribio ya nguvu walao kwa miaka miwili kabla hazijaruhusiwa kubeba abiria.
 
TANZANIA has started to build its own helicopters in a project that will see the first batch of such choppers taking into the sky sometimes in 2018.
54d107ab3314b1f7a831fa7e509dd847.jpg


Already, the prototype model, a two-seater aircraft is in its final stages of completion at the Mechanical and Engineering Department of the Arusha Technical College, which runs a fully-fledged factory producing various forms of machinery, including a prototype motor vehicle and a number of industrial engines.

But it is the Tanzanian-made new helicopter that seems to be turning heads here; “We are complementing President Magufuli’s industrialisation policy in pioneering the first locally made helicopters that will be available to ordinary residents at affordable prices,” explained the man behind the ATC chopper project, Engineer Abdi Mjema.

The Permanent Secretary in the Ministry of Education, Science and Technology, Ms Maimuna Tarishi, who also toured the project over the weekend seemed surprised at the development and wanted to know when exactly the chopper will hit the skies.

“We are contacting the Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) for the permission to fly the chopper for trials,” said Engineer Mjema.

He assured the PS that the future of the ‘affordable,’ chopper -- to ease the country’s transport woes -- is approaching. “The Tanzania-made helicopters will fly before 2020 -- and specifically 2018, which is two years from now,” he added.

The idea was hatched two months ago by two engineers at the Arusha Technical College; Engineer Adisai Msongole, now serving as the ATC Bursar, and Engineer Abdi Mjema. The chassis as well as airframe for the pioneer chopper is ready -- complete with a mounted flat engine.

“We had initially intended the two-seater helicopter to be used for surveillance, rescue and agricultural purposes. However, as the project takes shape, we may increase the airframes to carry more people for serious transportation,” said the engineer.

The helicopter is currently 50 per cent complete and features the popular gasolinepowered VW flat engine on board. The motors, manufactured by Volkswagen in Germany, are the same used to make the ‘Robinson’ helicopters in the United States. “Once we get the aviation authority approval, we shall complete the most sensitive part of the helicopter -- mounting the main rotor.

This should be ready in threeweek’s time,” said Eng Mjema, adding that Arusha will set history as the first region to fly the first-ever Tanzanian manufactured helicopter in July 2016. With a non-pressurised cabin, the Prototype ATC helicopter has a flying ceiling of 400 feet for starters, taking into consideration that Arusha is already at a higher altitude.

But the flying height is set to increase with more complete and accomplished models. Most commercial choppers can fly up to 8,000 feet above sea level. On how many choppers the college can manufacture in a year once the project gets a nod from higher authorities, Eng Mjema said that depended on demand.

“But with serious work we can roll out up to 20 such helicopters in a year,” boasted the engineer.

The Rector of Arusha Technical College, Dr Richard Masika, had previously stated that, ATC was moving from being an ordinary college of technical, engineering and technological training towards becoming a fully-fledged factory, which will deal in vehicle and heavy machinery repair and manufacturing.

Next August ATC will be completing the first phase of Kikuletwa Hydropower Station Project and training centre setup, through which the college is going to churn electricity and hold training at the site based in Kilimanjaro Region.

Source: Choppers - Made in Tanzania
Huyu jamaa ni class mate wangu, ni mbunifu sana tangu tukiwa naye shule ya Sekondari. Alianza ufundi tukiwa kidato cha kwanza, alikuwa na ufahamu wa kila aina ya ufundi kuanzia Umeme, Mechanical, Electronics na kila aina ya ufundi. Ukiwa na project yeyoye inayohusu teknolojia yoyote mtafute atakusaidia.
 
We pimbi huwezi hata kulipia nauli ya DART afu unatuambia hutapanda chopper
Mimi napanda midege ya maana wewe fala. SAA, Emirates, British Airways na mengine km hayo sio vichopa vyenu uchwara. Pandeni wenyewe nyie buku 7. Pambaf!
 
Nazani hii nikiki ya kuziba walio ziba midomo
Boda boda tumeshindwa tuta weza chopa
Labda ya kichawi!
 
In the US, any individual with a knack for aeronautics and mechanics could pull this off single handedly. This category of aircraft is known as "experimental", and people with this kind of hobby or extracurricular activity use ready-made kits to assemble such in their own garage or backyard. In the US experiemental category aircraft would never be authorized for any commercial use or even be allowed to carry any passengers ever. So this is no big deal at all.
Sio big deal kwako wew unaebeba mabox huko US. Ila ni big deal kwa wakulima na wafanya biashara wa hapa tz
 
Kwa taarifa yako mkuu, this is NOT a big deal, its a HUUUUGE deal. Hivi unadhani ubunifu linatokea wapi?? Kuna baadhi ya wabunifu barani afrika, jamaa flani wa Gambia aliweza kuunda fixed wing aircraft lake ambalo halikuweza kupaa,, lakini nampa 100% kwa hilo jaribio.

We learn to crawl before we can walk. That is how scientists and engineers are born, sio kuyapuuza kila jaribio la mwenzako. Tuwaenzi hawa majamaa, wao ndio waanzilishi wa uchumi wa viwanda.

Ukitaka kujua kama hio sio big deal, nenda ufanye utafiti upate kujua taji la "most respected profession in Germany " imeshikwa na nani??

Umenikera sana.

Hiyo chopper haitapaa, na kama itapaa itakuwa mita 50 tu halafu gravity will do what gravity does, Hilo nakuhakikishia 100%.
 
Sio big deal kwako wew unaebeba mabox huko US. Ila ni big deal kwa wakulima na wafanya biashara wa hapa tz
Hilo chopa la kuchonga ni ndoto za alinacha kupewa kibali chochote na Mamlaka ya Usafiri wa Anga. Litabakia kuwa "experimental" tu. Najiuliza resources za kugharamia upuuzi kama huu analipa nani?
 
Hiyo chopper haitapaa, na kama itapaa itakuwa mita 50 tu halafu gravity will do what gravity does, Hilo nakuhakikishia 100%.
Wewe sio mhandisi, huwezi nipa uhakikisho.
Hilo chopa la kuchonga ni ndoto za alinacha kupewa kibali chochote na Mamlaka ya Usafiri wa Anga. Litabakia kuwa "experimental" tu. Najiuliza resources za kugharamia upuuzi kama huu analipa nani?
Jameni, ndo motisha unayopeana kwa vizazi vya keaho hili??? Tambua kuwa the Wright brothers wa Marekani walichekwa hadi na kuitwa wenda wazimu. Leo hii, ukitizama jinsi teknolojia,biashara na vyote kuhusu aviation imenawiri tukiweka 1902 kama base year, utashangaa. Naona ubakie tu pale karne ya 19 na kwenda nyuma.
Binafsi ningewasihi wabunifu na wanasayansi kwa ujumla waepuke na watu kama wewe.
 
Hilo chopa la kuchonga ni ndoto za alinacha kupewa kibali chochote na Mamlaka ya Usafiri wa Anga. Litabakia kuwa "experimental" tu. Najiuliza resources za kugharamia upuuzi kama huu analipa nani?
Inaashangaza, rasilimali hizo za kutengeneza vitu hivi vya ajabu zinapatikana wapi wakati wafanyakazi wanadai madai kibao hawapati kwa sababu wanaambiwa hakuna pesa. Kibaya zaidi hata fedha kwa ajili ya kutengeneza mitaala kwa ajili ya kuboresha taaluma inayotolewa na chuo hakuna, ni kichekesho kabisa.
 
Back
Top Bottom