mzalendo15
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 1,361
- 1,054
Acheni uzuzu tz ubavu huo hakuna eti building helicopter say assembling helicopter mnawezatengeneza rotor craft nyinyi mnachukua engine Volkswagen's kazi yenu kudizaini body kama yalivyo mabasi kama yutong
Umeongea point ya kufikirisha. Ili uwe na kiwanda kama hiki cha helikopta lazima uwena Special Plant ambayo itatengeneza vipuri vyote ambavyo itakuwa na brand yake kuanzia injini mpaka body sasa kama injini ni ya volkswagon hiyo itakwa siyo helikopta zetu.
Kwetu itakuwa ni assembly point tu tusipotoshane kwenye ukweli.