Tanzania haipo kweli hii?

Tanzania haipo kweli hii?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,090
1439318652158.jpg
 
Huyo mdudu atafutwe aletwe hapa bongo, hasa huko kwa ndugu zetu rombo
 
wow! akining'ata wakati nipo na atoto wangu itakuwa safi sana
 
Last edited by a moderator:
Mbona hadithi tuu. Serekali imetuletea kocha kutoka huko kuja fundisha mpira akashindwa hata chandimu, si wangetuagizia buibui wawili tu dume na jike waje daidia kazi huku Kilimanjaro jamani. Kwani sh ngapi kuwalisha wapate sumu nyingi. Yaweza kuta gharama ya Maximo? Ndo maana nasema serekali hii haijui vipaumbele vyake. Wananunua power tiller bila kuujua ugumu wa udongo. Wanaleta kocha badala ya kutulete hawa wadudu tuzae vijana wapya. Sijui
 
hajui kuwe wewe ni wangu? lakini tukirudi kwenye mada, huyo mdudu unamchukuliaje?

Mweeeeh wako tena!! Mmmh huyo mdudu aishie huko huko tusije pata matege jamani maana mtu akikukamata hashuki!!
 
Back
Top Bottom