Tanzania has started to build its own helicopters

Not wanting to pee on your bonfire, but let's be modest. What they are doing will amount to assembling. If you cannot produce an engine, you are damn copying, assembling....not manufacturing. That is a feat even Iran failed to achieve!
 
Swali linakuja.Je technical college of arusha Kuna course ya aerospace engineering?Kwa ufupi hakuna.
 
Hii ni habari ya kupika iliyotolewa na chuo kwa lengo la kutaka kutenda uhalifu wa kifisadi. Habari hii imeleta taharuki kubwa Duniani na kama hatua za haraka za kukanusha hazitachukuliwa, Dunia itaishangaa Tanzania kwa kuwa habari hizi siyo za kweli.

Habari hizi zimeandikwa na kutangazwa na chuo huku menejimenti ya chuo ikiwa na tuhuma lukuki za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka. Aidha tuhuma zingine nzito zinamhusu Mkuu wa chuo hicho kuwa na tabia ya kudanganya mamlaka za juu ikiwemo Bunge na Wizara ya Elimu.

Attachments

  • Tanzania inatarajia kurusha Helicopter, mbunifu wa hiyo helcopter kazungumza haya (1) (1).mp4
    1.7 MB · Views: 37
Power tiller au tractor zingeweza kusaidia wananchi kama chuo kina uwezo wa ubunifu wa kiasi hicho. Kama hata maboresho ya turbine ya kufua umeme iliyoachwa na wataalamu wa UDSM ambayo ilidaiwa kwamba imetengenezwa na mafundi wa chuo cha Ufundi Arusha yalishindikana itakuwa chopa kweli?

7640_10153996847952487_1296214619587581403_n.jpg
 
Hii ni habari ya kupika iliyotolewa na chuo kwa lengo la kutaka kutenda uhalifu wa kifisadi. Habari hii imeleta taharuki kubwa Duniani na kama hatua za haraka za kukanusha hazitachukuliwa, Dunia itaishangaa Tanzania kwa kuwa habari hizi siyo za kweli.

Habari hizi zimeandikwa na kutangazwa na chuo huku menejimenti ya chuo ikiwa na tuhuma lukuki za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka. Aidha tuhuma zingine nzito zinamhusu Mkuu wa chuo hicho kuwa na tabia ya kudanganya mamlaka za juu ikiwemo Bunge na Wizara ya Elimu.

upo bize kuchafua chuo cha Ufundi Arusha (ATC). Hivi hauna kazi ya kufanya ?
 
Power tiller au tractor zingeweza kusaidia wananchi kama chuo kina uwezo wa ubunifu wa kiasi hicho. Kama hata maboresho ya turbine ya kufua umeme iliyoachwa na wataalamu wa UDSM ambayo ilidaiwa kwamba imetengenezwa na mafundi wa chuo cha Ufundi Arusha yalishindikana itakuwa chopa kweli?

Power tiller au tractor zingeweza kusaidia wananchi kama chuo kina uwezo wa ubunifu wa kiasi hicho. Kama hata maboresho ya turbine ya kufua umeme iliyoachwa na wataalamu wa UDSM ambayo ilidaiwa kwamba imetengenezwa na mafundi wa chuo cha Ufundi Arusha yalishindikana itakuwa chopa kweli?

Power tiller au tractor zingeweza kusaidia wananchi kama chuo kina uwezo wa ubunifu wa kiasi hicho. Kama hata maboresho ya turbine ya kufua umeme iliyoachwa na wataalamu wa UDSM ambayo ilidaiwa kwamba imetengenezwa na mafundi wa chuo cha Ufundi Arusha yalishindikana itakuwa chopa kweli?
 
Serikali imekuwa ikitenga fedha kwa ajili ya kila mwalimu wa chuo cha ufundi Arusha kuweza kwenda kukagua wanafunzi viwandani ikiwa ni pamoja na kujifunza na kijionea yanayofanyika viwandani kwa muda wa siku 15. Lakini kwa sababu unazozijua Uongozi wa chuo umekuwa ukiwalipa wanataaluma hao siku 3 mpaka 8 kwa ajili ya kazi hiyo.

Wakati wanataaluma wa chuo wakipewa siku hizo chache tofauti na inavyotakiwa, Mkuu wa chuo amekuwa akijilipa kwa muda wa siku 15 bila kwenda kufanya kazi hiyo. Mkuu wa chuo pamoja na wasaidizi wake wawili wamekuwa wakilipwa kiasi cha Tsh 1,780,000/= bila kufanya kazi waliyochukulia fedha hiyo ya kukagua wanafunzi viwandani.

Viongozi hao wa chuo hujilipa kiasi cha 80,000 x 16 = 1,280,000/= kwa ajili ya perdiem, Tsh 500,000/= kwa ajili ya kukirimu wageni wakiwa safarini na nauli za ndege kwenda Dar es Salaam na kuridi, wakati hawafanyi kazi hiyo.

