Tanzania has started to build its own helicopters

Tanzania has started to build its own helicopters

Mtapanda wenyewe nyie Banyamulenge wa Lumumba. Mie simo. Yaani hata kagari katutembelea ardhini hatujaweza kuassemble leo tuweze Helikopta? Tuweni realistic twendeni ngazi kwa ngazi!
We pimbi huwezi hata kulipia nauli ya DART afu unatuambia hutapanda chopper
 
Sio kwamba watu wenye uwezo wa kufanana na Eng Mjema Tanzania hawapo, tatizo kubwa siku zote limekuwa ni sapport, iwapo kweli serikali yetu ingekuwa na nia ya dhat ya kuwezesha innovations kwenye nchi hii naamini kuna wengi tu wana huo uwezo. Leo hawa tumewasikia kwenye vyombo vya habari lakini after one month no one atakuwa anawazungumzia tena hawa watu and next time tutasikia tu ripoti ya ku fail kwao kwamba walikosa support na project ikafa. WE NEED TO CHANGE GUYS, Lazima tuthamini uwezo wetu wenyewe na watu wetu wenye uwezo kama huo tuwape support ya kutosha, kwa maana ya capital, ulinzi, na mazingira mazur ya kufanya kazi zao. Sio kuwaachia tu alafu tusubiri kupiga nao picha kwenye magazeti, wakati ukute hata izo pesa za kununulia engines wanatoa mifukoni mwao. Hata kwa hapo ulipofikia, hongera Komred Eng, Mjema. Hongera ATC mmekuwa mfano wa namna vyuo vyetu vya technologia vinatakiwa kuwa.
 
kilichoniskitisha ni hilo la Engineer Adisai Msongole kuwa Bursar wa ATC ,niwatakie kila la heri
 
The motors are manufactured by Volkswagen in Germany, yet Tanzania is manufacturing a chopper?
 
It ll be an honor to die for such project,even the choppers you see today have cost peoples life for you to enjoy.mawazo ya watu kama nyie ndio yanatufanya siku zote tuwaze kutengeneza vitu kama spare parts badala ya kufikiria vitu kama hivi.
Yani nashukuru sana kwa kumjibu huyu nyumbu. Hivi kuna maendeleo bila sacrifices au kuna success bila trying? Kuna watu kweli nyumbu na hawajiamin
 
Umeongea point ya kufikirisha. Ili uwe na kiwanda kama hiki cha helikopta lazima uwena Special Plant ambayo itatengeneza vipuri vyote ambavyo itakuwa na brand yake kuanzia injini mpaka body sasa kama injini ni ya volkswagon hiyo itakwa siyo helikopta zetu.

Kwetu itakuwa ni assembly point tu tusipotoshane kwenye ukweli.

Hiki chuo huwa kinafanya uzushi mwingi sana. Unaweza ukadhani hakina wasomi walioelimika. Hivi kweli helicopter inaweza kutengenezwa kwa namna hiyo iliyoelezwa hapo? Gari inayotembea usawa wa ardhi inatumia miaka tangu kubuniwa mpaka kuingia barabarani kwa majaribio, leo chopa imefikiriwa miezi miwili iliyopita na tayari imetengenezwa? Tuache utani, teknolojia haina njia ya mkato.

Miaka miwili iliyopita kila chombo cha habari kilijaa maapizo ya kwamba Chuo cha Ufundi arusha chaapa kumaliza tatizo la umeme Tanzania kwa kuunda na kutengeneza mitambo ya kufua umeme wa maji. Hebu leo waseme ni kwa kiasi gani tatizo la umeme Tanzania limemalizwa na mitambo ya kufua umeme iliyotengenezwa na chuo?
 
Jamaa wazungusha mikono inawauma hii ...heko kwa JPM
Huyo Sukari imeshinda chopa anawezea wapi hizi mambo mipango I ya kuwa imeanza kabla hata mamako hajatongozwa...
1466435282700.jpg
 
Watu waliofanya mambo makubwa duniani hawakuanza kwa kuungwa mkono.
Wasikatishwe tamaa na wanaosema haitawezekana.By the way what would you expect from average minds?
 
TANZANIA has started to build its

Tofautisha kuunganisha na kutengeneza; Assembling and manufacturing.

Tanzania tuna Viwanda mama cha kutengeneza vifaa vya copter. Scania ya Kibaha ilikuwa inaunganisha (assembly plant) na sio kutengeneza magari! Wangetengeneza magari kama kungekuwepo na kiwanda mama (Manufacturing plant)
 
In the US, any individual with a knack for aeronautics and mechanics could pull this off single handedly. This category of aircraft is known as "experimental", and people with this kind of hobby or extracurricular activity use ready-made kits to assemble such in their own garage or backyard. In the US experiemental category aircraft would never be authorized for any commercial use or even be allowed to carry any passengers ever. So this is no big deal at all.
Kwa taarifa yako mkuu, this is NOT a big deal, its a HUUUUGE deal. Hivi unadhani ubunifu linatokea wapi?? Kuna baadhi ya wabunifu barani afrika, jamaa flani wa Gambia aliweza kuunda fixed wing aircraft lake ambalo halikuweza kupaa,, lakini nampa 100% kwa hilo jaribio.

We learn to crawl before we can walk. That is how scientists and engineers are born, sio kuyapuuza kila jaribio la mwenzako. Tuwaenzi hawa majamaa, wao ndio waanzilishi wa uchumi wa viwanda.

Ukitaka kujua kama hio sio big deal, nenda ufanye utafiti upate kujua taji la "most respected profession in Germany " imeshikwa na nani??

Umenikera sana.
 
Naomba tu yasije yakawa kama yake yabkiwanda cha transformer arusha kinauza transfomer africa nzima , lakini tanesco wakaona hazifai, wakaamua wawe wanaagiza za liw quality india. CHADEMA ANZENI KUWA WATEJA WA HII CHOPA, NDESAPESA WANUNULIE KAMA MBILI HIVI
 
Back
Top Bottom