Kwa Africa Mashariki Arena ziko mbili tu ambazo ni BK Arena, Kigali na Moi/Kasarani Arena, Kenya. Supe Dome Masaki ni hall tu ya kufanyia matukio madogo madogo ya kijamii kama kitchen party, harusi, iftar n.kArena ni kiwanja kikubwa kilicho katika mithili ya ukumbi ambacho shughuli za michezo, muziki, mikutano na sanaa mbalimbali zinaweza kufanyika ndani yake.
Kwa Africa Mashariki Arena ziko mbili tu ambazo ni BK Arena, Kigali na Moi/Kasarani Arena, Kenya. Supe Dome Masaki ni hall tu ya kufanyia matukio madogo madogo ya kijamii kama kitchen party, harusi, iftar n.k
View attachment 3280180
Wee Babu, shikamoo, ama baada ya shikamoo Mimi ni mzima wa siha muruwa kabisa. Dhumuni la barua hii ni kutaka kujua Leo utakuwepo kilengeni? Nataka nilete sadaka ya mbuzi pale kwa Babu Ambilikile Mwasapile wa Samunge, Loliondo?Kwa Africa Mashariki Arena ziko mbili tu ambazo ni BK Arena, Kigali na Moi/Kasarani Arena, Kenya. Supe Dome Masaki ni hall tu ya kufanyia matukio madogo madogo ya kijamii kama kitchen party, harusi, iftar n.k
Tawile .. Tawile... Mkubwa na wajukuu zake.. Nipo Kilingeni Ila kusanyiko la tambiko lilikuwa janaWee Babu, shikamoo, ama baada ya shikamoo Mimi ni mzima wa siha muruwa kabisa. Dhumuni la barua hii ni kutaka kujua Leo utakuwepo kilengeni? Nataka nilete sadaka ya mbuzi pale kwa Babu Ambilikile Mwasapile wa Samunge, Loliondo?
Nakutakia Domingo njema
Tuna omba mtusaidie hiyo elimuElimu itolewe waelewe
Nenda VETA wewe ccmTuna omba mtusaidie hiyo elimu
Ohh, basi wiki inayoanza keshoTawile .. Tawile... Mkubwa na wajukuu zake.. Nipo Kilingeni Ila kusanyiko la tambiko lilikuwa jana
TawileOhh, basi wiki inayoanza kesho
Duh mkuu, kwan super dome walikataa ww kufanya kitchen party Yako? Mbona umeandika kwa hasira hvy?Arena ni kiwanja kikubwa kilicho katika mithili ya ukumbi ambacho shughuli za michezo, muziki, mikutano na sanaa mbalimbali zinaweza kufanyika ndani yake.
Kwa Africa Mashariki Arena ziko mbili tu ambazo ni BK Arena, Kigali na Moi/Kasarani Arena, Kenya. Supe Dome Masaki ni hall tu ya kufanyia matukio madogo madogo ya kijamii kama kitchen party, harusi, iftar n.k
View attachment 3280180
Utawasikia kesho wanaelekeza fedha kujenga moja yenye jina la mwanamkeKwa Africa Mashariki Arena ziko mbili tu ambazo ni BK Arena, Kigali na Moi/Kasarani Arena, Kenya. Supe Dome
Kwa msaada wa Gemini:Kwa Africa Mashariki Arena ziko mbili tu ambazo ni BK Arena, Kigali na Moi/Kasarani Arena, Kenya. Supe Dome Masaki ni hall tu ya kufanyia matukio madogo madogo ya kijamii kama kitchen party, harusi, iftar n.k
Twitter zamani ndio ilikuwa ina watu wenye akili kwa wingi, tangu ibadilishwe na kuitwa X ni kama watu walio wengi kwa sasa kwenye huo mtandao kama wanaakisi hilo jina jipya kabisa.Nimekuja kugundua twitter inamalimbukeni wengi Sana
Huyo jamaa anaandika kwa confidance kabisa kumbe halijui kitu
Arena huwa zinakuwa enclosed au zinawezekana kufungwa kwa juu inapohutajika, Benjamin Mkapa na Mandela Stadium hazina uwezo wa kufungika kwa juu kuwezesha shughuli kuweza kuendelea katikati ya uwanja wakati wa mvua au jua kali.Kwa msaada wa Gemini:
When discussing "physical space arenas" in East Africa, we're primarily talking about large stadiums and multi-purpose venues designed for sports and events. Here are some key examples:
These venues play significant roles in the region's sporting and cultural life, hosting national and international events.
- Kigali Arena (Rwanda):
- This is a modern, indoor arena that stands out in the region.
- It's used for basketball, volleyball, concerts, and other events.
- It has a capacity of around 10,000 seats.
- It has become a very important venue for events in the east african region.
- Moi International Sports Centre, Kasarani (Kenya):
- This is a large, outdoor stadium complex in Nairobi.
- It includes a main stadium, an aquatic center, and an indoor arena.
- The main stadium is primarily used for football and athletics.
- Mandela National Stadium (Uganda):
- Located in Kampala, it's a major outdoor stadium for football.
- It has undergone recent renovation.
- Benjamin Mkapa Stadium (Tanzania):
- Located in Dar es Salaam, it is a very large outdoor stadium used primarily for football.
- Talanta Hela Stadium (Kenya):
- This is a stadium currently under construction in Nairobi, Kenya. It is being built to host 2027 AFCON games.