DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,976
We pimbi huwezi hata kulipia nauli ya DART afu unatuambia hutapanda chopperMtapanda wenyewe nyie Banyamulenge wa Lumumba. Mie simo. Yaani hata kagari katutembelea ardhini hatujaweza kuassemble leo tuweze Helikopta? Tuweni realistic twendeni ngazi kwa ngazi!
Hahahaaa hilo nalo nenokilichoniskitisha ni hilo la Engineer Adisai Msongole kuwa Bursar wa ATC ,niwatakie kila la heri
Yani nashukuru sana kwa kumjibu huyu nyumbu. Hivi kuna maendeleo bila sacrifices au kuna success bila trying? Kuna watu kweli nyumbu na hawajiaminIt ll be an honor to die for such project,even the choppers you see today have cost peoples life for you to enjoy.mawazo ya watu kama nyie ndio yanatufanya siku zote tuwaze kutengeneza vitu kama spare parts badala ya kufikiria vitu kama hivi.
HaaaaaaaaaRip in advance watakaofanyia flying test
Umeongea point ya kufikirisha. Ili uwe na kiwanda kama hiki cha helikopta lazima uwena Special Plant ambayo itatengeneza vipuri vyote ambavyo itakuwa na brand yake kuanzia injini mpaka body sasa kama injini ni ya volkswagon hiyo itakwa siyo helikopta zetu.
Kwetu itakuwa ni assembly point tu tusipotoshane kwenye ukweli.
Huyo Sukari imeshinda chopa anawezea wapi hizi mambo mipango I ya kuwa imeanza kabla hata mamako hajatongozwa...Jamaa wazungusha mikono inawauma hii ...heko kwa JPM
Hina tofauti na pundaRip in advance watakaofanyia flying test
TANZANIA has started to build its
Kwa taarifa yako mkuu, this is NOT a big deal, its a HUUUUGE deal. Hivi unadhani ubunifu linatokea wapi?? Kuna baadhi ya wabunifu barani afrika, jamaa flani wa Gambia aliweza kuunda fixed wing aircraft lake ambalo halikuweza kupaa,, lakini nampa 100% kwa hilo jaribio.In the US, any individual with a knack for aeronautics and mechanics could pull this off single handedly. This category of aircraft is known as "experimental", and people with this kind of hobby or extracurricular activity use ready-made kits to assemble such in their own garage or backyard. In the US experiemental category aircraft would never be authorized for any commercial use or even be allowed to carry any passengers ever. So this is no big deal at all.
Rip in advance watakaofanyia flying test
Mkuu mbona mnapenda kuchekesha watu humu...Nimecheka sana na swaumu yanguRip in advance watakaofanyia flying test
hahahaha watu wabunifu hii ndo faida ya kuwa mtz hahaha TCRA watasubiri sana!Nilitaka kukutukana nikaona nitakuwa nimekuheshimu sana "mnduku wa mbeng'o" ni kinyakyusa maana yake asante sana acha ujinga