Tanzania haijulikani Duniani kiivyooo kama magazeti yetu yanavyoripoti eti Dunia nzima ni Tundu Lissu tu!

Naona waandishi wetu wamekazana kweli kutafuta taarifa za Tundu Lissu zilivyoripotiwa nje ya nchi.

Maajabu hata mtu mmoja kutoka nchi fulani aki tweet tu basi inachukiliwa eti huo ni mtandao nao ulioripoti habari ya Tundu Lissu.

Lengo la wana habari ni kuifanya taarifa ya Tundu Lissu kuwa Dunia nzima imekuwa inaripoti kwahiyo ni taarifa kubwa sana.

Hata CNN hawajaripoti tu halafu tumetoka mishipa ya shingo eti Dunia nzima ni Lissu tu.

Watanzania tuna shida sana Mimi sijui lengo la waandishi hawa ni nini sijui?
Haya yatakuwa matokeo ya albadiri naona kama unaweweseka hujui hata jf unasomwa duniani au au unafikiri chombo cha habari duniani ni CNN Pekee? Albadri mbaya sana
 
Back
Top Bottom