Licha ya uongozi huo kujilipa kiasi hicho kwa ajili ya kwenda kukagua wanafunzi viwandani bila kwenda kufanya kazi hiyo, pia uongozi wa chuo umekuwa hupeleka kusikojulikana fedha inayobaki.

Kwa mfano, katika mwaka wa masomo 2011/12 Serikali kupitia Wizara ya Elimu ilituma Chuoni kiasi cha Tsh 546,743,000/= kwa ajili ya Mafunzo viwandani kwa wanafunzi na waalimu kwenda kuwakagua viwandani. Mwaka huo wa masomo zaidi ya Tsh 80,000,000/= zilitokomea kusikojulikana.

Katika mwaka wa masomo 2012/13 Serikali kupitia Wizara ya Elimu ilituma Chuoni kiasi cha Tsh 559,860,000/= kwa ajili ya Mafunzo viwandani kwa wanafunzi na waalimu kwenda kuwakagua viwandani. Kadhalika katika mwaka huo wa masomo zaidi ya Tsh 80,000,000/= zilitokomea kusikojulikana.

Kama hiyo haitoshi, Mkuu wa chuo amekuwa akilipwa mshahara ngazi ya juu kuliko cheo chake. Pia Mkuu wa chuo amekuwa akilipwa 20% ya mshahara huo kama posho/alawansi ya majukumu yake (responsibility allowance)

Kwa mfano, katika mwaka 2011/12 Mkuu wa chuo alitakiwa kulipwa mshahara wa Tsh 3,330,700/= kwa mwezi, lakini alilipwa kiasi cha Tsh 4,303,400/= kwa mwezi. Mwaka 2012/13 alitakiwa kulipwa Tsh 3,697,000/= kwa mwezi, lakini alilipwa kiasi cha Tsh 4,734,000/= kwa mwezi na mwaka 2013/14 alitakiwa kulipwa Tsh 3,837,000/= kwa mwezi, lakini alilipwa kiasi cha Tsh 4,823,000/= kwa mwezi
 
Serikali imekuwa ikitenga fedha kwa ajili ya kila mwalimu wa chuo cha ufundi Arusha kuweza kwenda kukagua wanafunzi viwandani ikiwa ni pamoja na kujifunza na kijionea yanayofanyika viwandani kwa muda wa siku 15. Lakini kwa sababu unazozijua Uongozi wa chuo umekuwa ukiwalipa wanataaluma hao siku 3 mpaka 8 kwa ajili ya kazi hiyo.

Wakati wanataaluma wa chuo wakipewa siku hizo chache tofauti na inavyotakiwa, Mkuu wa chuo amekuwa akijilipa kwa muda wa siku 15 bila kwenda kufanya kazi hiyo. Mkuu wa chuo pamoja na wasaidizi wake wawili wamekuwa wakilipwa kiasi cha Tsh 1,780,000/= bila kufanya kazi waliyochukulia fedha hiyo ya kukagua wanafunzi viwandani.

Viongozi hao wa chuo hujilipa kiasi cha 80,000 x 16 = 1,280,000/= kwa ajili ya perdiem, Tsh 500,000/= kwa ajili ya kukirimu wageni wakiwa safarini na nauli za ndege kwenda Dar es Salaam na kuridi, wakati hawafanyi kazi hiyo.

Licha ya uongozi huo kujilipa kiasi hicho kwa ajili ya kwenda kukagua wanafunzi viwandani bila kwenda kufanya kazi hiyo, pia uongozi wa chuo umekuwa hupeleka kusikojulikana fedha inayobaki.

Kwa mfano, katika mwaka wa masomo 2011/12 Serikali kupitia Wizara ya Elimu ilituma Chuoni kiasi cha Tsh 546,743,000/= kwa ajili ya Mafunzo viwandani kwa wanafunzi na waalimu kwenda kuwakagua viwandani. Mwaka huo wa masomo zaidi ya Tsh 80,000,000/= zilitokomea kusikojulikana.

Katika mwaka wa masomo 2012/13 Serikali kupitia Wizara ya Elimu ilituma Chuoni kiasi cha Tsh 559,860,000/= kwa ajili ya Mafunzo viwandani kwa wanafunzi na waalimu kwenda kuwakagua viwandani. Kadhalika katika mwaka huo wa masomo zaidi ya Tsh 80,000,000/= zilitokomea kusikojulikana.
7640_10153996847952487_1296214619587581403_n.jpg
 
Aliyesema hayo ya DIT baadaye alihamia Arusha na ndiye aliyesema hayo ya chopa kwa njia ya ujanjaujanja. Huyu jamaa ni tatizo la Taifa, anapenda sana kucheza na akili za wanasiasa na anachukua taaluma kama jambo la kisiasa-siasa tu.

