LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,349
- 36,300
Asilimia 90 ya Watanzania ni vijana na Kati Yao asilimia 80 ni Gen Z.
Gen Z hawanaga mambo ya dini.
Mambo ya dini ni ujinga ujinga tu.
Ni Sisi tulio zaliwa miaka ya themanini, wadogo zetu wa tisini mwanzoni na kaka zetu wa sabini ndio tulikuwa na ujinga ujinga wa kufuata mambo ya dini kwa sababu tulikuwa tunawaogopa baba zetu na tulikuwa hatujitambui.
Hawa vijana wa 2000s na dini wapi na wapi?
Hawanaga hata mpango na mambo ya dini.
Hakuna cha Ramadhani wala Kwarezma. Kama kijana kutoka familia ya kiislamu nimekula mademu wanane kwenye Ramadhani na Kwarezma hii iliyo pita ( Watoto wa Elfu 2 akina Zai, Shadya na wakatoliki akina Asteria na Lucia) Miaka ya tisini hilo lisingewezekana.
Wala hakuna tena mtu mpuuzi anae a mini ujinga ujinga wa eti adhabu ya kaburini au jehanamu au pepo.
Waliobaki na Mambo ya dini ni hawa wazee wachache wajinga wajinga.
Hata wazee wenyewe wameanza kujanjaruka hadi Mazinge mwenyewe ameretard sasa hivi anapiga hela na dogo Shareef Firdaus. Kina kishkhi ( ambae na yeye ni mtu wa fursa) wamemsema mpaka basi.
Hata Hawa TEC they are just talking to themselves.
Bakwata na TEC hawana Nguvu yoyote ya watu. Nguvu wanaitolea wapi kwanza wakati hata hao waumini wenyewe wazee wanakimbilia kwa Mwamposa na vijana wapo busy na kubeti...
Kama nyie watu wa dini kwanini msimuombe Mungu yeye kama yeye atumie Nguvu zake kuleta Yale mnayo yataka?
Kuna Vijinga humu JF navyo vinaongea ujinga ujinga sijui wakristu this waislamu that upumbavu mkubwa.
Na wewe kijana wa ki Tanzania. Kama unaweza kufuata maelekezo ya mtu anae amini Mungu alishusha kitabu kutoka mbinguni, Mungu alimuua mtoto wake, adhabu ya kaburi, jehanamu na ujinga ujinga kama huo basi wewe utakuwa ni kichaa kabisa yani hauna tofauti na babu zako ambao waliaminishwa ujinga ujinga kama huo wakaufuta.
Tanzania ni kubwa kuliko ukristo.
Tanzania ni kubwa kuliko uislamu.
Tanzania ilikuwepo kabla ya ukristu na uislamu.
Kwanza Tanzania -1 = Tanganyika.
Tanganyika = Tanga + Nyika.
Tanga = Iliyo tangulia ( Mfano utotoni tulicheza " Nimekutanga"/ Nimekutangulia etc)
Nyika = Nchi.
Tanganyika = Nchi ya kwanza. / Nchi iliyo tangulia kuanza.
Tanganyika ni takatifu kuliko Macca.
Tanganyika ni takatifu kuliko Jerusalem.
Tanganyika ni takatifu kuliko Vatican.
Kule Fiji wenyeji wana amini ancestors zao walitoka Tanganyika miaka elfu hamsini iliyo pita wakati huo Ukristu na Uislamu havikuwepo.
Acheni ujinga nyie na dini denu hizo. Hamna umuhimu mnao taka kuaminisha watu kwamba mpo nao.
Unamchukia mtu ambae unamuona halafu eti unampenda Mungu ambae hujawahi kumuona na wala hutowahi kumuona. Wewe ni nani kama sio kichaa.
Unampenda Mungu halafu unawachukia watu wa dini tofauti na wewe ambao ni viumbe wa huyo huyo Mungu unaesema unampenda. Wewe ni nani kama sio kichaa?