sungusungu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 3,057
- 722
Mimi sitapanda hizo Chopa! Wabongo siyo kabisa
Kila kitu na technology yake huwezi mbona tunatengeneza vitu vingi vikunwa zaid ya wembe ? Mf.visu,panga ,shoka nk ni swala la kuamua huwezi ukazalisha kila kitu ni dhahiri kuna utakavyo hitaji toka kwa wenginehatuwezi kutengeza wembe tu ijekuwa helicopter?????
Siku hiyo ndio siku nitaacha kabisa kupanda ndege , ni hatari sana ! Itakuwa ni kamari ya kijinga sana dhidi ya uhai wangu .
Nauli ya mabasi ya mwendokasi inakupa shida ndo uwe na pesa ya kupanda chopa wewe kibwetere acha kutujazia sevaMimi sitapanda hizo Chopa! Wabongo siyo kabisa
We kijana wa Malawi Nyasa-land mambo ya TZ hayakuhusuNimeona Bodi la hiyo helkopta ni kituko to me.(wametumia steal pipes alafu dashboard na other areas azipo makini.its funny well lets wait and see.
1.who will be supplier of the engine? 2. who will supply Avionics gears? 3.Who will supply interio materials?
Nauli ya mabasi ya mwendokasi inakupa shida ndo uwe na pesa ya kupanda chopa wewe kibwetere acha kutujazia seva

Inapendeza sana kuona College zinafanya mambo makubwa kama haya...sasa Dar Es Salaam Institute of Technology (DIT) na zingine ziige huu muelekeo...
Hao Songoro kwa sasa wapo Kyela wamepata tender ya kuunganisha meli ziwa Nyasa!!Ndio, Mwanza kulikuwa na kampuni ya mtu binafsi iitwayo Songora Marines iliyojishughulisha kutengeneza mashua - siyo meli- ingawa uwezo wa kuunda meli walikuwa nao. Kwa jinsi nchi hii inavyothamini vya nje na kudharau vyetu, Songora Marines hawakupanuka sana na sasa sijui kama wapo au walishajifia mbali.
Sijui kama hao ma-engineer wa arusha watafika mbali, watavunjwa moyo kwenye hatua fulani ya mradi wao.Tatizo kubwa ni vya kwetu havina 10%. Rejea transformer za Tanalec na TANESCO kununua transformer india.
CorrectHzo Picha zimepigwa sehem tofauti na sio tz