Mtu huyu hathamini taaluma lakini leo anaiambia Tanzania na Dunia kwamba atatumia taaluma kufanya mambo makubwa kama kutengeneza/kuunda chopa! Mtu huyu anatumia njia za mkato kutengeneza mitaala ya chuo lakini tafakari kwamba mtu huyo huyo anasema atatumia taaluma wakati hafuati matakwa/misingi ya kitaaluma!

Kwa upande mwingine, Serikali imekuwa ikitenga pesa kwa ajili ya wanataaluma wa chuo kwenda viwandani kukagua maendeleo ya wanafunzi ikiwa ni pamoja na kuona na kubadilishana mawazo na wataalamu wa viwanda kwa muda wa siku 15. Lakini mtu huyu alivyo wa ajabu amekuwa akifikiri wanataaluma wakisafiri kwenda viwandani ni anasa.

Nia ya Serikali kupeleka wanataaluma viwandani kukagua wanafunzi pamoja na mambo mengine ni kuona viwanda vina nini kipya au vijana wetu wanapwaya au wako vizuri katika maeneo gani ili kuweza kuboresha zaidi taaluma inayotolewa na chuo.

Tofauti yake Mtu huyu huyu anayeongopea Taifa na Dunia kwamba atatengeneza chopa anafikiri kwamba wanataaluma watapata pesa au maarifa kama akiwapa per diem ya siku 15. Ndani yake mtu huyu hataki wanataaluma wa chuo wapate pesa wala maarifa na hivyo anawalipa wanataaluma wa chuo siku tano tu, hapo watajifunza kitu gani cha maana kwa muda huo? Je unadhani mtu wa aina hiyo anaweza kufanya watu kutengeneza chopa?

Kwa ufupi, hicho kinachosemwa kwamba kuna jambo la utengenezaji wa chopa chuoni hakipo. Ili kushuhudia kwamba jambo hili halipo, watu wafike na kufanya uchunguzi wa kina kama kuna jambo hilo. Hakuna kitu hicho, huo ni uongo kabisa.
We ndugu acha uongo wako! Nimesoma ujumbe wako na nimekugundua kuwa wewe ni wale wenye mawazo hasi. Huyo ubayemwongelea naamini ni Principal wa Arusha Tech ambaye alikuwa DIT kama makamu mkuu wa chuo academic! Huyo unayemwongelea ana Phd ya Civil Engineering na wala hajahusika katika hilo. Hao waliogundua moja amesoma Computer Engineering na mwingine Mechanical Engineering.
Na uthibitisho wa hiyo chopa upo na itaruka na wewe utabaki kunung'unika tu! Huyo Abdi anayeiunda hiyo chopa hawezi kushindwa! Kama huamini jaribu kuulizia taarifa zake
 
Inaashangaza, rasilimali hizo za kutengeneza vitu hivi vya ajabu zinapatikana wapi wakati wafanyakazi wanadai madai kibao hawapati kwa sababu wanaambiwa hakuna pesa. Kibaya zaidi hata fedha kwa ajili ya kutengeneza mitaala kwa ajili ya kuboresha taaluma inayotolewa na chuo hakuna, ni kichekesho kabisa.
Kwa mawazo yako unafikiri utaendelea bila utafiti na vitendo? Hakuna ugunduzi usio na gharama, au unapenda tuendelee kuwa wachuuzi tu na tusibuni wala kuthubutu?
 
Unajua vitu usivyovijua uliza usaidiwe

Katika tasnia ya uhandisi kuna aina tatu za classification of design ambazo ndizo hutoa matokeo ya chombo husika

Aina hizo ni
1. Adaptive design
2 .Developed Design
3. New Design

Sasa hapo wamekosea wapi , wao wamechukua adaptive wakachanga na developed then watapata new one

Fani za wanaume waliokaa darasani miaka 4 , hutakiwi kuzichezea

Japan engine ya kwanza walichukua ughaibuni kutengeneza gari leo wako mbali na walipita tunamopita maana ndivyo ilivyo kwenye field ya uhandisi

Hongereni wahandisi arusha college
.
# Hapa Kazi tu
Ujue wengi wanaobeza ugunduzi huu yawezekana wamesomea vitu laini tena wengi wao ni wale wababaishaji wasiojiamini, unakuta mtu kaanza kuiba mtihani tangu darasa la saba mpa degree! Mtu huyo ukimwambia inovation anaona muujiza kama kumfufua mtu aliyekufa. Kwa aliyesoma na kuelewa taaluma yake hawezi kudharau vitu kama hivi.
Huyu jamaa naamini hakika project hii ataimaliza kwa mafanikio.
 
Back
Top Bottom